taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Mpina ajitosa kuwania Ujumbe Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)

    MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina amechukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kupitia kundi la Viti 15 Tanzania Bara. Mpina amechukua na kurejesha fomu hiyo leo Agosti 10, 2022 ikiwa ni siku ya...
  2. Rais na Waziri wa Kilimo kuhusu chakula nchini mnapotosha Taifa

    Wandugu, Kuna lugha za kujirudiarudia kutoka kwa hawa viongozi wakisisitiza kwamba mkulima lima jiwekee cha kwako na familia yako chakula kingine nenda kauze nje mipaka ya nchi mipaka imefunguliwa. Najiuliza ina maana wananchi wengine kama Dar es Salaam wanaotegemea vyakula hivyo havitawafikia...
  3. Y

    SoC02 Ualimu si wito, ni taaluma yenye sifa na tija kwa taifa la Tanzania, tukiwathamini Walimu tumeithaminisha Tanzania

    UALIMU SI WITO, NI TAALUMA YENYE SIFA NA TIJA KWA TAIFA LA TANZANIA, TUKIWATHAMINI WAALIMU TUMEITHAMINISHA TANZANIA. HALI YA WALIMU HIVI SASA? NI FUMBO LISILO NA MAJIBU Kama Taifa tulipofikia hapa sasa tume muacha Mwalimu na maswali mengi hata pengine ambayo hakusitahili kujiulza, na mengine...
  4. J

    SoC02 Familia Bora, Taifa Bora

    Familia Bora hujenga Taifa bora FAMILIA BORA, TAIFA BORA Ningependa tuelimishane namna familia zinavyoweza kujenga taifa bora au kuaribu taifa. Kwanza kabisa ningependa kueleza maana ya familia na aina zake. Familia ni muunganiko wa baba, mama na watoto au kikundi cha watu wanaoishi pamoja...
  5. TANZIA Mchezaji wa zamani wa Simba na timu ya taifa Iddy Suleiman Kibode (Meya), amefariki Dunia

    Mchezaji wa zamani wa Simba na timu ya taifa Iddy Suleiman kibode (Meya), amefariki usiku wa kumkia leo jtatu, katika Hospitali ya Muhimbili. Awali Iddy alilazwa katika hospitali ya Mwananyamala na juzi usiku alihamishiwa Muhimbili. Idd ni mdogo wa nyota wa zamani, Madaraka Seleman (Mzee wa...
  6. T

    Israel Taifa linalo ogopeka duniani kwa ujasusi na mauwaji ya watu walioshindikana

    Dunia yote macho hayapo China na Taiwan wala Ukraine na Russian. Macho yapo gaza ambapo Kikosi maalumu kilichopikwa kikapikika kina tekeleza kazi maalumu ambayo magaidi wakikundi cha kijihadi ambacho kimeleta madhara makubwa na kuifanya serikali ya Benet kuanguka sasa wanavuna utam wakile...
  7. Sensa yapoza machungu ya Yanga Taifa

    Licha ya Klabu ya Soka ya Yanga kufungwa katika kilele cha Siku ya Mwananchi na klabu ya Vipers SC lakini ujumbe wao kuhusu Zoezi la Sensa na Makazi umekuwa ni ubunifu mzuri na wa kuigwa.
  8. Yanga wataacha lini kuliaibisha Taifa?

    Mechi nne zilizopita za Kimataifa ambazo Yanga kacheza, kaishia kupoteza zote. Alianza kupoteza alipocheza na Zanaco, wote tunajua Kapumbu alivyowafanya. Kisha wakapoteza mechi mbili za home & away dhidi ya Rivers Utd ya Nigeria. Na hatimaye leo tena wamekufa nyumbani dhidi ya Vipers ya...
  9. Kwa hali ilivyo, taifa linahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu (dikteta), si mwenye kubembeleza

    Kwa sasa watu wengi sana wanalalamikia ugumu wa maisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, mfumuko wa bei nk. Ukitaka kulijua hili wala hata huitaji kuandaa proposal na kufanya utafiti, unaweza tu kujaribu kumuomba ndg, jamaa au rafiki akusaidie kiasi fulani cha pesa kisha usikie majibu atakayokupa...
  10. R

    Ni Makosa makubwa Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais

    Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile. Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha. Aliwatisha pia...
  11. Tutaje mambo mazito yanayosumbua taifa kwa sasa ili yaundiwe Tume za Uchunguzi za Bunge

    Pamoja na kwamba Dk. Tulia Ackson ni mzito kuunda tume za kibunge kuchunguza mambo yenye sintofahamu yanayowasibu wananchi. Tutumie haki yetu ya kikatiba kumtaka kuunda tume ili kuleta majibu ya mambo yanayolisumbua Taifa kwa sasa. Hebu tuorodheshe mambo makubwa ambayo tunataka Bunge liunde...
  12. Kupunguza Fraud mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Uhudumie hospitali za umma tu

    Ieleweke kuwa kuna mlipuko wa uanzishwaji wa Hospitali binafsi almaarufu Polyclinics na Specislized clinics hapa nchini ambazo kwa maoni yangu nyingi zimejibatiza majina tu. Nyingi ya clinic hizi zinategemea malipo kutoka mfuko wa bima ya afya (NHIF) na kiukweli bila NHIF nyingi zitakufa...
  13. R

    SoC02 Matokeo Makubwa Sasa yanavyoliumiza Taifa

    MATOKEO MAKUBWA SASA YANAVYOLIUMIZA TAIFA Siku za hivi karibuni tumekuwa na msamiati unaitwa “Matokeo makubwa sasa” Pamekuwapo na juhudi za makusudi kuhakikisha kwamba kila jambo linapata matokeo makubwa. Jambo hili likanikumbusha wakati fulani nilipokuwa shule ya bweni pale Ifunda, siku za...
  14. SoC02 Tamaa ya 'upekee' na 'kuweka kumbukumbu' inasababisha ubinafsi katika taifa!

    Habari wanaJF? Nami nimeona nishiriki katika jukwaa hili la soc kwa kutoa mawazo yangu kuhusiana na mada tajwa hapo juu. Kumekuwepo na tabia ya watu wengi sana katika familia, jamii, kazini, shuleni serikalini na kwingineko; kupenda kutumia neno mimi pekee yangu nilifanya hili au lile, mimi...
  15. S

    SoC02 Taifa huru gizani

    TAIFA HURU GIZANI (TANZANIA) Chanzo cha picha: Vectorstock. Taifa ni jumla ya watu wanaojitambulisha na eneo, lugha, rangi na mila, kwa ujumla ni nchi. Neno taifa linatokana na Kilatini natutio likimaanisha kuzaliwa, watu (kwa maana ya kikabila), spishi au darasa. Taifa lina sifa ya...
  16. SoC02 Kodi nyingi ndani ya taifa bila malengo maalum ni chanzo cha umaskini

    Utangulizi Taifa letu ni miongoni kati ya nchi zinazo toza kodi kwenye biashara, uwekezaji na ajira. ikiwa na maana ya kwamba ni mpango endelevu utakao saidia kutatua changamoto mbalimbali za wananchi kupitia kwenye elimu, siasa, kilimo, sayansi na teknolojia. Kodi zinafaida na hasara, sheria...
  17. Hongera Kidunda Ila Umetuaibisha Kwenye Wimbo wa Taifa

    Huyu Selemani Kidunda kwenye ngumi za leo pale kwenye nyimbo ya taifa ametuaibisha alafu eti ni mwanajeshi,. Jeshini embu angalieni mnavygroom watu wanatuhaibisha sio vizuri kwa kweli Hongera kwa ushindi Selemani Kidunda
  18. SoC02 Ukahaba na ukuzaji wa pato la Taifa

    Nani asiyefahamu hii ni moja ya biashara kongwe duniani ambayo imeshindwa kufutika toka dahari. Karne mpaka karne mamlaka mbalimbali duniani zilijaribu kuitokomeza aina hii ya biashara ila zikaambulia patupu, hivyo kufanya ishamiri licha ya marufuku ya serikari mbal;imbali ulimwenguni. Tanzania...
  19. C

    SoC02 Je, Elimu inaendana na dira ya taifa?

    Utangulizi. Zaidi ya miaka 50 Tanzania imekuwa ikipiga hatua katika kuhakikisha wananchi wake wanapata elimu iliyo Bora.Baada ya Tanganyika kupata Uhuru mwaka 1961 serikali ilianza kutengeneza mazingira ya kuwasaidia wananchi kutokomeza changamoto kuu tatu zilizokuwa zinalikabili TAIFA ambazo...
  20. J

    Kama taifa tumetoka mbali sana

    Ifikie hatua watu waache kujitoa ufahamu. Njaa tuiachie tumbo na si akili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…