taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Tunapokuwa na taifa ambalo mkuu wa nchi anakaa kimya pale raia wake wanapouliwa kinyume cha sheria hilli Tataizo kubwa. Kwanini yupo kimya?

    Kila mtanzania ana haki ya kuishi. Awe ni mharifu sio mhalifu hii ni kwa mujibu wa ibara ya 14 ya katiba JMT. Kama ni mahalifu basi apelekwe mahakamani kwa kwa mujibu wa ibara ya 13 ya katiba ya JMT. Hii kamata kamata ya kulazimishana kuvua nguo ili binti na baba yake walalane imetoka wapi...
  2. CCM inaanza vikao vya uteuzi wa ngazi ya Taifa leo Dodoma

    Vikao vya ngazi ya Taifa vya Chama Cha Mapinduzi (CCM) vimeanza jijini Dodoma huku miongoni mwa kazi zitakazofanyika ni kupokea mapendekezo, kujadili, kupitisha na kufanya uteuzi wa mwisho wa wanachama wanaomba uongozi katika ngazi za wilaya. “Chama cha CCM kinapenda kuwaarifu wanachama wake na...
  3. Kila mchezaji wa timu ya Taifa Ujerumani kulipwa Tsh. Milioni 909.5 wakishinda Kombe la Dunia

    Chama cha Soka (DFB) kimetoa ahadi hiyo leo ikiwa ni takriban siku 55 zimesalia kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia huko Qatar. Kwa mujibu wa DFB wachezaji wa Timu ya Taifa wakifanikiwa Kufuzu kwa hatua ya makundi, kila mchezaji atapewa Tsh. Milioni 113 na wakifanikiw kuingia katika nane bora...
  4. J

    Nashauri hili ndio liwe vazi la taifa, tutaokoa fedha na gharama

    Wakuu kama mnavyojua kuna mchakato wa kutafuta vazi la taifa huko na kuna kamati zimeundwa, hizi zote zitakula muda na fedha Nashauri vazi la taia liwe hili kwani linamtambulisha mtanzania popote pale duniani na ni la kisasa pia
  5. Zambia kuchunguza madai ya unyanyasaji wa kingono kwenye timu ya taifa ya wanawake

    Shirikisho la Soka (FAZ) limechukua hatua hiyo kufuatia shutuma zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa baadhi ya wachezaji walichaguliwa kucheza Timu ya Taifa baada ya kulazimishwa kushiriki vitendo vya ngono na benchi la ufundi. Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo Adrian Kashala amesema wameandika...
  6. Stephano Aziz Ki aitwa timu ya Taifa ya Burkinafaso, kikosi chao hakuna mchezaji anayecheza ligi ya kwao

    Watanzania ifike wakati tuukubali ukweli, hatuna timu ya Taifa ya kushindana na wenzentu mpaka tufikie viwango kama hivi vya Burkinafaso, yani ukicheza ligi ya ndani sahau kuitwa timu ya Taifa, labda usubiri Chan. .... Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC Aziz Ki (26) tayari ameanza mazoezi...
  7. Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano(NICTBB) unaweza kuzalisha mapato kuizidi TANESCO, endapo wanaokwamisha watadhibitiwa.

    Preamble: Fikiria una nyumba 1000, zote zina huduma ya umeme na fiber. Zote zina matumizi ya kawaida ya umeme na fiber. Kwa kawaida gharama ya umeme iko chini kushinda fiber. Nyumba moja inaweza kutumia 20,000/= kwa mwezi kwenye umeme. Kwenye fiber kifurushi cha 50,000/= unlimited kwa mwezi...
  8. Aishi Manula “Air Manula” ni tunu ya Taifa kwenye soka

    Ameshavuka kiwanga cha Tanzania One, sasa ni Afrika One. Bahati nzuri CAF inatambua kazi zake. Hiyo ni moja ya save matata sana, ambayo mimi na wenzangu tulishashika vichwa
  9. T

    Utabiri: Huenda kiongozi mkubwa wa Taifa kubwa duniani siku zake zinahesabika

    Uwenda Siku za kiongozi mkubwa a Taifa fulani sasa zinahesabika kama mshale wa saa. Yes kuna kila dalili jamaa anataka tumia silaha hatari za maangamizi kwenye ugomvi ameuwanzisha yeye mwenyewe na ni ukweli usio pingika. Mipango yake hata kabla yakuwa dhahiri wenzake walisha juwa nia yake na...
  10. UTEUZI: Rais Samia afanya teuzi za Wakurugenzi Watendaji wa Hospitali ya Muhimbili na JKCI

    UTEUZI: Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof. Mohamed Yakubi Janabi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili. Prof. Janabi alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Janabi anachukua nafasi ya Prof. Lawrence Maseru ambaye amestaafu. Aidha Rais...
  11. Shaka : Baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli,wale wote Waliombeza Rais Samia Ujenzi wa miradi ya kimkakati leo wanaumbuka, Wami ilikuwa 47% leo 89.2%

    SHAKA ;RAIS SAMIA AMEWAUMBUA WALIOBEZA MIRADI YA KIMKAKATI. Ataja kukamilika kabla ya wakati ujenzi wa daraja la Wami ni kielelezo cha uwezo wa serikali ya awamu ya sita Na Mwandishi Wetu,Pwani KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema...
  12. RC Dodoma ashauri kutoza faini ya Tsh. 10,000/- kwa wasioimba wimbo wa Taifa

    Nukuu: “Kumekuwa na tabia iliyojitokeza ya kutoimba wimbo wataifa mpaka nikajiuliza kuimba nijambo la kisheria, kisera au Niutaratibu ,sasa kama ni jambo la kisheria Mhe. Waziri watu wengi wanafanya mzaha kwenye kwenye kuimba wimbo wa Taifa kwakweli watu waliokuwa wanaimba hapa hawatii maadili...
  13. Inonga ndiyo Mkongo pekee aliyeitwa Timu ya Taifa je, hawa Wengine wasioitwa ni Wakongo kweli?

    Pongezi nyingi kwa Klabu ya Simba kuweza kutoa Mchezaji wake ( Beki tegemeo ) Henock Inonga Baka na Mchezaji husika kwa kuweza Kuitwa hivi majuzi tu katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Congo DR. Kuna Timu Moja nchini Tanzania ( kwa sasa nimeisahau ) imejaza Wakongo wengi kama Wanamuziki wa Zaiko...
  14. K

    SoC02 Wabunifu wengi hawana vyeti ila wanavipaji ambavyo havithaminiwi ndani ya taifa lao. (08)

    Baada ya miaka kadhaa kupita akaandaa ubunifu wake unaoitwa, Ushahidi unaotokana na pesa zilizotolewa katika mashine za ATM. Huu ni mfumo ambao ungewekwa katika mifumo ya ATM zote nchini. Kupitia mfumo huu katika mashine za ATM, kutakuwa na utaratibu wa kuwekarekodi ya namba za noti zote...
  15. L

    SoC02 Ukusanywaji wa tozo na mchango wake kwenye Uchumi wa Taifa

    Uhai wa serikali yoyote unategemea mapato inayoyakusanya ili kuendesha mipango yake katika nchi. Na nguzo kuu ya mapato hayo huwa ni wananchi waliyoipatia dhamana serikali hiyo hasa kwa njia ya kodi. Lakini nakumbuka kanuni za ukusanyaji wa mapato kwa njia ya kodi zilizotolewa na mwanafalisafa...
  16. E

    SoC02 Wimbo wa Taifa la Mbagala

    Siyo ule wimbo tunaoimba huku tumesimama wima mithili ya askari anayelinda benki ya CRDB. Siyo ule wimbo ulioimbwa kabla ya Timu ya Taifa kupigwa risasi moja ya kichwa na Timu ya Taifa ya Uganda katika michuano ya  CHAN pale kwenye uwanja wa Mkapa. Siyo huo ! Huu ni wimbo  sugu unaoimbwa na...
  17. M

    SoC02 Tanzania iwe na Vyama vya Siasa vichache ili kuimarisha Taifa

    TANZANIA IWE NA VYAMA VYA SIASA VICHACHE ILI KUIMARISHA TAIFA. Mfumo wa vyama vingi vya siasa unaboresha demokrasia ya nchi kwa kuifanya Serikali chini ya chama tawala iliyopo madarakani kutimiza majukumu kwa ufasaha na uangalizi zaidi. Nchini Tanzania mfumo wa vyama vingi vya siasa ulianza...
  18. SoC02 Mchango wa utalii katika maendeleo ya taifa letu. "Tuuthamini basi"

    MCHANGO WA UTALII KATIKA MAENDLEO YA TAIFA LETU. "TUUTHAMINI BASI" Utalii una mchango mkubwa katika maendeleo ya taifa letu la TANZANIA, hivyo basi ni jukumu letu sote kuuthamini utalii huu ili uendelee kuleta tija ndani ya nchi yetu na katika nyanja na idara mbalimbali, kama vile, miundo...
  19. Ni ipi Lugha ya Taifa la Kenya? Kiingereza au Kiswahili?

    Muda huu natazama uapisho wa Rais mteule wa Kenya Dkt. William Ruto. Lakini pia kabla ya leo nimefuatilia sana kampeni zake na za mpinzani wake mkuu Mh. Raila Odinga ila katika kampeni zao wametumia sana lugha ya Kiswahhili kuliko Kiingereza Lakini katika hii shughuli ya kumuapisha Mh. William...
  20. K

    SoC02 Wabunifu wengi hawana vyeti ila wana vipaji ambavyo havithaminiwi ndani ya taifa lao. (07)

    Taarifa hizo ni kama ajali, mwendokasi wa chombo cha moto na kadhalika. Hii itasaidia sana watu katika kufuatilia usalama wao. Pia endapo programu hii itawezeshwa kwa gprs, zitawekwa sehemu muhimu katika barabara kubwa ili kuwaelekeza wateja sehemu rasmi za kuvuka barabara (zebra crossing). Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…