taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Aliyetapeli kwa kujiita Afisa Usalama wa Taifa akamatwa Iringa

    Gabriel Kaserikali Mkazi wa Mbezi Mwisho, Dar es salaam anatuhumiwa kumtapeli Mohamed Nassoro mfanyabiashara wa magari wa Magomeni Dar es salaam kwa kujitambulisha ni mtumishi kutoka Idara hiyo Akiwa Iringa alijitambulisha kwa baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Iringa kuwa yeye ni Afisa...
  2. Rais Samia asingewakumbatia Mchwa wa Ufisadi angeweza kuwa Mama wa Taifa ajaye

    Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alizungukwa na Watu very Intelligent na Patriotic Kweli kwa Tanzania ila Rais Samia kwa sasa amezungukwa na Mafisadi, Mafia, Wapumbavu ( Mapopoma ) na Wanafiki watupu wakiongozwa na Mswahili Mmoja nimemsahau Jina. Pumzika kwa Amani Babu yangu Hayati Baba wa...
  3. Nyerere Day: Historia ya Baba wa Taifa kwa mukhtasari

  4. Nyerere Day: Baba wa Taifa katika vitabu

  5. M

    Tusiwatupie lawama Walimu wa Vyuo Vikuu. Mitihani ndio kipimo cha uelewa na namna mwanafunzi ataisadia jamii na Taifa lake

    Taifa linapokuwa na wahitimu wa chuo kikuu ambao hata wakikaa mitaani ni kama hawajamaliza form four ni aibu kwa taifa. Ni lazima wapimwe kwa mitihani ambayo ina vigezo vya kimataifa. Bahati nzuri dunia nzima masomo ni yaleyale tu. Sasa kama vyuo vitawalegezea wanafunzi ili waonekane...
  6. R

    Hii video inaonesha tofauti kubwa iliyokuwepo kati ya hayati Magufuli na Tundu Lissu juu ya Uzalendo kwa Taifa. JPM tunamu-underrate sana

    Nawasilisha source:IBM channel youtube
  7. Haitakwepeka raia wa Marekani kushuhudia madhara ya vita zinazojihusisha na taifa lao

    Ibaki kusema tu viongozi wanaona kama mzaha kuhusu tatizo la ukraine akiwemo Biden na Zelesky,madhara ya tatizo kila Raia anayeshiriki tatizo hilo lazima aguswe, raia hasa wa wamarekani walizoea na kuzoeshwa hivyo kwamba taifa lao linapoingia vitani wao ni kuangalia kwenye tv kama movie kwa...
  8. Iran: Televisheni ya taifa yadukuliwa wakati wa taarifa ya habari

    Tukio hilo limetokea baada ya taswira ya mtu aliyevaa kinyago usoni kuonekana akizungumza kisha ikatokea picha ya Kiongozi Mkuu Ali Khamenei akiwa amezungukwa na Wanawake wanne waliouawa hivi karibuni. Wadukuaji wanajiita Adalat Ali au Watetezi wa Ali wakihusishwa na waandamanaji wanaopinga...
  9. Miaka mitano ya Hayati Magufuli taifa lilipiga hatua kubwa kuliko miaka kumi ya Jakaya

    Rais na kiongozi makini huwezi kujitapa hadharani kuwa ulipiga picha na Rhihana alafu unasikitika kutopatiwa picha hiyo uliyopiga. Wakati wewe ukiwa madarakani rushwa na ufisadi ulitamalaki. Umasikini na maisha duni yakawa ndio jambo la kawaida. Maana akina Lugumi waliiba mali za umma huku...
  10. Kila la kheri Simba S.C. kaeni mkijua taifa linawategemea

    Kila Mtanzani anatamani kuiona Simba S.C. ikiendelea kufanya vizuri kimataifa, kufanya vizuri kwa Simba kimataifa kumeinufaisha pakubwa sana taifa hili. Simba imekuwa mfano mzuri wa kuigwa hapa nchini na vilabu vyote vimekuwa na shauku ya kufanya vizuri kimataifa ikiwemo klabu kongwe nchi Yanga...
  11. Waziri Mchengerwa na Katibu Mkuu Dk. Abbas mkiacha 'Usiasa' na 'Usisiemu' wenu Timu za Taifa zitafanya vizuri Kimataifa

    Kilichotokea huko mkiwa na Timu hiyo ya Walemavu ndiyo kile kile kiliwatokeeni hata kwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars na Kushindwa kufanya vyema na Mimi huyu huyu GENTAMYCINE niliwaonyeni hapa hapa JamiiForums kuwa acheni kuingiza Siasa na Usisiemu Michezoni hamkunisikia. Juzi baada ya Timu hii...
  12. Vituo vya kujaza CNG kwenye magari vinavyotembea vitasaidia kujaza CNG kwenye magari kwenye mikoa mbalimbali

    Tahadhari ndugu msomaji andiko hili linaandikwa namimi mwenyewe ili kuwaonyesha kwamba vituo vya CNG vinavyotembea unaweza kuwa uwekezaji wa haraka sana utakao saidia watanzania kunufaika na CNG kwa katika mikoa yetu yote Tanzania. Vituo vya kujaza gesi asilia iliyoshindiliwa kwenye magari...
  13. Je, kulikuwa na ulazima gani Tanzania kuchukua wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wimbo wa Taifa? Kwanini tusingetunga wa kwetu?

    Huenda ni uvivu tulionao ndio unasababisha umasikini wetu na tumebaki kutafuta visingizio visivyo na idadi. Suala nyeti kama wimbo wa taifa, ambao ndio kitambulisho chetu, iweje tuukwapue wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wetu? Je, kwanini hatukuufanya wimbo wa Tazama ramani utaona nchi...
  14. Watanzania tusiogope bali tuwekeze. Kuna Fursa za biashara zenye faida katika sekta ya mafuta na gesi Katika Taifa letu

    Ni ukweli usiopingika kwamba sekta ya mafuta na gesi imefungua fursa kwa wawekezaji wakubwa na wadogo katika taifa letu, na kutoa mwanya kwa wale wanaotaka kuwa wajasiriamali katika sekta hii. Sekta hii imendelea kutengeneza utajiri kwa wawekezaji mbalimbali waliojizatiti kuwekeza hasa...
  15. Siku ya Wazee: Wazee wana mchango gani kwa taifa?

    Habari 👋 Ikiwa ni siku ya wazee na siku muhimu ya kutambua mchango wao katika mataifa mbalimbali, ningependa kufahamu mchango wa wazee katika Taifa–Tanzania. Maana ni rahisi kufahamu na kutambua mchango wa wazee kwa mataifa kama Malaysia, Indonesia, Qatar, Pakistan, India na mengineyo Miaka...
  16. Hivi inawezekana Green Guards wa CCM na UVCCM wakafanya 'Umafia' bila ya 'Baraka: za 'Owner Chair' wao Taifa?

    GENTAMYCINE nitakuwa wa mwisho Kiamini Mtoto wa Jirani yangu Kumfanyia Umafia Mwanangu ama bila ya Baba yake kujua au hata nae Kuchangia na Kuchochea Uhuni na Upumbavu huo. 'Owner Chair' Taifa Vunja UVCCM.
  17. Usalama wa Taifa msaidieni Rais. Misamaha ya kodi ni chaka, TRA mpaka wizarani kunanuka rushwa

    Nina mengi nimeyatafakari Kwa kina, sana ndani ya Juma Ili nikaona,nisubili lifike mwisho naweza kufa na vihoro moyoni mwangu, Bora nife na dhambi kuliko vihoro maana dhambi ntahojiwa Na muumba! Suala la polisi kuua Kwanza Panya Road linafikilisha sana kimsingi vijana wa Rika dogo wameuawa na...
  18. Rais Samia Suluhu alituliza Taifa

    Tukubali tukate lakini ukweli utabaki kuwa huu kwamba tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu amefanikisha kulituliza taifa na kuhakikisha tupo salama. Maswali ya wengi yalikuwa angewezaje? Lakini kwa uwezo wa Mungu na utendaji kazi wake kwa kuzingatia maadili na uongozi bora, Rais Samia...
  19. Kinachotukwamisha kama taifa kusonga mbele

    Kwa Miongo kadhaa Tanzania kama nchi inayojitegemea, inapiga hatua kwa mwendo wa kobe. Kuna mambo ukiangalia ni aibu sana, yani mpaka leo hii tunahangaika na mashimo ya choo, madawati, na vitu vingine ambavyo ni aibu hata kuvitaja. Kama Taifa naona tuna changamoto hizi kubwa: 1. Ufisadi 2...
  20. DOLA (the state) nawaomba muingilie Kati zuio la mikutano ya hadhara ya upinzani nchini kwa afya na mstakabali wa taifa letu!

    Najua nyie mpo loyal KWA taifa hili,mmelilinda tangu kuasisiwa kwake, Najua nyie Ndio mmeiruhusu ccm kuwa Chama Tawala tangu kuanzishwa kwake hadi leo,bila nyie CCM isingekuwepo madarakani Hadi leo! Najua mmewapenda upinzani na mmeulea KWA Namna Moja au nyingine Lakini hamkuweka wazi hisia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…