taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Kama taifa ni muda wa kuangalia vipaumbele vyetu, policies za emergencies preparedness na uthamini wa maisha ya binadamu

    Wakuu, najua ni mapema sana kuanza kulizungumzia hili jambo kufuatia ajali ya leo ya ndege huko Bukoba bila kuwa na majibu kamili lakini ni wazi kama taifa kuna mahali tunakosea na tunahitaji kujitathmini upya. Katika swala zima la uokozi muda wa majanga watanzania tumefeli na tunaendelea...
  2. T

    USHAURI: Mwakani Simba Sc na Simba Queens tu ndio zikashiriki CAF champions league ili kuepusha aibu kwa taifa

    Ni muda sasa kwa taifa la Tanzania kuamua kuondoa aibu katika mashindano ya kimataifa ya klabu bingwa barani Africa kwa kuruhusu timu mbili tu ziende likaliwakilishe Taifa. Timu hizi si nyingine bali ni Simba sc na Simba Queens. Washiriki wengine wamezidi kulitia aibu taifa.Ni wito wangu kwa...
  3. CRDB Bank Taifa Cup 2022 yafunguliwa Tanga

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba (katikati) akifurahi jambo na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (wanne kulia) wakati wa ufunguzi rasmi wa Mashindano ya taifa ya mpira wa kikapu 2022 (CRDB Bank Taifa Cup), yaliyoanza leo kwenye uwanja wa Bandari jijini Tanga na...
  4. Ewe Taifa la Marekani ni wakati sasa ujirekebishe tukuheshimu kama kiongozi

    Ni ukweli usiopingika majirani hawa kihistoria walikuwa wanakula pamoja wanacheka pamoja wanacheza pamoja lakini sasa wamekuwa paka na panya Korea Kaskazini na Korea Kusini sababu ni wewe. Ukraine na Russia sababu ni wewe
  5. Nigeria: Kocha wa timu ya taifa hajalipwa mshahara miezi 6

    Kocha huyo wa Super Eagles, Jose Peseiro aliyeajiriwa Mei 2022 anadai jumla ya Dola 420,000 (Tsh. Milioni 979 kwa kuwa kwa mwezi anatakiwa kulipwa Dola 70,000 (Tsh. Milioni 163). Chini ya Sheria za sasa za FIFA, Peseiro ambaye ni kocha wa zamani wa Saudi Arabia na Venezuela anaweza kusitisha...
  6. DRC: Balozi wa Rwanda apewa saa 48 za kuondoka Nchini humo

    Balozi Vincent Karega ameamriwa kuondoka Nchini ndani ya saa 48 kutokana na tuhuma za mara kwa mara za Rwanda kuunga mkono Waasi wa #M23, madai ambayo Rwanda imekuwa ikikanusha mara kwa mara Uamuzi wa kumfukuza Karega unatarajiwa kuzua zaidi mvutano kati ya Nchi hizo Mbili ambazo uhusiano wao...
  7. Taifa Stars, Robo Fainali na Dona - World Cup 2022

    Wataalam, Niipongeze Taifa Stars kushiriki na kuonyesha uzalendo na ushindani katika michuano ya kombe la dunia ingawa kuna mapungufu mawili matatu yanayosahihishika ni hatua kubwa kwa timu na serikali kwa ujumla tunajua huu ni mwanzo wa maendeleo mapana yajayo, tuizungumzie timu yetu; Hali...
  8. Legal Guru mlioko hapa JamiiForums Taifa lolote likiwa na yafuatayo kutangaza 'State of Emergency' ni vibaya?

    1. Umeme wa taabu 2. Maji hakuna hata ya Kuchambia Nnya 3. Maharage Bei Juu 4. Condoms za Kuazimana 5. Watu Milioni Saba ni Mataahira 6. Anayetakiwa kutujali Watanzania kipindi cha shida hatujali na ndiyo anataka kwenda Kuchanja tena Uviko 19 kwa Wachina 7. Wananchi hatuaminiani tena...
  9. Kumbukizi: Waarabu walipokojoa Uwanja wa Taifa

    Wengine inawezekana mmeanza kujua mpira baada ya uwanja wa Mkapa kujengwa. Ngoja leo niwape story moja. Wakati tunatumia uwanja ambao leo unaitwa wa Uhuru, uwanja ulikuwa katika hali mbaya sana, ingawa kwa macho na mtazamo wetu uwanja ulikuwa fresh tu. Huko ndiyo jina la 'Shamba la Bibi'...
  10. Dodoma: Taarifa ya Kufanyika Vikao vya CCM Taifa

  11. F

    Rostam Azizi na uwekezaji wa Taifa gesi

    Tanzania ni nchi ambayo kimsingi haijielewi imejikita katika uchumi upi kwani pamoja na kuwa UTI wa mgongo wa asilimia 90 ya watanzania wote ni kilimo Bado hakija pewa kipaumbele. Taasisi ya Nishati imejiweka kando huku tukiwa na zaidi ya miaka 60 ya uhuru lakini source kuwa ya Nishati ni...
  12. Mambo ya ajabu yamelighubika taifa letu. Umeme unakatika ovyo huku Waziri mwenye dhamana anadai kuna Megawatts 14000 za ziada

    Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme. Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku. Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
  13. T

    Nguvu iliyotumia CCM kujiimarisha ingetumika nusu yake tu kuimarisha uchumi wa nchi tungekuwa mbali sana kiuchumi kama taifa

    Ccm inajisufu na kujitutumua kuwa ni chama kikubwa sana Afrika, kwa kuangalia historia wafuasi na mtindo wake wa kubadili viongozi wao kwa njia ya amani na utulivu. Hata hivyo makusudi makubwa ya chama chochote duniani ni kwa ajili ya kushinda uchaguzi ili kuunda serikali na kushika dola. Lengo...
  14. Ni kwanini Usalama wa Taifa wa Israel hujulikana tokea wakiwa wadogo, ila nchi zingine wale 'failures' ndiyo 'huajiriwa' huko?

    Kuna nchi Moja (nimeisahau kwa sasa) nimeambiwa recruiting yao kuingia huko ni mpaka uwe na 'Characters' zifuatazo: 1. Failure Academically 2. Ukiwa Msomi basi ujue Kujipendekeza 3. Uwe na God Fathers wengi huko 4. Uwe Mnafiki na Mfitini 5. Uwe Member wa Chama Dola 6. Ujue Kujiroga na Kuroga...
  15. T

    Zitto Kabwe: Nakushukuru Rais Samia kwa kudumisha utulivu wa kisiasa kwenye taifa letu

    Alipozungumza kwenye mkutano wa rais amesema Rais ameleta utulivu wa kisiasa kwa nchi yetu hasa baada ya kuunda kikosi kazi. Amesema Rais Samia ana dhamira ya dhati ya kufanya mambo makubwa kwa taifa letu, akiwaomba wananchi wampokee na kumuunga mkono. --- "Rais wetu ana dhamira njema sana...
  16. Kumuenzi Baba wa Taifa: CCM, Serikali, Viongozi na Watanzania kwa Ujumla. Je, tunamuenzi kwa Mawazo, Maneno na kwa Vitendo? Tunamuishi?

    Karibuni tena kwenye makala zangu za “Kwa Maslahi kwa Taifa”, zinazozungumzia mada mbalimbali kuhusu taifa letu ziwe ni za kisiasa, za kiuchumi au za Kijamii, baada ya leo ni kuhusu kumuenzi Mwalimu Nyerere, kwa vile Tarehe 14 October ni Nyerere Day, leo naomba tutafakari jinsi sisi Watanzania...
  17. Kama mafanikio ya Taifa la Israel kwa sasa kunasababishwa na utukufu wao, Je kipindi walichokuwa wanafeli tuhesabu vipi?

    Habari za muda huu wana JF. Kumekuwa na mtizamo kuhusu Taifa la Israel watu wakisema ni Taifa la Mungu yaani limeshindikana ulianzishwa nao vita hautashinda sawa unashindana na Mungu ,baadhi ya hoja zinazotumika; Amezungukwa na maadui pande zote lakini hawamuwezi kila mipango yao...
  18. B

    Lililokuwa taifa la kupigiwa Mfano halipo tena

    Tanzania ya enzi za Nyerere ikiheshimika kila pembe ya dunia haipo tena. Tanzania hiyo ilikuwa na misimamo yake iliyojulikana na isiyotetereka. Uhuru wa Tanzania hiyo haukuwa na maana yoyote bila Afrika yote kuwa huru. Uhuru wa Tanzania hiyo haukuwa na maana yoyote kama kulikuwa na ukiukwaji...
  19. L

    Endelee Kupumzika Kwa Amani Baba Wa Taifa, Tanzania Ipo katika mikono Salama Ya Mwanao Mama Samia Suluhu Hasssan

    Ndugu zangu ni miaka Sasa Tangia Baba Wa Taifa Hayati Baba wa Taifa atutoke, Hakika lilikuwa Ni pigo kubwa Sana kwa Taifa letu kuondokewa na Baba Wa Taifa Mlezi wa Taifa, maktaba ya Taifa, Rejea ya Taifa, Mfariji wa Taifa, Mwongozo Wa Taifa, Mwenye kauli iliyosikilizwa na kuheshimika na kila...
  20. M

    Tunakosea tunaposema mazuri aliyofanya hayati Julius Nyerere huku hatusemi mabaya aliyofanya na yametugharimu kama taifa

    Kweli alipambana akasomesha wananchi wake na akahakikisha kuwa taifa linakuwa na umoja na mshikano. Lakini ukweli kuwa aliharibu uchumi wa taifa na kuliacha masikini huwa hauwekwi wazi. Hayati Nyerere alisahau kupambania uchumi wa taifa lake. Akabaki kupigana vita kuzikomboa Uganda, Zimbabwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…