taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Victoria C Mwanziva: Mgombea nafasi ya Umakamu Mwenyekiti UVCCM taifa

    Hongera sana Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa UVCCM TAIFA Comrade Ndugu VICTORIA C MWANZIVA kwa kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Kugombea na Kuwania Nafasi ya Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa. Ikawe Heri Kwako. Na Mungu akubariki Sana. ✅🇹🇿🙏
  2. UTEUZI CCM JUMUIYA: Chama cha Mapinduzi chateua wagombea nafasi ya Taifa katika Jumuiya zake zote, hawa hapa walioteuliwa

  3. Rais ndiye anajua kwa usahihi miradi itaisha lini na kiwango cha uchumi wa taifa letu

    Rais ndiye anatafuta pesa zote za miradi na kujenga uchumi wetu. Hivyo ni yeye ndiye anajua kwa undani zaidi ukamilikaji wa miradi na level ya uchumi wa taifa letu. Tuwe makini kumsikiliza Rais wetu anapohutubia.
  4. Utalii wa ndani: Kundi la watalii wa ndani wapatao 500 watembelea hifadhi ya taifa Ruaha

    Msafara wa watalii wa ndani wapatao 500 wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendegu wametembelea Hifadhi ya Taifa Ruaha iliyoko mkoani Iringa hivi karibuni kwa lengo la kuhamasisha utalii wa ndani na kuvutia wawekezaji ili wawekeze katika miundombinu ya utalii. Akiwa katika...
  5. M

    Kumpatia Majaliwa ajira Zimamoto, kumpelekeka Bungeni na kumpatia mil 5 sio suluhu ya matatizo ya taifa letu

    Tuna changamoto lukuki kama taifa ambazo zinatakiwa kupatiwa suluhu na serikali kupitia vyombo vya dola na wala sio porojo za kisiasa. Tuna majambazi, panya road na vibaka. Wanasumbua kwa zaidi ya miaka ishirini. Hapa napo tusaidiwe na akina majaliwa? Tuna wahamiaji haramu kibao wanaishi na...
  6. Sio sawa watoto kumaliza mtihani wa taifa kisha kuendelea na masomo ya mwakani

    Darasa la nne wamemaliza mitihani hivi karibuni. Na wote tunafahamu jinsi hizi shule za siku hizi zinavyochukulia mitihani kama vita maana kipindi chote cha mwaka watoto hawapumziki kisa mtihani wa taifa na hubebeshwa madaftari yote na vitabu juu. Mbaya zaidi watoto walianza kutoka jioni saa...
  7. Taifa linafanyiwa ubadhirifu na wahuni wachache halafu mnabaki kumletea lawama Waziri Majaliwa kisa tu ajali ya ndege Bukoba

    Leo hii mgao wa umeme umekuwa kero kwa taifa letu kiasi cha kuporomosha uchumi wa wananchi lakini mnachukulia poa. Hiyo kampuni ya Mahindra group iliposaini mkataba wa bil 78 kuiboresha TANESCO mbona haijaboresha? Bunge linapitisha kuwa serikali ikope tril 10. Halafu zinakopwa tril 15 bila...
  8. Mashujaa wa taifa hili mwezi huu afande mtarajiwa Majaliwa na Yangaa mmenikosha sana

    MUNGU Awabariki KUJITOA KUNA BARAKA ZAKE THX ENGN THX MAJALIWA THX DAR YOUNG AFRICANS
  9. Wapi naweza kupata deni la taifa hadi kufikia leo?

    Wakuu naomba msaada katika hilo.
  10. Serikali isipowapiga marufuku 'Mitume na Manabii' wa mchongo, miaka michache ijayo tutakuwa na Taifa la ovyo sana

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia huduma zinazotolewa na hawa manabii na mitume wanaoibuka kama uyoga hapa nchini. Nimegundua Serikali isipochukua maamuzi magumu kuwapiga marufuku hawa watu, miaka michache...
  11. Pesa isiwe kipimo cha Utu, familia na taifa litaangamia

    PESA ISIWE KIPIMO CHA UTU; FAMILIA NA TAIFA LITAANGAMIA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani Nataka watu waelewe kuwa Maisha hayana maana yoyote Kama hautajali utu wako na utu WA watu wengine. Tafsiri sahihi ya Upendo ni kujijali utu wako na utu wa wanaokuzunguka. Koo kubwa zote zenye nguvu...
  12. Vikosi vyetu vya Zimamoto na Uokoaji ni kwaajili ya Maonesho tu pale Uwanja wa Taifa?

    Hawa watu wanakuwaga na sifa sana kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru, huwa wanatuonesha umahiri na ukakamavu wao, cha ajabu yanapo tokea majanga huwa hawaishiwi visingizio. Halafu kuna kipindi huwa wanateketeza mali za Umma kuandaa mazoezi ya utayari, yaani wanaandaa ajali feki ya ndege au...
  13. 09/11/2022: Simba Queen inaenda kuirudisha heshima ya Taifa tena baada ya Yanga SC kujaribu kuipoteza

    Mnano 09/11/2022 timu bora kabisa katika ukanda Wa Africa Mashariki na Kati, Simba Queen itakua ikiendelea kuliheshimisha Taifa. Kuanzia 19:00 Simba Queen itakua dimbani nchini Morocco ikipambana na 'Mabingwa Watetezi' Mamelodi Sundowns Queen katika nusu fainali ya CAF Women's Champions League...
  14. R

    Kwa Mfano Ndege iliyoanguka ingekuwa ni Ndege ya Adui kutoka Taifa jirani ingechukua Muda gani kukabiriana nayo?

    Wakuu nimejaribu kuwaza kiusalama zaidi. Mungu si athmani hii iliyoanguka na kuchukua muda mrefu kuokolewa kama ingekuwa ni ndege ya kivita kutoka kwa maadui wetu jirani. Kwa mfano lakini. Ingechukua muda gani kukabiriana na adui huyo? How fast is our rapid response teams for any aspect of...
  15. M

    Pombe kali za bei rahisi zinaliharibu taifa letu. Vijana wanahariba afya. Nguvu kazi ya taifa inatekeketea

    Hizi pombe ni kali zaidi hata ya gongo, zinaharibu afya ya vijana wengi nguvu kazi ya taifa. Vijana wanakauka, wanakunywa bila kula, zinaharibu kila kitu maana wanashindwa hata kuperform kitandani.
  16. Inawezekana Taifa letu limelaaniwa

    Tuna silaha za moto kuua watu kwenye Mbuga za wanyama kisa walienda tu kuwinda swala. Tuna Magari ya TRA (land cruiser) mipakani kuwakamata vijana wanabeba sukari kg 20 kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine na kuwapa kesi za uhujumu uchumi. Tuna boti za patrol ziwani 24/7 kukamata wavuvi na...
  17. Naomba Viongozi wa huu mtandao mnifungie account yangu kwa kipindi Cha mwaka mzima ili nifanye maombolezo.

    Moderator naomba msifute huu Uzi Wangu Nimepata uchungu mkubwa Sana Hadi kichwa kinauma pamoja na kumeza Panadol kumi kwa siku lakini holaaa!!! Je hii Ndege Ingebeba Viongozi wa nchi mmegetumia mbinu hizi hizi za uokoaji wa kamba!!! Nimepandwa na Hasira Hadi pressure hipo Juu inasoma 190/90...
  18. Wananchi wamepoteza imani kwenye taasisi zote za Serikali. Kama Taifa tunafahamu hatari iliyo mbeleni?

    Wananchi wanapopoteza imani kwenye taasisi za serikali huwa kuna uwezekano mkubwa kwa nchi husika kuingia kwenye korongo. Haijalishi idadi ya hao wananchi, madhara ni lazima yawepo tu. Ukisoma historia, mifano iko mingi mno. Wananchi wakikata tamaa kuna kitu huzaliwa ambacho wengi kifalsafa...
  19. Taifa linaomboleza. CHADEMA wamebaki kuendekeza majungu. Hawajui hata zilizoendelea raia hushiriki kuokoa kwenye majanga?

    Ukitembelea Twita kila mfuasi, mwanachama na Mwanachama wa CHADEMA anaponda wavuvi kutoa msaada ya kuokoa. Hivi kuna ubaya gani raia kusaidia kufanya maokozi? Mbona hata huko USA na Ulaya majanga yakitokea raia huwa wanatoa msaada.? Ina maana CHADEMA nyie ni watu wa kuponda hata kama kuna msiba?
  20. M

    Chadema: Kama Taifa hatuna uwezo wa kukabiliana na majanga

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…