taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Taifa linapokuwa na chama cha upinzani kama CHADEMa ni wastage of money and resources. Wastage at full capacity.

    Wanahadaa umma kuwa wao ni strongest opposition party. Wanachangisha michango ya kila namna. Kidigital na ya kimanual. Wanakula mapato ya wananchi. Taifa lipo na matatizo lukuki. Wanaamua kulamba asali. Hawafai kabisa maana sio watetezi wa taifa letu. Haya lambeni asali sasa.
  2. Je, wajua? Pesa iliyotoa Qatar kuandaa Kombe la Dunia ni pato la Taifa Tanzania kwa miaka 3.5

    Qatar nchi yenye km za mraba 11,000 na watu wapatao milioni 3 imeandaa Kombe la Dunia lililotumia gharama zaidi tangu Dunia iumbwe. Zaidi ya dola bilioni 220 zimetumika kwenye maandalizi mpaka kufanikisha Kombe la Dunia huku mapato ya kiuchumi yakitarajiwa dola bilioni 7.5 pekee mpaka kuisha...
  3. E

    Qatar ni taifa la kuigwa kwa kusimamia maadili na misingi ya nchi yao. Kwanini tusiwaige?

    Pamoja na mgao wa umeme, nafuatilia kombe la dunia, na moja kati ya vitu nilivyofurahishwa navyo, ni namna hawa wenyeji Quatar walivyosimama kidete kutetea utamaduni na mila za nchi yake. Hili ni jambo zuri na huenda katika vitu vilivyosababisha nchi hiyo kuwa juu sana kimaendeleo ni misingi...
  4. S

    Kwanini Victoria Charles Mwanziva, Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa 2022-2027

    KWA NINI VICTORIA CHARLES MWANZIVA MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA 2022-2027 Kuna mambo Matano Muhimu sana katika Maisha ya kawaida mtu anapotaka kununua kiwanja katika eneo Fulani na kujenga nyumba lazima azingatie upatikanaji wa huduma muhimu za Kijamii kama Maji, Umeme, Nyumba za Ibada, Shule...
  5. M

    TaifaStarz ni wazuri kuliko Senegal. Basi tu ipo siku tutatoboa

    Hakuna ubishi. Staz wanakipiga kuliko Senegal. Kila mtu anaona kwa macho yake. Au mnabisha?
  6. Vijana wa taifa letu mnasikitisha. Saa 12:30 asubuhi Jumatatu nakutana na kijana duka la dawa ananunua kondomu

    Leo nimekutana na tukio limenisikitisha sana nimeenda duka la dawa kununua dawa zangu za presha nakutana na kijana na yeye anapata huduma, yeye kafuata kondomu anasema anaenda kazini. Hii nchi ina vijana wa ovyo sana yaaani j3 asubuhi yote hii saa 12 mtu baada kwenda kwenye uzalishaji...
  7. Azam achieni chanel ya TBC Taifa watu waangalie kombe la dunia

    Ajabu sana CHANEL ya TBC TAIFA ni bure kwenye kisimbuzi cha azam ajabu mda huu wameanza uchambuzi azam wameifunga hiyo CHANEL ya TBC je hii ni halali hii fungeni CHANEL zote Hii inchi inachezewa sana
  8. Taifa lolote linapokosa kiongozi mwenye msimamo thabiti na madhubuti raia wake huangaika hata kama kuna utajiri wa rasilimali

    Angalia Drc wakati wa Mobutu wa Zabanga. Pamoja na utajiri wake wote ule raia wake waliishi kwa tabu na umasikini mkubwa. Mpaka leo hii imekuwa ni kama laana. Huko Afrika ya kati mataiafa kama Niger ni aibu kwa Africa yetu. Leo hii taifa kama Tanzania pamoja na kuwa na rasilimali lukuki...
  9. Maigizo yanaendelea Taifa muda huu kati ya Ruvu dhidi ya Simba

    Aisee mnao angalia gemu ya simba nadhan mnaona maigizo na namna match fixing Zinavo kua.. Mechi ya simba na ruvushooting huwaga ni maigizo matupu.. We Uliona wap boko anafunga 😂😂 Yaani wachezaji wa ruvu ni kama wamefungwa Mawe mguuni Haya kila la kheri Mtaani katika igizo lenu mda huu taifa
  10. J

    Wakulima tumpuuze Dr. Bashiru Ally hana jema kwa Taifa letu

    Hali isiyokuwa ya kawaida tarehe 17 Novemba, 2022 wakati wa mkutano wa wakulima Dr. Bashiru Ally aliongea maneno yenye chuki, kuvunja moyo na yenye uchochezi na kumgombanisha Rais na wakulima ili hali wakulima wanajua mazuri yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha muda mfupi...
  11. T

    Iran inaenda kuanguka na huenda baba wa Taifa hilo yakamkuta ya Sadam Hussein

    Dunia inaenda kwa kasi na nguvu ya Intelligence ina ziangusha serikali zinazo ongozwa na maono ya 1918... Dunia kweli ina kimbia sio kutembea na huu usemi ni dhahiri pale Iran. Iran bwana Ameruka mkojo amekanyaga kinyesi akaruka mkaa wa moto akakanyaga vumbi la moto sasa haamini kinacho tokea...
  12. Uhaba wa Maji na Umeme ungetokea katika Taifa lenye Raia 'wanaojitambua' la Kenya Rais Ruto asingekuwa anazurula zurula tu kama nzi

    1. Sishangai sana ndiyo maana hata Kielimu tu Wakenya wamewaacha mbali sana Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi. 2. Sishangai sana ndiyo maana hata Kiakili tu Wakenya wamewazidi mbali mno Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi. 3. Sishangai sana ndiyo maana Wakenya ni Watu wenye...
  13. Hivi Taifa lolote likiwa na 'Crisis' ya Maji na Umeme 'Kiusalama' kutangaza 'State of Emergency' ni Kosa au Kujidhalilisha?

    Na je, Maadui ( wenye Utaalam na walioiva Kimedani ) hawawezi kutumia Crisis ya Kukosekana kwa Maji na Umeme katika Taifa lolote duniani katika Kujipanga Kimashambulizi na hata Kuliharibu ( Kuliteketeza ) Taifa na Kizazi chake? ONYO Katika haya Maelezo yangu hapa sijaitaja nchi yoyote ile sasa...
  14. Kama kweli Watanzania tupo makini na taifa letu, basi Mkuu wa Mkoa wa Tanga hastahili kuwepo ofisini

    Kama taifa tuna Mambo na vitu vingi vya kufanya lakini kwajili alilofanya Omary Mgunda aisee hapana huyu bwana arudi tuu kule kwenye Biashara ya mazao. Haiwezekani kijana Mdogo aliefanya jambo lake kishujaa na kiitifaki kama Taifa na serikali lishakubali na kumpa medani, Sasa katika kipindi...
  15. Kwanini watu wengi siku hizi hujifanya ni usalama wa taifa, askari au wanajeshi?

    Habari za leo wanajamvi! Natumaini wote ni wazima wa afya na tunaendelea vyema kusukuma gurudumu la maendeleo ya taifa letu ingawa ni kwa kasi ya kobe lakini si haba, tukishirikiana na serikali yetu tukufu. Kwa miaka kadhaa ya hivi karibuni kama wewe/nyinyi ni...
  16. J

    UWT taifa tunakwenda na Gaudentia Kabaka nafasi ya Mwenyekiti

    UWT TAIFA TUNAKWENDA NA Comred. GAUDENTIA KABAKA Mchague GAUDENTIA M. KABAKA Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa #Daraja Bora la Maendeleo ya Chama, Serikali na Wananchi.
  17. Mwambieni Muokoaji na Shujaa wenu wa Taifa Majaliwa Jackson akazame katika Majivu ili azipate

    "Nautaka Uongozi wa Soko la Kariakoo uniletee Nyaraka zote za Soko hili kabla halijaungua July 10 mwaka jana" Waziri TAMISEMI Angellah Kairuki. Chanzo: TAMISEMI Akishindwa naomba mniahidi GENTAMYCINE kuwa nikivipata kwa Kuzamia katika Majivu na Kifusi nami mtanichangia Pesa, mtaniita Shujaa na...
  18. Fainali ya CRDB bank taifa cup jijini Tanga

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa (katikati) akirusha mpira juu kuashiria kuanza kwa mchezo wa fainali kati ya Dar es salaam na Unguja (Wanawake) wa mashindano ya CRDB Bank Taifa Cup yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Bandari Jijini Tanga. Watatu Kulia ni...
  19. J

    Victoria C Mwanziva: Mgombea nafasi ya Umakamu Mwenyekiti UVCCM taifa

    Hongera sana Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa UVCCM TAIFA Comrade Ndugu VICTORIA C MWANZIVA kwa kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Kugombea na Kuwania Nafasi ya Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa. Ikawe Heri Kwako. Na Mungu akubariki Sana. ✅🇹🇿🙏
  20. UTEUZI CCM JUMUIYA: Chama cha Mapinduzi chateua wagombea nafasi ya Taifa katika Jumuiya zake zote, hawa hapa walioteuliwa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…