taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Kifo cha Magufuli kilileta udumavu mkubwa wa kifikra ambao ni hatari kwa Taifa. Watanzania tubadilike

    Habari JF, Inasikitisha sana kwa sana kuona Watanzania tumegawanyika na huu mgawanyiko umekaa kishabiki kiasi kwamba hata wale waliokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri huo uwezo haupo tena. Kwa sasa ni dhahiri tumegawanyika makundi matatu kama ifuatavyo: 1. Wafuasi wa Awamu ya Tano (JPM), hawa...
  2. Elimu ya darasani haina faida zaidi ya kutengeneza vijana tegemezi

    Kuna watu tunawafahamu kabisa hawana hii elimu ila wako vizuri na unaweza shangaa wao ndio waliotusomesha mpaka leo tuko na degree na ma PhD ila wao hata hawakunusa karatasi. Elimu ya darasani hii imerudisha maenndeleo ya wananchi nyuma kabisa. Mtu anauza shamba eti mwanae asome mwisho wa siku...
  3. R

    Watanzania kwa sasa hawajali Rais anamteua nani mwenye nini kama atasimamia Haki, amani na Maendeleo ya Taifa

    Kwanza nimpongeze Mh Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyezi Mungu azidi kumpa nguvu na hekima ktk utendaji wake. Kwamba ameteua Mpagani, Mwislam, mkristo au Myahudi hiyo sio issue wala kesi. Cha muhimu ni kuwa huyo anayeteuliwa anaamini katika misingi ya Utu, Haki, umoja na utamaduni wa kukataa...
  4. Naibu Waziri Masanja atatua mgogoro wa mpaka kati ya kijiji cha Buger na hifadhi ya taifa ziwa Manyara

    NAIBU WAZIRI MASANJA ATATUA MGOGORO WA MPAKA KATI YA KIJIJI CHA BUGER NA HIFADHI YA TAIFA ZIWA MANYARA Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ametatua mgogoro wa mpaka kati ya Hifadhi ya Ziwa Manyara Mkoani Arusha na wananchi wa kijiji cha Buger katika Jimbo la Karatu...
  5. NADHARIA Huduma ya Pacemaker haipo Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Baadhi ya wanachama wa JamiiForums wamedokeza kudai kwamba huduma ya Pacemaker haipo Muhimbili. Aidha, madai hayo yanabainisha kwamba wagonjwa wamekuwa wakiahidiwa kuletwa kwa huduma hiyo lakini mpaka sasa haijawekwa na kuna taarifa kuwa baadhi wamepoteza maisha kutokana na kukosa huduma hiyo.
  6. Je, Ofisi ya Taifa ya Takwimu ina wajibu wa Kutoa Tamko kuhusu Usambazaji wa Takwimu zilizo bandikwa mitandaoni?

    Wakuu, Wahusika, Ni matumaini yangu mmejaa rehema na amani Asubuhi hii katika kukabiliana na majukumu yenu. Nawaombeni muda wenu mchache kutathmini Uzi huu ili kuweza kulinusuru Taifa. Mada: Katika kile nilchokiona kamaa ni ukiukwaji wa Sheria ya Takwimu, Statistics Act (revised 2019) Sehemu ya...
  7. U

    Taifa lililokufa kimaadili, rushwa, uwizi, ubakaji, dhuluma kila mahali

    Nchii hii haina maadili hata sehemu Moja, nimejaribu kuchunguza juu juu ni kwamba hamna uaminifu hata sehemu Moja, uraiani, biasharani, Serikalini. 1. Serikali inaiba uchaguzi wazi wazi 2. Kupata tenda Serikalini mpaka uhonge au Kiongozi mkubwa awe nyuma yako 3. Kupata uteuzi , Kuna kikundi...
  8. Kwanini Vitambulisho vya Taifa kutokubalika kwenye matumizi sehemu nyingi au kutokuwa na maana sehemu tofauti

    Unasajiri laini ya simu kwa NIDA ila cha kushangaza wanakuwekea ndani ya miezi mitatu imefutwa. Unaenda kuomba mkopo benki lakini kitambulisho cha NIDA ni kama umepeleka Passport tu kwa nijuavyo. Suala la kitambulisho cha taifa tulivolichukulia kiukweli tumekosea kiwango kikubwa tena...
  9. Serikali yaondoa ukomo wa Matumizi ya Vitambulisho vya Taifa

    Serikali imesikia kilio cha Wananchi na imetangaza rasmi kuondoa ukomo wa matumizi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA), vilivyomalizika muda wake baada ya kufanya mabadiliko ya kanuni za usajili na utambuzi wa watu. Hayo yamebainishwa leo Jumanne tarehe 21 Februari 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani...
  10. B

    Sifurahishwi na Wachina kujenga sanamu ya baba wa Taifa

    JF Nimeona tangazo la Mh.Waziri kuhusiana na Sanamu ya baba wa Taifa ambayo wamesema watajitolea kugharamia na ambayo itawekwa Makumbusho ya Taifa. Najiuliza kwa sauti kubwa sana 1. Hivi nchi yetu haiwezi kugharamia hili? how much? 2. Ile ni Sanamu nyeti mno na ni nembo kwa Taifa letu...
  11. Ushindi wa Yanga, Je Huyu nabii wa Taifa apuuzwe?

    Kuna jamaa nimemuona kwenye Whatsapp anajiita nabii wa taifa, Anasema ili Yanga na Simba zishinde inabidi Watoe kwake sadaka ya Milioni 20 kuombea ushindi. Sasa kushinda kwa Yanga, najiuliza nani Muongo kati ya nabii na Mungu/Muungu wake? Ifike wakati watu wa Mungu washughulike na mambo ya...
  12. Simba anachapwa Taifa na anaenda Kuchapwa tena Morocco

    Anapigwa Nyumbani kwake Simba na anaenda kupigwa Morocco. Sioni hata Draw kwa Simba. Sioni. Simba kesho Jumamosi atakachoshinda ni Njaa tu. Mimi naelezea kutokana na Ubovu wa Simba na Ubora wa Raja Maftaaah Casablanca. Sheikh hawa watu nawafahamu... Huwa wanafumua mishono. Wanatatua kila kitu...
  13. E

    Rais Samia zuia vibali vya chakula kwa sasa, utalaumiwa lakini Taifa litakukumbuka kama mkombozi wa kiuchumi

    Mama kwa kifupi hatua unazochukua katika kilimo sina uhakika na zote lakini hili la kufungua masoko ya nje ni mwarobaini wa kilimo. Kilimo cha Tanzania kilidumaa kwa sababu ya upofu wa viongozi waliopita. Naomba nirejee katika hadithi iliyoko katika biblia. Wamisri walikuwa utumwani misri...
  14. Mchengerwa, ingia katika historia kwa kuongeza idadi ya visiwa vitakavyokuwa chini ya hifadhi ya taifa ya Saanane, ndani ya ziwa Victoria

    Namshauri ndugu Mchengerwa moja kati ya majukumu atakayofanya ni kuongeza idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini ya hifadhi ya SAANANE. Kisiwa Cha saanane ni hifadhi ya taifa, na kwa kuangalia mbele, nashauri iongeze idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini yake, hii itakuwa ni kwa kuangalia...
  15. Hayati Magufuli alijiona kama Baba wa Taifa na next to none

    Salaam Wakuu, Leo sionglei hela za Wahujumu Uchumi kwenda kufichwa China na mchakato wa Investigating Plea Bargaining. Ni uzi mwingine ntaweka. Kipindi anaenda kuchukua fomu ya kuomba apendekezwe kugombea urais kupitia CCM, alienda Dodoma kimyakimya kama mwizi na kwa Mjibu wa Zitto ni Mwizi...
  16. Huu ni wakati wa kukubali lugha za Taifa ni mbili, Kiswahili na Kiingereza

    Sijui tunakwama wapi. Ila deep inside Kiswahili ni lugha dhaifu sana yaani sio stable hata hivyo sio romantic hata kibiashara ni weak sana. Hata ukitongoza demu kwa Kiswahili na jamaa mwingine akatongoza kwa English; yule wa Kiswahili ni likely kupigwa chini mara elfu zaidi na kukubaliwa wa...
  17. Tujadili kama Taifa: Watoto wamefutiwa mitihani. Je Serikali iwe na plan B?

    Waziri wa Elimu mhe. Adolf Nkenda amesimamia maamuzi ya Baraza la Mitihani la Taifa kuhusu uamuzi wa kufuta matokeo ya baadhi ya wanafunzi ambao wamegundulika kufanya wizi wa mitihani yao ya Taifa. Amewaomba Wabunge waunge mkono msimamo wa Baraza kwenye uamuzi huo. Na bahati mbaya sana kwa...
  18. Malipo kwa wenyeviti na wenezi CCM (wilaya, mkoa na taifa)

    Wakuu, Kwema? Huwa tunajadili mengi sana yenye tija kwa chama, Serikali na Jamii. Hii ni akili na matendo ya kiungwana sana. Sasa leo naomba tukubaliane jambo dogo tu linalohusu wenyeviti, na wenezi wa wilaya na Mkoa Ni huzuni kuona viongozi hawa kwa namna wanavyokiwezesha chama kubaki...
  19. S

    Picha: Kama taifa tumepitia katika nyakati za ovyo Sana

  20. Mvua imetuvua nguo kama Taifa. Aibu hii

    Mvua imenyesha na hakika ardhi imepokea maji hadi imetota. Wakazi wa mijini tumeshuhudia adha kubwa inayotokana na ubovu wa miundombinu ya kutiririsha maji. MTWARA Nyumba zaidi ya 17 zimezingirwa na maji (kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV) na wananchi wanalalamikia ufunyu wa mitaro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…