taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. Inastaajabisha! Siasa majitaka na uchawa zinadidimiza Taifa hili

    Tusipozinduka sasa, tutakuja kuamka na kukuta majirani wako dunia nyingine, Pamoja na hali ya siasa za ndani Uganda kuwa ni za kidikteta, Lakini taifa hilo linazidi kupiga hatua kubwa, Kupitia kiwanda chake cha Magari cha Kiira Motors LTD, Mwaka 2018 ilianza rasmi kuzalisha mabasi yanayotumia...
  2. D

    Kwa Miaka 6 hatukuona wala kusikia ugonjwa wa Kipindupindu, hii ni aibu kwa Taifa

    Hakuna neno zuri unaloweza kutumia zaidi ya aibu! Aibu! Aibu! tena aibu kubwa. Serikali kupitia Wizara ya afya imeutangazia Dunia hadharani kuwa ugonjwa wa kula kinyesi cha binadamu (kipindupindu) kimerejea nchini na tayari kuna wagonjwa 72 na 3 kati yao tayari wamekufa. Kwamba ugonjwa huo uko...
  3. Mlionidhihaki na Kutoniamini niliposema akina Kapombe na Hussein watarudishwa Taifa Stars Timu ikirejea kutoka Misri mpo wapi?

    Kwa Kujiamini kabisa GENTAMYCINE niliandika Uzi wa kuhusu urejeo Wao Kikosini na nikasema kuwa Timu ya Taifa ya Taifa Stars ikirejea tu kutoka nchini Misri watajumuishwa na hatimaye kweli imekuwa kama nilivyosema na wako Kikosini ( Kambini ) sasa. Jamani sikutwaa Tuzo ya Mwanachama Bora Jukwaa...
  4. Hii ndiyo sababu Kuu (Kubwa) ya Mabeki Shomary Kapombe na Mohammed Hussein kuachwa Taifa Stars

    Sasa kama GENTAMYCINE nakuwa Informed hivi na nina Sources wangu ( Authoritave, Credible and Reliable ) kila Kona kwanini nisiwe Mshindi wa Jumla ( Bora ) wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka 2022? Haya chukueni hii na nawaomba muiamini tena kwa 100% kwani nimeitoa kwa Mtu...
  5. Vazi la Taifa Nchi ya fiji linatia mashaka Sket kwa wanaume 🤔

    Tizama Video hii ya Rais wa fiji akiwa amevalia sketi na koti daah ...
  6. I

    The Top 10 African Countries with the Best GDP Data Quality Ratings in 2023: An Overview by World Economics

    The legitimacy of data, regardless of scale or function cannot be overstated. It is paramount that accurate data is made available to the public and primary stakeholders, in order for development to take place, particularly when it comes to public data. ======= Business Insider Africa...
  7. M

    Yuko wapi Kangi Lugola?

    Yuko wapi Kangi Lugola? Aliwanyoosha Polisi kwa uonevu. IGP Sirro akaomba msaada Ikulu ili aondolewe uwaziri. Maarufu kama Mabendera ya taifa, huyu jamaa alistahili kuwa waziri wa mambo ya ndani.
  8. Dola Bilioni 1.9 Kuimarisha Gridi ya Taifa Nchini

    Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa Serikali imetenga fedha kiasi cha Dola za Marekani bilioni 1.9 kwa ajili ya miradi ya kuimarisha gridi ya Taifa kwa kipindi cha miaka minne. Makamba amesema hayo wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka 2022/2023 kwa...
  9. Uongozi Shirika la Posta na TTCL mkiweka kando utendaji wa kimazoea Mtatoa huduma bora zaidi badala ya kero kwa maslahi ya Nchi yetu

    Wakurugenzi wa haya mashirika mawili mnajidhalilisha sana na kudhalilisha nafasi mlizopewa pamoja na taaluma. Yaani mashirika yanafanya kazi kwa style ya kizamani mnoooooo. Kuna wakati inabidi mjikagaue msome alama za nyakati, anagalieni basi japo wengine wa nchi nyingine wanaofanya mnayofanya...
  10. Leo zingekuwa zile beki zao Taifa Stars angefungwa

    Nimeangalia mechi ya Uganda na Taifa Stars timu imecheza vizuri sana hasa eneo la kati. Dickson Job leo alikuwa anacheza kwa kurelax. ~ Muzamir well done japo una pass za nyuma na uchelewa kupoteza mpira ila kwenye kukaba uko vizuri. ~ Mudathir well performance big brain pale kati palitulia ~...
  11. Ushauri wa bure kwa mchezaji Feisal Salum baada ya mchezo wa marudio kati ya Taifa Stars na Uganda The Cranes

    Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza timu yetu ya Tanzania (Taifa Stars) kwa kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa jadi Uganda. Hakika ushindi wa leo, umefufua matumaini ya kufuzu AFCON kwa mara nyingine tena. Nije sasa kwa mchezaji Feisal Salum (Fei Toto). Kwanza nampongeza...
  12. Taifa Stars leo anafungwa na haifuzu Afcon

    Tukutane baada ya mechi Sis Kama timu Uganda tumejipanga vyema kuhakikisha tunashinda hii mechi yetu. Viva Uganda Timu sio kabila una haki ya kushangilia kile unachokipenda KATAA UTUMWA
  13. D

    Kwanini ligi yetu ni bora kuliko ya Uganda lakini wao ni bora kwenye timu ya taifa kuliko sisi?

    Siku zote tumekuwa vibonde wa majirani zetu Uganda, Takwimu zinaonesha kuwa tumekutana nao mara 24 na wametufunga mara 13 na tumewafunga mara 6 na tumedroo mara 5! Tunakwama wapi aseee? 😂😂Hapa niko nataka niweke mkeka Sokabet kwenye mechi ya leo ila uzalendo inabidi niweke pembeni nimpe...
  14. Mary Masanja: Serikali Kuboresha Huduma za Utalii ili Kukuza Pato la Taifa

    Naibu Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii Mary Masanja amesema Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imejipanga kuboresha huduma kwa watalii katika nyanja mbalimbali ili kuvutia watalii wengi zaidi ikiwa ni mkakati mahsusi wa kuwafanya watalii ho kuongeza siku za kukaa nchini na...
  15. Lema asema hakubali mtu kuuawa kwa kuwa ni shoga

    Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini. === Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia nzima itaamini katika biblia basi suala la ushoga halitakuwa tatizo. Hata hivyo amesema...
  16. Kumbe unaweza ukaitwa timu ya taifa ila ukawa unatumika kama Comedian

    Sio wote wanaoitwa timu zao za taifa wanaenda kucheza, la hasha. Wengine wanaitwa kama comedians ili kwenda kuwafurahisha wachezaji wengine. Hivyo sio kila national team call up ni ya kufurahia nyie mashabiki mbumbumbu! Edward Kumwembe alikuwa mbele ya muda. Alikuwa sahihi
  17. Tunaobeza Sakho kitwa timu ya taifa Senegal tuweke akiba ya maneno

    Mie Sina mengi Ila tunaoweka comments humu mtandaoni tukibeza kuitwa kwa Sakho timu ya taifa, Mara anaenda kukaa Benchi, Mara hata Benchi hakai tuwe na akiba ya maneno yule mtoto anaweza kupewa dakika 10 akafunga goli Bora la mwaka Sasa sijui tutaficha wapi sura zetu. Tubeze lakini tuwe na...
  18. Mbunge Juliana Shonza: Miaka Miwili ya Rais Samia Suluhu Hassan Imekuwa Chachu ya Mafanikio kwa Taifa

    MBUNGE MHE. JULIANA DANIEL SHONZA - "MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN IMEKUWA CHACHU YA MAFANIKIO KWA TAIFA Mbunge wa Viti Maalum CCM Wanawake (UWT) anayetokea Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Daniel Shonza amempongeza Rais Samia kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani huku akijikita kwa...
  19. T

    Hakuna kitu kinaitwa uungwana au huruma katika kuongoza Taifa

    Kama Taifa lingeongozwa kwa ungwana na huruma basi Taifa Hilo lazima liwe ktk hali dhoofu na kutowajibika kwa viongozi. Taifa linaongozwa kwa amri na taratibu Taifa linaongozwa kwa codes na nje ya hizo codes tunakula kichwa Taifa haliongozwi kama unavyo mlea mtoto hapana Taifa linaongozwa kwa...
  20. Dira ya Taifa ya Kuhamia katika Nishati Safi ya Kupikia Kuzinduliwa Mwezi Juni 2023

    DIRA YA TAIFA YA KUHAMIA KATIKA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUZINDULIWA MWEZI JUNI Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ameeleza kuwa, mwezi Juni mwaka huu utafanyika uzinduzi wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya kuhamia katika matumizi ya nishati safi ya kupikia na Mpango Mkakati wa utekelezaji wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…