The Tanzania national football team (Swahili: Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Tanzania) represents Tanzania in men's international football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania, Tanzania's home ground is Benjamin Mkapa National Stadium in Dar-es-Salaam and theirhead coach is Kim Poulsen from Denmark. They are colloquially known as the Taifa Stars. Tanzania has never qualified for the FIFA World Cup. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team, The team represents both FIFA and Confederation of African Football (CAF).
The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations. See Zanzibar national football team.
Mshambuliaji wa FC Dallas ya Marekani, Bernard Kamungo, anategemewa kuwa sehemu ya kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ambacho leo Jumanne, Novemba 17, 2026 kitashuka dimbani kuvaana na Nigeria katika mechi ya marudiano ya kundi L yakuwania kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya...
Tutakuwa tunafungwa fungwa mpaka lini na AFCON hiyo hapo mlangoni? Waziri mwenye dhamana Hana mikakati mipya bali kutengenezea wenzake njia za kukwamishana au kutafuta sifa binafsi.
Mteuzi afanye maamuzi ya haraka la sivyo Kuna aibu inakuja kama wenyeji .
Huyu jamaa kila aoelekwapo lazima...
Katika mchezo wa kufuzu AFCON 2027, Taifa Stars imepoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji Nigeria, matokeo yanayoifanya Tanzania kusalia nafasi ya nne katika Kundi L ikiwa na alama moja.
Taifa Stars sasa itarejea nyumbani kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Nigeria utakaochezwa Novemba 17...
| ARSENAL NA MANCHESTER UNITED KUTUA TANZANIA?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na klabu za Arsenal na Manchester United kwa ajili ya uwezekano wa kuandaa mchezo mkubwa wa kirafiki nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo...
Kabla ya kizazi cha sasa cha mashabiki wa Taifa Stars kulikuwa na kizazi kilichoweka historia kwa kuifikisha Tanzania katika mashindano makubwa ya soka barani Afrika.
Mwaka 1980, Taifa Stars ilifuzu kwa mara ya kwanza kushiriki fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), zilizofanyika...
Wanaozilaumu timu kuwaita wachezaji wao kurudi kambini kujiandaa na mechi ya dabi badala ya kuilaumu TFF ni wahuni kama wahuni wengine tu.
TFF ina mamlaka ya kuisogeza mechi kubwa sana kwenye mashindano yake ya ligi kama ingekuwa inataka timu ya taifa icheze mechi za kirafiki. Haiwezekani timu...
Taifa Stars ipo ugenini ikimenyana na Madagascar katika mchezo wa pili wa Kundi L wa kufuzu AFCON 2027. Hadi sasa timu hizo ziko sare ya bao 1-1; Charles Kachwele aliitanguliza Tanzania dakika ya 39 kabla ya Nicolas Fontaine kuisawazishia Madagascar dakika ya 50.
Stars imeingia katika mchezo...
Furaha yangu ni kuona Taifa Stars inateseka. Huu ni mwanzo tu. Bahati yenu AFCON mwaka huu haitakuwepo maana kutakuwa na maandamano ya kudai uchaguzi vinginevyo mngefungwa mechi zote.
Utawala wa Sheria Ushinde: Kila Mtanzania Anunue Jezi Halisi ya Taifa Stars Kutoka Sandaland!
Katika nchi inayoongozwa na misingi ya sheria, maoni binafsi ya kiongozi hayawezi kamwe kuwa juu ya mikataba halali na sheria za nchi. Sakata la jezi za Taifa Stars limeonyesha wazi ukiukwaji mkubwa wa...
Waziri wa michezo makonda alisema watafytua jezi ambazo zitaenda kushindana na za sandalanda sasa hii kauli sio ya kiungwana na kistaarabu ukizingatia sandaland ana mkataba wa kutoa jezi za timu ya taifa mambo ya alishindaje tender hayana uzito sana sababu mkataba aliopewa ni halali
Mimi...
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inashuka dimbani leo saa 10:00 jioni katika Uwanja wa New Amaan, Zanzibar, kukabiliana na Guinea-Bissau kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi L wa kusaka nafasi ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).
Licha ya kuwa Tanzania tayari...
Heshima yenu wakuu na wanafamilia wote wa JamiiForums. Imekuwa ni desturi yetu kukutana hapa jukwaani kubadilishana mawazo, kutafakari, na kuweka mambo sawa pale tunapoona mustakabali wa taifa letu unahitaji jicho la ziada.
Leo nimeona si vibaya tukaweka mezani mada inayotikisa kwa sasa katika...
Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited imetangaza nia ya kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kufuatia kauli yake aliyoitoa hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii iliyoponda ubora na uhalali wa jezi mpya za timu ya taifa ya mpira...
Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited imetangaza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kauli iliyotolewa hadharani na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kuhusu jezi za Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars.
Hatua hiyo imetangazwa kupitia tamko rasmi la kampuni hiyo...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuwa changamoto na mjadala unaoendelea kuhusu jezi rasmi za Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ hivi sasa unashughulikiwa na mamlaka za juu.
Kauli hiyo imetolewa leo na Msemaji wa TFF, Clifford Mario Ndimbo, wakati akijibu swali la mwandishi wa...
Katika kundi linalojumuisha Tanzania, Algeria, Jordan na Austria nina uhakika pasipo na shaka Tanzania angepata nafasi moja kati ya tatu kumwezesha kufuzu.
Tanzania vs Algeria. Hawa tunawajua na tushacheza nao mara kadhaa. Kwa sasa Algeria wameshuka kiwango sio wa kipindi kile ambacho...
Walimu wengi wanaishi maisha magumu sana.
Nyumba za shida na mazingira ya kufundishia ya shida na tabu tupu.
Inakuwaje chama kupewa uraia imekuwa kipaumbele kuliko maendeleo ya walimu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.