tabora

  1. Zee la madawa

    Eti mtakatifu kashia utuombee, hauwezi kukuta bwana Mabula kutoka Manolea Tabora wazungu kumkiri ni mtakatifu, Waafrika bwana ni shida kwelikweli

    Mtakatifu Rita alizaliwa tarehe 22 Mei 1381 huko Kashia (italia). Alibatizwa akaitwa Margarita, tangu utoto wake aliazimia kumtumikia Mungu katika Konventi ya Mt. Austino huko Kashia, lakini alipokuwa na umri wa miaka Kumi na miwili, alilazimishwa na Wazazi wake na kuolewa na Kijana mmoja...
  2. A

    KERO Watumishi Hospitali ya Kitete (Tabora) hatulipwi stahiki zetu kwa wakati

    Ni kweli hospital inakusanya mapato kwa wingi lakini sisi watumishi tunadai stahiki zetu kwa muda mrefu tu hatulipwi extra duty na call allowance tangu 2024, 2025 na 2026. Ikitokea zimelipwa ni malipo ya mwenzi mmoja na mingine unayobakia hatulipwi, tukidai wanasema madeni yetu yapo wizarani...
  3. Jofreyma

    Natafuta Nafasi ya Credit Officer - Tabora

    Habari wakuu, Jina langu ni Jofrey, nina uzoefu katika masuala ya ukopeshaji na huduma kwa wateja. Natafuta nafasi ya Credit Officer au Loan Officer hapa Tabora. Niko tayari kuanza kazi mara moja na nina uwezo wa kufanya kazi chini ya pressure. Nipigie: [0740 490 386, 0612945593 au watssap...
  4. Zack Abdul

    Rais Samia Akamilisha Uwanja wa Ndege Tabora

    Rais Samia akamilisha ujenzi wa Uwanja wa Ndege Tabora Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan imefanikisha kukamilika kwa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Tabora, hatua inayolenga kuboresha usafiri wa anga, kuchochea biashara, utalii na kufungua fursa zaidi za...
  5. Moto wa volcano

    Mkoa wa Tabora haufai kuishi kwa mtu anayejitafuta

    Nilikuwa Road trip nilipita Tabora kwakweli ni mkoa ambao upo nyuma sana kimaendeleo halafu umepoa sana kama uji wa ulezi ulio ganda. Sishauri kwa mtu anajitafuta kuishi Tabora atakuwa maskini tu hakuna fursa yeyote ya kumtoa mtu
  6. A

    KERO Responded Mtaa wa Malabi - Tabora tunateseka na umeme, unakatika Siku 5 kati ya 7 za wiki

    Natokea Tabora Manispaa, Kata ya Mpera, Mtaa wa Malabi.. Tumekuwa na shida ya umeme ya muda mrefu ambayo haipatiwi ufumbuzi. Ndani ya siku 7 za week kuna siku 4 hadi 5 lazima tuwe hatuna umeme, tumejaribu kuwasiliana na Huduma kwa Wateja TANESCO mambo yanakuwa yaleyale tu. Soma Pia: Wiki ya...
  7. A

    KERO Barua za uthibitisho Ajira Mpya Tabora ni kero tangu Mwaka 2024

    Mimi ni Mtumishi nipo Kada ya Afya Mkoani Tabora, nimeajiriwa tangu Mwaka 2024, changamoto ipo Kada ya Ualimu na Afya intake moja Barua za uthibitisho imekuwa kero lakini mikoa mingine walishapata hatujui kwa Tabora changamoto ni ipi.
  8. Mkalukungone Mwamba

    Bodaboda Tabora tunaishi kwa wasiwasi na hofu ya kuuwawa

    Kufuatia kuripotiwa kwa matukio ya kuuawa na kuporwa kwa pikipiki za maafisa usafirishaji (bodaboda) mkoani Tabora, Umoja wa Maafisa hao (UMUTA) mkoani humo umelaani vitendo hivyo huku wakiviomba vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua madhubuti kudhibiti hali hiyo. Akizungumza na waandishi...
  9. M

    Full Time: Simba 3 -0 Tabora United. Machi 22, 2026

    Mechi ya Simba dhidi ya Tabora United inachezwa uwanja wa General Isamuhyo ===== Timu ya Simba imeichapa TRAUnited magoli 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo na hivyo kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kukimbizana na Yanga (inaongoza ligi, pointi 38...
  10. Inside10

    Umoja Wa Makanisa Ya Kipentekoste(CPCT) Tabora Yakana Tuhuma "Mapenzi Ya Jinsia Moja"

    Baraza la Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) Mkoa wa Tabora limeiomba Serikali kuruhusu kuendelea kwa mkutano wa injili unaotarajiwa kufanyika kuanzia Machi 19 hadi 22, 2026 ukiongozwa na Mchungaji Dkt. Dana Morey kutoka Marekani. Ombi hilo limekuja baada ya Serikali ya mkoa kusitisha...
  11. Mkulima na Mfugaji

    RC Chacha asitisha mkutano wa injili wenye viashiria vya mapenzi ya jinsia moja Tabora

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha amesitisha mkutano wa injili uliotarajiwa kuanza Machi 19 hadi Machi 22 mwaka huu na Mchungaji Dana Morey kutoka nchini Marekani, baada ya kubaini kuwepo kwa viashiria vinavyodaiwa kuhusishwa na mapenzi ya jinsia moja. Akizungumza na waandishi wa habari...
  12. Waufukweni

    Rais Samia amzawadia Gari Mama Kanumba

    Katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba gari jipya aina ya Harrier New Model. Hatua hii imekuja kama ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa marehemu Kanumba katika kukuza...
  13. A

    KERO Changamoto ya Malipo ya Posho za "HONORARIUM" TPSC Tabora

    Mimi kama mtumishi wa umma katika Chuo cha Utumishi wa Umma Tabora, nalazimika kuripoti kero inayotusumbua baadhi ya walimu tulioshiriki zoezi la usajili wa wanafunzi mwezi Novemba 2025. Baada ya usajili, tulianza kufundisha kwa wiki kadhaa, tukibeba jukumu la kuhakikisha wanafunzi wapya...
  14. jashmoe32

    Msaada wa Mabasi ya Mbeya to Tabora

    Habarini, Je Kuna mtu ana ufahamu wa mabasi ya kutoka Mbeya kwenda Tabora? Je ni safari ya muda gani kama tukianza asubuhi?Barabara ni Rafiki au? Ahsante
  15. A

    DOKEZO Tabora kuna raia wa nchi jirani wanauzia watu Makaa ya mawe feki

    Huku Tabora kuna watu wanajitambulisha kuwa ni Warwanda na wanapaspoti za Rwanda wanauza hayo madongo kwenye picha wakidanganya watu kuwa ni makaa ya mawe. Wanauza hayo madongo Matano kwa Tsh 5,000, mamlaka ziwafuatilie kwa haraka.
  16. M

    Hivi yule mkuu wa wilaya Tabora aliyepewa ukuu wa wilaya na Magufuli kisha akatumbuliwa awamu ya sita alirudi kazini?

    Alipewa kwa sababu baba yake alinya kazi na Magu pale Nyanza. Awamu ya sita ikamtumbua sijui kwa sababu gani. Akamburuta Rais Samia na serikali yake mahakamani. Alikuwa rapa wa CCM! Yupo wapi? Mbona kimya? Alishinda kesi?
  17. figganigga

    Nassor Hamdan Seif, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki Dunia

    Mfanyabiashara Nassor Hamdan Seif, Maarufu kama Mzee NBS, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam Mwili wa Marehemu Mzee NBS utasafirishwa kuelekea Tabora kwa Mazishi yake. Apumzike kwa Amani
  18. Roving Journalist

    Prof. Riziki Shemdoe: Sh Milioni 675 kuboresha huduma za tiba Tabora Manispaa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali imetoa Shilingi Milioni 675 kutekeleza mradi wa ujenzi na upanuzi wa Kituo cha Afya Mailimoja cha Manispaa ya Tabora, ili kuboresha huduma za utoaji tiba kwa wananchi zaidi 45,107 wa kata ya Ipuli katika...
  19. A

    KERO Watumishi Kitete Hospital(TABORA) bado hatujalipwa stahiki zetu

    Kwa muda sasa hatupatiwi call allowance,, Extra duty allowance hali inayopelekea kukosa morali ya kazi. Mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi wa 10/2025 nayo hayo malipo yalikuwa ya extra duty na call allowance za mwezi wa 03/2025. Hivyo hadi sasa tunadai extra na call allowance za miezi...
  20. Bawabu wa pili

    Tabora: Bodaboda yagonga Treni, Mwanafunzi afariki dunia

    Binti aliyejulikana kwa jina la Tatu Mgeta (23), mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College, amefariki dunia huku dereva wa bodaboda akijeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea wakati walipokuwa wamepakizana kuelekea chuoni,kugongana na treni ya abiria iliyokuwa ikitokea mkoani Tabora kuelekea...
Back
Top Bottom