taarifa za uongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TataMadiba

    Lissu mahakamani tena Novemba 19,2026 kwa tuhuma za kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa Youtube

    Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na gazeti la Mwananchi la Alhamisi, Novemba 12, 2026, kesi hiyo ya jinai namba 000008606 ya mwaka 2025 ina mashtaka matatu chini ya kifungu cha 16 cha Sheria ya Makosa ya Kimtandao ya mwaka 2015. Shauri hilo linatarajiwa kutajwa saa 4:00 asubuhi mbele ya...
  2. Waufukweni

    Tundu Lissu Kupandishwa Mahakamani Kisutu 19/11/2026 kwa kosa la Uchapishaji wa taarifa za Uongo

    Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anatarajiwa kurejea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Novemba 19, 2026, kwa ajili ya kutajwa kwa kesi nyingine ya jinai inayomkabili ya kuchapisha taarifa zinazodaiwa kuwa za uongo kupitia...
  3. C

    Wakili wa John Pambalu Hekima Mwasipu amekanusha taarifa za Hilda kwa kusema kuwa ni uongo

    Wakili anayemtetea Mkurugenzi wa Mafunzo na Oganaizesheni ya Uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Pambalu, Hekima Mwasipu amekanusha madai yaliyotolewa na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA kupitia Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Hilda Newton kwamba kurejea kwa mteja...
  4. BIOTOXINS

    Ukweli ni ngao ya taifa: Kukemea upotoshaji na taarifa za uongo

    Katika ulimwengu wa sasa wa maendeleo makubwa ya teknolojia na mitandao ya kijamii, uwezo wa kusambaza taarifa umekuwa mkubwa na wa haraka kuliko wakati wowote katika historia ya mwanadamu. Hata hivyo, uhuru huu mkubwa unakuja na wajibu mzito wa kimaadili na kizalendo. Kusambaza taarifa za...
  5. masopakyindi

    Polisi taarifa za uongo zinawaweka rehani!

    Polisi hawajijui. Na hawajui kuwa katika miaka ya karibuni jeshi la Polisi limejijengea sifa hasi mbele ya jamii. Utekaji, ubambikaji kesi na taarifa zisizokuwa na ukweli dhidi ya wananchi kwa ujumla imeshusha sana imani ya watu kwa jeshi letu la polisi. Polisi kuhusika kiamilifu mauaji ya Okt29...
  6. Zack Abdul

    Tahadhari kuhusu usambazaji wa taarifa za uongo kumuhusu Rais Samia

    Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, imebaini uwepo wa taarifa za uongo zinazotengenezwa kwa sura ya taarifa rasmi na kusambazwa mitandaoni zikidaiwa kutoka Ikulu au kuhusishwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kurugenzi inaujulisha umma kuwa...
  7. R

    Mnyika: Jeshi la Polisi lipuuze taarifa za uongo za Polisi zinazodai CHADEMA itafanya vurugu kumuokoa Lissu

    Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika, akizungumza na Vyombo vya habari kuelekea kusikilizwa Kesi ya Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kesho Juni 11, 2026 Mahakama ya Rufaa, ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuacha taarifa za uongo zinazoendelea ndani ya Jeshi...
  8. mirindimo

    Video: Bandari ya Kwala Rais anapewa Taarifa za uongo

    Mwenyekiti wa Wamiliki wa Malori nchini Tanzania TAMSTOA, Chuki Shabani amesema kwamba kuna baadhi ya watendaji wa Serikali wanamdanganya Mhe. Rais. Akijibu swali la mwandishi kuhusu ufanisi wa bandari ya Kwala kufanya kazi kama ilivyoahidiwa kuwa itakuwa ni asilimia 100% amesema siyo kweli...
  9. M

    Wafikishwa mahakamani kwa kudaiwa kutoa taarifa za uongo kuwa wameibiwa nyeti

    Wanaume sita, wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni kujibu shtaka moja la kutoa taarifa za uongo kuwa wameibiwa nyeti zao (uume) wakati wakijua kuwa ni uongo. Washtakiwa hao ni Price Pius (26), Juma Abeid (26), Nurdin Nondwa (23), Yusuph Rashid (36)...
  10. R

    Trump aituhumu Iran kutumia AI kusambaza taarifa za uongo kuhusu mgogoro unaoendelea kati yao

    Rais wa Marekani Donald Trump ameishutumu Iran kwa kutumia teknolojia ya akili Unde (AI) kama “silaha ya upotoshaji wa taarifa” ili kupotosha mafanikio yake vitani na kupata uungwaji mkono wa umma. “AI inaweza kuwa hatari sana, hivyo tunapaswa kuwa waangalifu nayo,” Trump aliwaambia waandishi...
  11. The Watchman

    Mmiliki wa Kusaga TV ashikiliwa na Polisi chanzo chadaiwa kuandika taarifa za uongo za kijana aliyebishana na Polisi

    Mwandishi kusaga wa Arusha ashikiliwa na polisi muda huu,chanzo chadaiwa kuandika taarifa za uongo za kijana aliyebishana na polisi Mwandishi wa habari wa alphonce Kusaga mmiliki wa Kusaga TV na mtangazaji wa kituo cha Radio cha Sunrise anashikiliwa kituo kikuu cha polisi Arusha muda huu baada...
  12. N

    Mdau je unafikiri Ai inaweza kuwa njia mbadala ya uhakika kwenye kupambana na taarifa za uongo kwenye jamii?

    Mdau je unafikiri Ai inaweza kuwa njia mbadala ya uhkika kwenye kupambana na taarifa za uongo kwenye jamii? Kumekuwepo na wimbi la kuongezeka kwa taarifa zisizo sahihi kwenye jamii na ukosefu mkubwa wa taarifa sahihi. Je Ai inaweza kuwa suluhisho ili kuhakikisha jamii inabaki salama ? (Picha...
  13. Mwanamwana

    DAR: ‘Polisi wa Mange’ kusomewa maelezo Februari 16, 2026

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Februari 16, 2026 kwa ajili ya upande wa Jamhuri kuwasomea hoja za awali (PH) askari Polisi wawili wanaokabiliwa na mashtaka ya kuchapisha taarifa za uongo katika mtandao wa kijamii wa WhatsApp wa Mange Kimambi. Hatua hiyo ni baada ya upelelezi wa kesi...
  14. DuaZaMama

    Polisi: Agnes Amos anashikiliwa kwa kutoa taarifa za uongo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Agnes Amos Liku, Miaka 35, Mkazi wa Mwanzongumu, Kata ya Msimbu, Wilaya ya Kisarawe kwa kutoa taarifa za uongo kuwa amejifungua mtoto katika Zahanati ya kijiji cha Mwanzongumu kisha mtoto wake kuchukuliwa na Afisa Tabibu asiyefahamika. Ni, Kwamba...
  15. heartbeats

    PostGE2025 Serikali iifungulie mashtaka CNN kwa uchochezi na kutoa taarifa za uongo

    Wanankumbi mko njema Yule mwanasheria mbobobevu aliejinadi ataenda kumkamata Mange Atatakiwa kuandaa mashtaka ya kwenda kuifungila CiNN kesi kwa kuchafua Taifa linalosadikika halifanyi uovu wa kibinadamu kwa Raia wake, CiNN itabid kutozwa fain ya dolla billioni 10 hii itasaidi kupunguza deni...
  16. Waufukweni

    GE2025 Morogoro: Lucy Shayo afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi kwa tuhuma za kusambaza taarifa za Uongo

    Lucy Simon Shayo amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro asubuhi hii. Lucy Shayo anatuhumiwa na kuchapisha na kisambaza taarifa za uongo mitandaoni kwamba CCM wanatumia magari ya jeshi katika mikutano yao ya kampeni. Kumshikilia mtuhumiwa kwa siku sita bila kumfikisha mahakamani kunazua...
  17. The Watchman

    SI KWELI PreGE2025 Waziri mkuu Kassim Majaliwa ataongea na wanahabari kueleza hatima yake ya kisiasa na uchaguzi mkuu 2025

  18. N

    Humphrey Polepole apuuziwe na taarifa za uongo

    UKWELI KUHUSU KUSIFIWA KUWA TANZANIA NI MOJA YA NCHI YA AMANI NI HUU HAPA. 🇹🇿 Tanzania ni Nchi ya Amani – Ukweli na Takwimu. Kumekuwa na maneno ya kupotosha kwamba sifa za amani za Tanzania “ni maslahi ya mataifa ya nje.” Ukweli ni huu hapa: 1. Global Peace Index 2025 Tanzania imeshika nafasi...
  19. LIKUD

    Madhara ya kuandika taarifa za uongo gesti

  20. The Watchman

    PreGE2025 Mbunge Deo Sanga kufikishwa kamati ya maadili kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kwa wananchi

    MBUNGE wa Jimbo la Makambako, Deo Sanga (Jah People) anatarajiwa kufikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Makambako Wilayani Njombe, kufuatia tuhuma za kutoa taarifa za uongo kwa wananchi. Sanga anatuhumiwa kujinasibu hadharani kuwa ndiye aliyegharamia safari...
Back
Top Bottom