swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taifa limekuwa la kamari. Kila kona kila mahali kamari. Watu wanaibiwa pesa zao

    Naanza na swali, Je ! Hivi ni sahihi!? Radioni, TV , Simu, Michezoni, Mpira(kubeti) ni kamari tupuu. Hivi ni sawa!!? Na je hii michezo haramu haina age restriction!? Hivi ni nini kinaendelea nchini. Yani hapa nimewasha Radio huyu mtangazaji anavyohimiza watu wacheze hiyo buku ni hatari, yani...
  2. B

    Swali kwa wacheza draft: Hivi Omary John (oj) ni copy gani na kwanini inachezwa?

    Utasikia wacheza draft Mtandaoni wanaambiana sijui tucheze oj, oj inachezwaje? Na kwanini wasicheze Copy ya samba au pandu? Bali oj
  3. Kama swali hili wangeulizwa wanafunzi wa Tanzania wangetoa majibu kama ya wanafunzi hawa wa India?

    Doc Benway 4 hours ago I do a lot of work in India and based on my first hand evidence of high school students in the US of A and India; India is much more motivated. Ask Indian kids what they want to do with their lives and you get answers such as engineering, technology, or medicals...
  4. CHALLENGE: Uliza swali hapa likijibiwa kiusahihi unapata zawadi

    Jamani tuchangamshe ubongo kidogo, uliza swali hapa likijibiwa kiusahihi kuna zawadi ya vocha unapata. Kwahiyo jitahidi kuuliza maswali rahisi ili watu wakupe majibu sahihi, wakikosa ujue nawewe umekosa vocha. Naanza mimi kuuliza; ๐—•๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ผ ๐—บ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ?
  5. Nakumbuka nilivyokuwa chuo nasoma ni chuo cha biashara, nilimuuliza lecturer Swali

    Nakumbuka nilivyokuwa chuo nasoma ni chuo cha biashara, nilimuuliza lecturer. Mimi; unafanya biashara gani teacher...?? Lecturer; Hahaahahhaaaaa sina biashara. Mimi; Kwanini...?? Lecturer; Unajua ukifungua biashara ukimuweka mtu mara akuibie mara ufilisike mara hivi mara vile. Mimi; Sindo...
  6. Swali fikirishi kwa wadau wa elimu kinachoendelea shule za umma

    Niende moja kwa moja kwenye mada,. kutokana na kuwepo na ushindani wa ufauru wa kishule kimkoa nk, tumeona watendaji mbali mbali ngazi ya taifa mpaka wilaya wakija na mikakati mbali mbali ya kuinua ufauru ila Kuna masula haya yameibuka na kama kumekuwa Kuna kuigana hapa bila kuwa na mbinu...
  7. TBC yazima Matangazo Swali la Mpina lisisikike kwa watanzania

    Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) wakati likiendelea kurusha kipindi cha Maswali na Majibu leo Septemba 23, 2022 ghafla wakakatiza matangazo kupisha Swali lililoagizwa na Spika lirudiwe upya kutoka kwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ili watanzania wasisikie majibu ya Serikali Baada ya...
  8. Hitimisho langu juu ya swali la Mungu na Atheists

    Katika uzi nilioufungua jukwaani hapa nilioutumia kuwaalika Atheists kuleta hoja za kuthibitisha kuwa Mungu hayupo ili tujifunze kuhusu misingi yao, wachache hawakunielewa kwa kudhani nilitaka mabishano, ila nimepata hitimisho lifuatalo Baadhi ya Atheists wanashindwa kuelewa Mungu huyu (kama...
  9. Hili swali linanitatiza sana, kuna utaratibu wowote wa mwanajeshi kuacha kazi, pale anapotakiwa kwenda vitani?

    Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi. Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi. Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.
  10. Swali kwa dawasco! au kwa anaejua

    Ni hivi, nimevuta maji yapata miaka mitano iliyopita, ilinighalimu Kama laki saba hivi,. sasa Kuna mtu jirani yangu ameenda mamlaka ya maji ,baada yakutajiwa ghalama Hadi maji yafike kwake Ni kubwa, wakamuambia heti akiweza aniombe Mimi jirani yake nimuandikie barua hili aipeleke huko avute...
  11. Ni swali Kwa moderator au Mh. Mmliki wa JF

    Udom ina special thread/uzi wake nilitokea kuuona humu. Kwa nini haujawekewa ๐Ÿ“Œ sticky Ielekeweke umuhimu na heshima ya Chuo hili inabaki mokononi mwenu. Tunaomba thread Ile iwekewe pin. Uzi huu udom
  12. C

    Swali gani lilikukera ulipoulizwa na makarani wa Sensa?

    Wakati wa Sensa kuna maswali mengi sana yaliyoulizwa na Makarani wa Sensa, mengine yalifurahisha, mengine yalikasirisha, ilimradi waweze kutumiza malengo na kazi iliyowapeleka. Mfano, unatumia jiko la aina gani? Umeshawahi kutumia smartphone? Unamiliki guta...
  13. D

    Nilimtongoza akanikatalia sasa hivi anataka niwe natembea naye kila sehemu

    Wakuu humu ndan nna swali langu. Kuna manzi nilimtongoza mda flan kipindi tuko chuon akanichomolea akaniambia kuwa ana mtu tayar ss nikamute kwa muda ikatokea wakat huu tupo field wote tumeenda sehemu moja yaan anataka kila nikiwa natoka home kwenda kule ofisini anataka tuwe tunatembea wote...
  14. Wazee wa Basketball nina swali

    Nauliza ile mechi ya Ukonga Kings na JKT nani alishinda. Nilianga quarters 2 tu ya 1 ikawa 22 kwa 22 na ya pili ikawa 48 kwa 48!
  15. Swali kwa Mwakinyo: Je, ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza?

    Maandiko matakatifu yanasema "Mpumbavu huamini kila neno bali mwenye hekima huchunguza sana". Haya Mwakinyo nijibu haya maswali; 1. Ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza? 2. Promoter wako hakuweza kufanya mchakato wa kukutafutia vifaa kazi baada ya kupoteza vifaa vyako? 3. Hivyo viatu...
  16. Wanaume naombeni mnijibu hili swali kwa mitazamo yenu

    Good Sunday to everyone. Samahani wanaume lakini nina swali najiuliza. Naombeni mumsaidie huyu dada. Alipata mwanaume na akawa anataka kwenda kwao (meaning kujitokeza). Lakini akamwambia ukweli kwamba yeye anaye mtoto amezaa na dada fulani somewhere. Sasa huyu dada kila akisoma nyuzi humu...
  17. J

    Kenya2022 Jaji amuumbua Raila Odinga kwa swali gumu

    Kwa mnaofuatilia mnakumbuka wale makamishna 4 wa IEBC walivyotoka saa ya mwisho matokeo yakitaka kutangazwa na kusema hawayatambui Jaji anawauliza mawakili wa Odinga kwa nini muda wote walikuwepo na kuonekana kusoma matokeo kwenye Tv ila baada ya kuona Raila anashindwa wakasema hawayatambui?
  18. Sensa swali hili ni muhimu sana kuliko swali la kufa, lakini mmelikwepa

    Moja ya mambo muhimu sana kwenye nchi wakati wa sensa ni serikali kujua wananchi wake wanakula milo mingapi kwa siku, nilitumai nitaulizwa lakini nikaulizwa kama nina tatizo la kiafya! Ni vipi unamuuliza hali ya afya yake mtu ambaye hata kupata mlo mmoja kwa siku hana uhakika! Bahati mbaya...
  19. Hatma ya Muungano Tanganyika na Zanzibar

    Kesho ni siku ambayo, kesi ya Madai ya Uhalali wa Muungano iliyofunguliwa na Wazanzibari wapatao 40,000 itasikilizwa. Waswahili wana maneno yao wanasema "Bora kua na adui alieelimika utanufaika, kuliko kua na Swahib mjinga". Msemo huu unaakisi hasa dhana ya Uswahib wa Zanzibar na Tanganyika...
  20. Swali langu la leo!

    Habari za muda huu ndugu wana jukwaa la Habari na hoja mbalimbali. Leo hii ninapenda kuwashirikisha jambo mojawapo ambalo limekuwa likitukwamisha katika maeneo mbalimbali hususani katika masuala ya madili/fursa. Je! Ni kwanii watu wengi hupenda kupuuzia fursa mbalimbali zinazojitokeza kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ