swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama Mtanzania ukiulizwa hili Swali na ama Raia wa Kigeni nchini au ukiwa Nje ya Tanzania utamjibu vipi?

    Tanzania tumewazoea ni Watu wa Amani pamoja na Upendo na hata Sisi wengine tunajifunza Kwenu kuwa na Amani na huo Upendo. Kwanini sasa Taifa lenu kuna matukio mabaya ambayo tulizoea kuyaona na kuyasikia huku Kwetu? Majibu yenu ni Muhimu sana ili niwajibu na waache Kunisumbua kwa Maswali yao...
  2. Swali kwa Spika na Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.

    Je bado spika na bunge lake wanaamini watanzania wako salama dhidi ya utekaji? Je spika una maoni gani tunaomba tamko la wabunge wetu kupitia bunge kuhusu usalama wa watanzania dhidi ya watekaji. Mods msifute wala kuunganisha uzi huu hili ni swali la raia kwenda kwa mamlaka yenye dhamana ya...
  3. Swali fikirishi: Zama za Iddi Amin na kaburu Peter Botha zimerejea Tanzania?

    Kwamba sasa hivi ndugu yako akiitoweka na watu wasiojulikana hautamuona tena au utakutana na maiti yake. Mbona hapa kwetu haya mambo hayakuwepo? Hata kama yalikuwepo sio kama hivi. Style ya special branch ya makaburu. Style ya State research bureau ya Amin.
  4. Swali kuhusu hizi picha

    Je wanatumia program/ application gani ku create hizi pc wakuu??
  5. Naomba kuuliza swali kwenu mawakala wa mitandao ya simu

    Je, wakala wa mitandao ya simu inawezakana kulipia bill ya Maji DAWASCO ama Kulipia DStv kwa kutumia M-pesa, Tigo pesa, Airtel Money, au Halopesa. Na je pia unaweza kununua umeme kwa kupitia njia hizo ukiwa kama wakala. Hapo anakuwa mteja amekuja ofisini kwako anaomba umpatie huduma hizo je...
  6. M

    Mwenendo wa Tundu Lissu na Lema unatia mashaka CHADEMA hivi sasa

    Wakati Dk Salaa anahama chama, yule dada Pondeza , mlikuwa kila dakika mnaandika katika mitandao kuwakosowa waziwazi. Lakini hili swala la Kwao kimya, hata kutype tu kwenye account zao zimekuwa ngumu Hii ndio inampa nguvu Msigwa kuishambulia Chadema. KUNANINI?
  7. G

    Mnaokesha au kulala sehemu za kunywa pombe huwa mnakunywa tu au kuna mahusiano ya ziada ya kimapenzi na ni ya aina ipi?

    Mimi sio mnywaji wa pombe ila mara kadhaa nimesikia wanawake wakilamikia waume zao wenye hizo tabia, Malalamiko yanakuwa makubwa zaidi wakinywa nje kuliko wakinywea nyumbani. Iwe ni bar, lounge, pub, kilabuni, n.k. mtu aliezoea kukesha kiasi cha kurudi nyumbani usiku au kulalia huko huko huwa...
  8. Ivi polisi mnawachukuliaje CHADEMAA SWALI KWENUU

    Polisi mnawachukuliaje CHADEMA na wanachama waoo. Kwa taarifa ya Leo Nimesikitika sana
  9. Mbunge Esther Malleko Amuuliza Swali Waziri Mkuu, Maelekezo Yatolewa Halmashauri Zote Nchini

    ESTHER MALLEKO AMUULIZA SWALI WAZIRI MKUU, WAZIRI MKUU ATOA MAELEKEZO KWA HALMASHAURI ZOTE NCHINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko leo tarehe 29 Agosti, 2024 amemuuliza swali bungeni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ambaye...
  10. M

    PreGE2025 Ungepata nafasi ya kuuliza swali kwenye tume ya uchaguzi ungeuliza swali gani?

    Ungepata nafasi ya kuuliza swali kwenye tume ya uchaguzi ungeuliz swali gani? Huenda wengi tuko na maswali ambayo tungehitaji kuyauliz kwenye tume ya uchguzi ila hatujui tunayauliza wapi. Basi ni vyema tutumie uzi huu kuyauliza hyo maswali, mimi nawaomba Mods wayakusanyanye wawape tume ya...
  11. Swali Muflisi: Kwani Hawa Walitoka Wapi?

    Na. M. M. Mwanakijiji Tanzania imewahi kukumbwa na kashfa kubwa tu zilizokuwa zinahusisha mali ya asili au mali ya umma (Hakuna mali ya serikali). Kashfa kubwa zaidi ambazo zilizizima katika taifa letu zilianza miaka mingi nyuma lakini hakuna ambayo iligusa akili na fikra za Watanzania kama...
  12. Swali langu: kwani mwanaume hawezi kua na maumbile mazuri? Kwanini kila attribute nzuri inaambiwa ni “ya kike”?

    Kuna vitu vinachosha sana. Mtu anakuona anasema “ Una macho mazuri” au una vidole vya kike (sababu ni vizuri), Au anakuangalia anasema unanywele laini lama za mwanamke. Sasa kwani wanaume ndo wameumbiwa kua na vitu vibaya na vya rough? Ni bora ukae kimya kuliko ku compliment mtu kwa style...
  13. Swali la siku by Mpaji Mungu

    Mzee mwenzangu Mpaji Mungu umeuza kwenye Meme za Jamii Forums kule telegram channel ya Jamii forums. Nimeweka hii Meme tupate majibu. Ms R jibu hilo swali🤣🤣🤣🤣 Nina box la zawadi yako hapa au tukupe mji?
  14. Swali muhimu kwa Jamila Mbaruku wa TRC kuhusu ukaguzi wa tiketi

    Nilikuona kwenye kituo kimoja cha runinga nchini ukisema eti TAKUKURU Imegundua uwepo wa abiria wanaokata tiketi ya shilingi elfu moja kwenda Luvu(Ruvu) lakini wanaitumia kwenda Morogoro! Swali langu kwako, ndani ya treni wamo wafanyakazi wengi wa TRC wakiwemo mashosti, je, ni vipi shirika...
  15. Ukipata kazi inayokulipa zaidi yetu utaacha kazi hapa?: Unajibu vipi swali hili kwenye Interview?

    Katika usaili wa kazi kunakuwaga na maswali ya mtego sana. Mfano ndio umeulizwa hivyo sasa unawajibu vipi ili usikose hiyo kazi?
  16. Swali kwa tabaka la watawala: Toka mpate akili timamu

    Panga pangua kwenye mabaraza ya mawaziri,makatibu wa wizara n.k , Limewahi kuleta kitu gani chanya Au mnataka kuteka attention ya watu tu
  17. Swali toka mtandaoni

    Foreign policy. Hali ya mambo ingekuwaje ?
  18. Swali: Mwali ni nani?! Je kuna mwali wa kiume na kike?

    Mwali ni msichana ambae hajaguswa Ukimpiga ziwa lake ni gumu kama skonsi Huyo ndio mwali wa kike Mwali wa kiume ni nani? Mwali wa kiume ni mwanaume ambae bado hajaguswa Hata ukimwuliza gololi zako zinaoshwa na mchanga, maji, maziwa au maji ya ndimu, atakujibu ndio nini! Kwako wewe tujuze...
  19. Simba kwa Jana siwadai ila swali ni Je mtaendelea hivo na Matches zingine?

    Kuwazungumzia Yanga ni kujipotezea mda wale wao hawashuki na hakuna mtu ana hofu juu ya hilo. Issue ipo kwa Simba, For real Jana Mtani umeupiga sana japo ilikua tu lazima Ufe na nilisema mi jana kwenye uzi wangu hivi kua Mhindi hua hatoi odd kijinga..ilikua lazima ufe. ILA MMCHEZAVIZURI.. But...
  20. M

    Swali kwa wasiokuwa waislam? Haya hamutaki kuyapata?

    Mithali 19:20 (Biblia ya King James) MAISHA BAADA YA KUFA Katika Uislamu, maisha baada ya kifo yanaelezwa kwa maelezo mawili makuu: Pepo (Jannat) na Moto (Jahannam). Hali ya maisha ya mtu baada ya kifo inategemea matendo yake, imani yake, na tabia yake. Pepo (Jannat) Picha ya Pepo: Hali ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…