suluhu

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan ukitoka Eda uje na majibu haya.

    1. Yuko wapi Humphrey Polepole? 2. Nani aliyetoa amri ya kuua raia october 29 na kuendelea? 3. Iko wapi miili ya waliouawa october 29 na kuendelea? 4. Unajisikiaje kuwepo hapo ulipo kwa hali hii? Baada ya maswali hayo, nakupa pole kwa kufiwa na mumeo, hakika KIFO NI KIFO TU.
  2. JamiiForums Tanzania Jiji la Dar Es Salaam limejengeka zaidi katika kipindi cha awamu hii ya 6 chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan.

    Naona majengo makubwa na marefu ya makazi ya watu, kumbi za mikutano ya kitaifa na kimataifa, mahotel makubwa ya kimataifa na maofisi ni mengi sana ukilinganisha na wakati uliopita, hali inayoashiria kuimarika kwa uwekezaji na kushamiri kwa maisha na uchumi wa watu wa jiji la Dar Es Salaam...
  3. JamiiForums Tanzania Kufuru ya Samia Suluhu kukopa Hela za El-nino, ila tunaishia kujengewa madaraja ya Miti. Hela anazipeleka wapi?

    Mzanzibar Samia Suluhu Hela anazokopa za El nino anazipeleka wapi? Wakikopa wanatafuta kama 10% wanawapa Vyombo vya habari viongelee Mvua za El nino, wanaagiza Wakuu wa Walaya na Mikoa kukagua Miundombinu na kutisha watu kuhusu Mvua za El nino. Utawaona barabarani na Mifagio eti wanafanya...
  4. JamiiForums Tanzania Tuunge mkono Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, mipango na vipaumbele

    Tukiacha Mihemko, Ukiangalia Tanzania ya leo, kuna mambo mengi yanaendelea. Kuna miradi inajengwa, huduma zinaendelea kuboreshwa na mipango ya maendeleo inaendelea kuwekwa kwa ajili ya miaka ijayo. Hakuna mradi uliosinama Tukumbuke pia maendeleo ya nchi si jukumu la Serikali pekee. Sisi...
  5. JamiiForums Tanzania Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko. Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi. Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
  6. JamiiForums Tanzania Rekodi Mbaya ya Utawala wa Samia Suluhu Hassan: Tanzania imegeuka Nchi ya Misiba, Kesi za Uongo na Uteuzi za hovyo

    Cha kwanza alichofanya ni kuhakikisha anajipachipa au anapachikwa udaktari ili aonekane Msimi. Sisi tunamchora tu🤣 Salaam Wakuu, Hivi mumegundua jinsi Uongozi ikishalaniwa unavyofanya kazi? Haijawahi kutokea, hii ni rekodi Mbaya Nchini Tanzania ya Uongozi wa Samia Suluhu na Rekodi mpya kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aibadili Tanga kiuwekezaji.

    ■Uchakataji mchanga wa baharini Afrika kufanyika Pangani ■Ni wakati mradi wa tril 56 kitovu cha nishati ukiendelea.
  8. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kumpa pole Samia Suluhu Hassan. Naanzia wapi?

    Japo mimi siamini kama nchi yetu ina Rais kwasasa (nasubiri uchaguzi mkuu maana haukufanyika), lakini nina hamu ya kwenda kumpa pole ndugu Samia Suluhu Hassan. Je, utaratibu ukoje? By. Boss la Bandari zote za Tanganyika.
  9. JamiiForums Tanzania UJUMBE WA SHUKRANI KUTOKA KWA Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  10. JamiiForums Tanzania Hadi huruma. Samia Suluhu kawa mdogo. Kifo kisikie kwa jirani

    Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, Dkt. Mwigulu Nchemba pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama na Serikali na wananchi, wamefika nyumbani kwa Mzanzibari Samia Suluhu Hassan Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kumfariji kufuatia kifo cha Mume wake, Hafidh Ameir Hassan...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Tunamuomba Rais SAMIA SULUHU HASSAN auende Kamati ndogo ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Jaji CHANDE

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa,tunapendekeza na kushauri kwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kuunda Kmati au Timu ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Jji CHANDE.Kamati au Timu hii iuendwe na watu toka Serikalini,Taasisi za...
  12. JamiiForums Tanzania Kampeni ya kumtafuta Humphrey Polepole Nyumba kwa Nyumba

    Kwakuwa serikali dhaifu na haramu ya Samia imeshindwa kumtafuta ndugu yetu Humphrey polepole, tutaanza kampeni nyumba kwa ngumba mpaka tumpate ndugu yetu. Nyumba tunazotilia shaka: Nyumba zote zinahohusianishwa na Daudi Albert Bashite, nyumba zote zinazo husishwa na Abduli, nyumba ya Muliro na...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni miongoni mwa viongozi mashujaa na madhubuti sana barani Afrika

    Sote ni mashahidi kwamba, Dr Samia Suluhu Hassan, alipokea nchi katika mazingira magumu ya kiuchumi katikati ya janga la COVID-19 na katika hali ya majonzi, masikitiko makubwa na huzuni ya kitaifa baada ya kufariki Rais hayati John Pombe Magufuli akiwa madarakani, na akatuvusha salama. In fact...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Naunga Mkono Hoja Ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Habari wana bodi, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Jana tar 02/09, Rais Samia alipokua anawaapisha wakuu wa mikoa wateule pale katika ikulu Ndogo ya Tunguu Zanzibar alizungumza mengi pamoja na kuwasihi wakuu wa mikoa wapya kufanya kazi kwa bidii na kuwatumikia wananchi. Pamoja na mengi...
  15. JamiiForums Tanzania Her Excellence Dr. Samia Suluhu Hassan

  16. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar | 02 Septemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
  17. JamiiForums Tanzania NJombe: Mchungaji wa kanisa la Tanzania Assemblies of God (T.A.G) adaiwa kutotimiza vigezo vya huduma, kanisa lafungwa

    Baadhi ya waumini wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (T.A.G), eneo la Mnange, Mtaa wa Lyamkena, mjini Makambako, Mkoa wa Njombe wamelazimika kufanya ibada nyumbani kwa Mchungaji wao baada ya kanisa kufungwa. Waumini hao wanadai kuwa milango ya kanisa ilifungwa kufuatia taarifa ya...
  18. JamiiForums Tanzania Daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan huchukua hatua na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu. Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
  19. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan anawivu wakike?

    Akiona tu mtu ana akili kuliko Abduli na Wanu ananuna.
  20. JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani. Yaani kumbuka sasa hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…