suluhu

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Rais Samia kuhudhuria mkutano wa COP31 nchini Uturuki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuondoka nchini leo, Novemba 10, 2026, kuelekea jijini Antalya, Uturuki, kuhudhuria Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31). Kwa mujibu wa taarifa...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako..

  3. figganigga

    JamiiForums Angalia Nyumba Hussein Mwinyi kawajengea Wazanzibari, lakini Samia Suluhu kashindwa kuijengea Tanganyika japo Banda la kuku

    Ndani ya Mwaka Mmoja, Angalia Nyumba Hussein Mwinyi kawajengea Wazanzibari, lakini Samia Suluhu kashindwa kuijenga hata Banda la kuku Tanganyika. Samia Suluhu ungozi wake utakumbukwa kwa Utekaji, Mauaji kubambikia Watanganyika kesi. Kwenye uongozi wake, Watanganyika wengi wamefunguliwa kesi za...
  4. figganigga

    JamiiForums PostGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu kwenye Mtandao wao

    Baada ya Watu kulalamika kwamba huyu Mzanzibar Samia Suluhu Hasaan hakupata hata 20% bali Tume ndo imechakachua matokeo, sasa wameona aibu. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu ya 29.10.2025 kwenye Mtandao wao ili kuondoa Ushahidi. Sasa hakuna...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako 🇹🇿

  6. H

    JamiiForums Tanzania’s Minister for Foreign Affairs Amb. Kombo (MP), represented H.E. President Dr Samia Suluhu at the opening ceremony of the 28th Commonwealth

    Tanzania’s Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Hon. Ambassador Mahmoud Thabit Kombo (MP), represented H.E. President Dr Samia Suluhu Hassan at the opening ceremony of the 28th Commonwealth Heads of Government Meeting (CHOGM) in Antigua and Barbuda on 3 November 2026. He...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako

  8. Ndagullachrles

    JamiiForums Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan apiga kura uchaguzi mdogo Jimbo la Chamwino

    Picha mbali mbali zikimuonyesha Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipiga kura kwenye Kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma, Leo tarehe 04 Novemba, 2026 katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino. Uchaguzi huo...
  9. Anonymous

    JamiiForums PostGE2025 Mwaka mmoja baada ya doa la Oktoba 29: Je,Taifa linaelekea kwenye suluhu?

    Mwaka mmoja baada ya Oktoba 29, Tanzania imepiga hatua gani kutoka katika kutambua yaliyotokea hadi kuweka wazi ukweli, kuwawajibisha wahusika na kutoa haki kwa walioathirika? Ni takribani mwaka mmoja tangu Tanzania ikumbwe na doa kubwa katika historia yake kufuatia uchaguzi mkuu wa Oktoba 29...
  10. figganigga

    JamiiForums Wafuasi wa Samia Suluhu wangemuiga Hussein Bashe, wasingekuwa wanamwaga damu ya Binadamu

    Kinacho sababisha watu kuteka binadamu, kuua ni Umasikini. Yaani Matajiri wanatumia pesa zao kuwapa Masikini ili wamwage damu za masikini wenzao na hao Masikini wanaoua wenzao, wanajisifu kwa kumwaga damu ya Binadamu fukara mwenzao ili kumfurahisha Mtawala/ tajiri alowatuma. Yaani masikini...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ANG’ARA AFRIKA KWA DIPLOMASIA YA AMANI

    Uwezo wa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika diplomasia na mahusiano ya kimataifa unaifanya Tanzania kuendelea kuwa sehemu muhimu ya juhudi za kukuza amani na mshikamano barani Afrika. Kupitia mazungumzo, ushirikiano na maridhiano, diplomasia inakuwa daraja la kutatua migogoro na kujenga mahusiano...
  12. instinct desire

    JamiiForums Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan ametufundisha kuwa uongozi ni Sayansi na mipango

    1. Uongozi ni Sayansi maana yake ni kubaini mahitaji ya watu na changamoto zao na kuzitatua bila kuleta taharuki. Wote tunaona vile wavunjaji wa Sheria wanavyoshughulikiwa kwa ustadi mkubwa huku wakiacha somo kuwa hakuna aliyejuu ya Sheria (Rule of Law) 2. Uongozi ni mipango maana yake ni...
  13. USSR

    JamiiForums Picha: Leo tarehe Oktoba 21, 2026 Rais Samia ameongoza kikao cha baraza la Mawaziri

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
  14. Troll JF

    JamiiForums Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha baraza la Mawaziri

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Rais Dr.Samia Suluhu Hassan awatakia kila la kheri wanafunzi wa kidato cha nne wanaoanza mitihani yao Leo.

    Rais, ameeleza, Nanukuu, "Ninawatakia kila la kheri wanafunzi wa Kidato cha Nne mnaoanza mitihani ya kuhitimu Elimu ya Sekondari leo katika vituo 7,067 nchi nzima. Nina imani kuwa mmejiandaa vyema kwa ajili ya hatua hii muhimu katika safari yenu ya kielimu. Ninamwomba Mwenyezi Mungu awajalie...
  16. Mzalendo2015

    JamiiForums Utawala wa Rais Suluhu Hassan wamsikilize Baba wa Taifa

    https://www.facebook.com/share/v/18gvMr6aPg/ Baba wa Taifa letu Mwl. Nyerere alikuwa Kiongozi mwenye hikma,busara na maarifa ya kiwango cha juu sana. Naushauri utawala huu warejee alichozungumza Baba wa Taifa kuhusu Watawala(si Viongozi) ambao wanaitawala Tanzania kwa kuvunja Katiba ya ñchi...
  17. figganigga

    JamiiForums Samia Suluhu tumseme kwa mengine sio hili la kutumia watu jini Makata mtoa roho

    Kuna dada nimeona mtandaoni anadai eti alikuwa anaumwa. Akasema eti Samia Suluhu Hassan alimtumia jini Makata ambalo kidogo limtoe roho. Akadai eti amerudi na amepona yupo lelelelee.. Mwamwamwamwa..! Swali ni Jini makata Samia alitoe wapi labda jini maimuna. Makata? 🤣🤣. Kwanza jini Makata...
  18. Mmawia

    JamiiForums Leo ni Mwaka mmoja tangu Polepole ametekwa. Je, yupo hai?

    Tarehe 5 kuamkia 6.10.2025 Polepole alitoweka nyumbani kwake pale Union jioni dsm ikidaiwa alichukuliwa na watu wasiyo julikana. Watanzania bado hatujui hiyo ndugu yetu yupo wapi na kwenye hali gani,Je yupo hai au amefariki. Tuzidi kumuomba watanzania kwa Umoja wetu. Soma Humphrey Polepole...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Rais Samia kuwa kinara wa afya ya Mama na mtoto Afrika ni heshima kwa Tanzania

    Mshauri wa Rais kuhusu Afya ya uzazi na afya ya Mama, Ummy Mwalimu amesema Afrika imepiga hatua katika kupunguza vifo vya kina Mama ambapo ameongeza kuwa Suala la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa kinara wa Afrika afya ya Mama na mtoto ni heshima kubwa kwa Tanzania na kuongeza kuwa uamuzi na...
  20. figganigga

    JamiiForums Kwani Korona imerudi? Samia ahutubia Bunge la IPU Arusha kwa njia ya Video🤣🤣

    Samia Suluhu Hassan ameutaka Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), kuimarisha nafasi ya mabunge katika kushughulikia changamoto za dunia, akisema mvutano wa kisiasa na kijiografia, migogoro na kutokuwa na uhakika kiuchumi vinazidi kuhitaji ushirikiano wa kimataifa. Ujumbe huo wa Samia ameutoa usiku...
Back
Top Bottom