sugu

Sugus is a brand of chewy candy made by the Wrigley Company. It originates from the Swiss chocolate company Suchard, who created it in 1931.They are square, and they are 20 mm (0.79 in) in length and width, and 7 mm (0.28 in) thick, including the packaging. There are several flavours, including lemon, orange, pineapple, raspberry and cherry, indicated by the colour of the packaging (yellow, orange, blue, red, and bright red, respectively), which is characteristic of the sweet. The classic packaging (which measured 6.3 by 4.5 cm) involves the sweet respecting the rectangular shape, with white text showing the sugus name (in lowercase) and the specific flavor (in uppercase), all over the packaging. Within the packaging was a small, white light inner wrapper of 6.3 by 1.9 cm surrounding the sweet preventing adhesion to the outer wrapper, for example at times of excessive heat. The name, though only a brand, became the name of this product. It appeared on the market under other brands, with different names, but all are given the name sugus.Sugus is sold in Argentina, Belgium, Brunei, Cambodia, China, Hong Kong, Indonesia, Japan, Macau, Malaysia, Mexico, the Philippines, Portugal, Romania, Spain, South Africa, Namibia, Switzerland, Taiwan, Thailand, Uruguay and Vietnam. It seems to enjoy great popularity in Asia, although being from Switzerland. The brand's Chinese name used in Hong Kong and China is "瑞士糖", literally meaning "Swiss candy".

View More On Wikipedia.org
  1. stefanoz

    Natafuta tiba asili ya ugonjwa wa tonsi sugu

    Mimi ni mgonjwa wa tonsi kwa miaka 5 sasa. Ni ugonjwa ambao nnaishi nao kwa mateso makali kwa kuwa nimejaribu tiba mbalimbali za hospital lakini sijawai kupona nazituliza tu kwa muda. Kwa sasa level niliyofikia nakunywa antibiotics na nachoma sindano ili kuzitibu lakini wakati mwingine sipati...
  2. R

    Sugu: CCM imechagua njia ya kumwaga damu, Magereza yamejaa Vijana

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu), amesema akizungumza leo Novemba 10, 2026, kwenye msiba wa kaka wa Tundu Lissu, Wakili Alute Mughwai, uliofanyika Mkoani Singida, ambapo amekosoa vikali mwenendo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kile alichokiita imechagua njia ya damu...
  3. Eli Cohen

    Sugu mama yake alikufa akiwa nondoni, kabendera mama yake alikufa akiwa nondoni, SHAURI YENU.

    You have to be ready to face consquences. Magu (jiwe) anajua vizuri haya yote
  4. Sigara Kali

    Niulize kuhusu ugonjwa sugu wa Figo(CKD) na dialysis

    Uliza chochote kuhusu ugonjwa sugu wa Figo na matibabu ya dialysis nipo hapa kukujibu
  5. Tate Mkuu

    Tukubaliane ndugu zangu Noise Pollution ni tatizo sugu ndani ya nchi yetu.

    Kwa tafsiri isiyo rasmi kwa Kiswahili inafahamika kama Uchafuzi wa kelele. Uchafuzi huu wa kelele vyanzo vyake vikuu ni: 1. Milio ya honi na sauti zisizo za kawaida za vyombo vya moto hususani magari, pikipiki, nk. 2. Sauti zitokanazo na vipaza sauti vilivyo simikwa juu ya nyumba za ibada...
  6. McLaren

    Maneno ya Kada wa CHADEMA, Joseph Mbilinyi 'Sugu' kwa Mwenezi wa CCM Kenani Kihongosi "We dogo achana na Heche, humuwezi"

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu), amemwambia Mwenezi wa CCM Kenani Kihongosi, akimataka kuacha kumshambulia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche. Sugu alieleza kuwa amekuwa akimfuatilia kada huyo kijana wa CCM na kubaini amekuwa akimjadili na kumtaja Heche...
  7. Parabolic

    Sugu amvaa Kihongosi, amtaka aachane na Heche

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi (Sugu), amemtaka Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, kuacha kumzungumzia Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, katika mikutano yake ya hadhara. Soma pia: Kihongosi...
  8. Eli Cohen

    Inasemekana mashahidi aliochagua lissu hakuna mbowe, sugu, lema na yai. Jana mange anatuambia hawa wannne tayari washawekwa kwenye kundi

    Nini kinaendelea huko HQ. ngara23 Mshana Jr Kipenzi Changu
  9. mwehu ndama

    Lema, Sugu, Martin masese na Boni yai mnatafakarisha. Na wew Hilda newton acha kuleta migogoro kwenye chadema yenu

    God bless lema , Sugu ,MMM, na kibonge boni yai ukiwatafakari kwa kina Kuna namna utaanza kupata mashaka juu ya uaminifu wao kwa chama chao cha chadema. Mienendo Yao ya kisiasa Haina tofauti na makada kadha wa kadha waliotekwa na kupoteza maisha , Tena makada maarufu na nguli ambao ukosoaji wao...
  10. livingroom_espionage

    Unaikumbuka Power breakfast ya clouds kipindi cha bifu na Ruge na Sugu.

    Naweza kusema kwamba Mh. Jakaya bwana enzi zake watu walikuwa huru sana, Huyu mzee bwana licha ya mapungufu yake, kuna vitu alifanya watu nadhani mpaka kesho watamkumbuka na kumuheshimu. Picha linaanza ile show ya kina sugu inafanyika usiku na wanatukana matusi ya nguoni kuitukana clouds na...
  11. K

    Ingekuwa Sugu au Lema ndio wanashika nafasi ya Heche, siasa za Tanzania zingekuwaje?

    Natafakari hapa, Kwa hali ilivyo je wanasiasa kama vile Sugu au Lema wangeendelea kukomaaa kama aivyokomaa Heche Wegesa Kuna mwanasiasa yeyote ndani ya CHADEMA anaweza kuwa na msimamo kama Heche na Lisu
  12. Sifi Leo

    Nashauri haraka, SUGU na Proffesa J, hii Milioni 40 ya Tone Tone, iliyobakia muitafute uwanja wa mkapa, wekeni Kiingilio kiwe Sh;500 tu.

    Nimemsikiliza MH john heche Makamu ,Mwenyekiti wa CHADEMA akisema imebakia 40m wafike lengo la kukusanya milioni kadhaa za Baraza kuuu takatifu la CHADEMA. Nashauri, Mr SUGU na Proffesa J andaeni shooo iitwe tone tone stendaup. Uwanja wa Taifa Kiingilio kiwe sh 500 tu kwa kila mpenda...
  13. Financial Analyst

    Alieko karibu na kalapina amwambie kuwa sugu sio level yake. Mtu mzima bado mtaa upo kichwani wakati sugu ni executive mind.

    Mtu huyu atakuwa katika 40s ili bado mtaa umemkaa kichwani, Hurka yake ni fujo za mitaani ambazo zilipekea hadi watu kuumia. Wakati huo bado anapambana na upumbavu wa mitaa na umri ukiwa umeenda, mr 2 sugu aka 2 proud anafanya mambo international na anasaini mikataba ya mpunga. Mtu mwenyewe...
  14. David ngayanimo

    MR SUGU & BALOZI - BONGO FLEVA

    MR SUGU & BALOZI - BONGO FLEVA VERSE. 1 Mimi ni dreva/ Na nitabaki hivi forever/ Najua nifanye nini ili nibaki kuwa super/ Nilishasema mimi ni zaidi ya rapa/ Na watu ndio wanataka nizidi kubaki hapa/ Nataka number one DJ, muweke number one/ Mi kwanza nataka mshiko ndipo niwe number one/ Dani...
  15. David ngayanimo

    Siri ya fichuka Mr. Sugu kutokushiriki miaka 30 ya bongo fleva

    SIRI YA FICHUKA MR. SUGU KUTOKUSHIRIKI MIAKA 30 YA BONGO FLEVA Mr. II Sugu amevunja ukimya! 😱 Anasimulia: "Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tuende studio. Baada ya kutoka studio alitaka kutumia mkwanja Milioni 2 kwaajili ya Hiyo Collaboration. Nikawaambia Madee, mimi...
  16. Owen chimela

    Msaada dawa ya asili au dukani inayotibu jicho sugu

    Husika na kichwa hapo juu. Nina kijana mdogo wa miaka 6 ana matatizo ya jicho moja kutoa machozi na matongotongo mfululizo. Nimejaribu Hizi Antibiotics za macho nimeshindwa nimejaribu sawa kadhaa za asili nazo zimeshindwa kutibu tatizo kwa zaidi ya mwaka sasa. Naomba kwa mwenye uzoefu na tiba za...
  17. dronedrake

    Msanii Mr. II aka Sugu akataa "posho" ya TSh. 2m kutumbuiza kwenye tamasha la miaka 30 ya Bongo Flava

    Sugu anadai: Walianza kuniita kwenye wimbo, Madee alinipigia simu tukaenda studio, sasa tunatoka studio aliponishusha akanitumia mkwanja Milioni 2, I was like mimi sijawahi kulipwa hela kufanya featuring na nimefanya featuring na watu wengi nikwambia Madee..... Sugu akaongeza: Hii game naijua...
  18. Frank Wanjiru

    Sugu: Madee alinitumia shilingi milioni mbili

    Mkongwe wa Hip Hop Bongo, Sugu amefunguka kwanini hayupo katika mpango wa kuhadhimisha miaka 30 ya Bongofleva. Amesema Madee alimtafuta na kumuomba ashiriki katika wimbo wao kwa ajili ya mradi huo, na yeye alikubali. Ghafla baada ya muda akashangaa kuona Madee amemtumia Sh2 milioni, ndipo...
  19. M

    Shekh Walid viatu vilimbana sana hadi vikamtoa sugu kwenye ncha za vidole

    Napendekeza apewe cheo Cha juu zaidi (Nakinzana na nyote mnaong'ang'ania arudishwe kwenye cheo chake) Kwa nini ? Utendaji wake kiufanisi utashuka kiwango chini ya wastani (35%) kutokana na misukosuko aliyopitia. PENDEKEZO; 1. Awe shekh wa mikoa (Mashekh wote wa mikoa wawe chini yake) 2...
  20. Kevzy

    Mwanamke mwenye UTI sugu anakuua taratibu taratibu kuwa makini

    uchafu sana huu hakikisha hauingii mkenge wa UTI sugu, hivi unajua UTI sugu inaweza kuathiri mpaka Figo au maini.. wale wadudu wasipopata tiba nzuri wanapanda Kwa kibofu Cha mkojo wanaenda tumboni kuathiri organs zingine wanaathiri mpaka mimba, mimba inaweza kuaribiwa na UTI sugu so kuwa...
Back
Top Bottom