Kero yangu ni Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi ya MOFAT kuendelea kutoa huduma ya usafiri kuelekea Mbagala lakini wateja wapya wakitaka Kadi (Smart Card) kwa ajili ya malipo ya nauli hakuna kituo hata kimoja ambacho unaweza kupata hizo kadi.
Jambo la pili: Kuna App wanaitumia inaitwa MWENDOKASI...
Kocha wa Simba Steve Barker yupo mbioni kujiunga na msasanda Wana mamelod sundown.
Inasemekana
Msauzi Huyo kapata diili ndefu Sana so muda wowote anaweza kutimka
Baadhi ya vyombo vya habari vya s.africa vimeanza kuripoti taarifa
Yaani mtu una nguvu za kutosha, una pesa za kutosha, lakini unalazimishwa uwe na mwanamke mmoja tu, mwanamke wenyewe pengine mgonjwa, mara yuko period, mara ashazeeka hawezi pirika, kumpa talaka huwezi. Matokeo yake ni kua na michepuko na kuaibika katika jamii.
Suala la bosi wa NVIDIA unaona...
1. Kama huwezi ku afford Lawyers na accountants usisajili Kampuni, sajili business name.
Kampuni unahitaji expertise ya watu, na experts wanataka kulipwa vizuri.
2. Ni lazima uwe na compliance officer, kama una miliki Kampuni suala la kua compliance officer ni la lazima.
Huyu atakusaidia...
Tulifunzwa, mafahali wawili wagombanapo, zinazoumia ni nyasi. Hiki ndicho kinachoendelea nchini kwetu sasa.
Kwahali ilipofikia sasa, kutafuta nani anamakosa haitatusaidia. Maana lipo wazi hakuna upande, kati ya CCM na CHADEMA ambao upo tayari kukiri na kuwajibika.
Hii mivutano na vita za...
Mpaka muda huu roho yangu inaugulia maumivu makali sana ikiwa mti mbichi wameutenda kiasi hiki Tundu Lissu
Itakuwaje kwa mti mkavu kwa watanganyika wasiojulikana kimataifa kama Lissu?
Mmembambikia kesi ya uongo bado hata hamjali afya yake kweli Nduguru na wenzio ipo siku mtajuta kutumika, hata...
Suala la kutekwa kwa Mtanzania Jijini Nairobi bado halijapata jawabu kwani Wakili wa serikali amesema suala hilo lipo kwenye Uchunguzi hadi sasa.
Suala hilo limeibua mnyukano wa kisheria Wakili Martha Karua amesema leo Mwaipaya alitakiwa kuletwa akiwa hai au amekufa mahakamani na kuiomba...
Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Amesema hayo Oktoba 28, 2026 wakati akizungumza kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu...
Suala la Oct 29, 2025 viongozi wa Juu wa kiislam ni kama haliwahusu: uongozi wa TEC ndio umekuwa mstari wa mbele kuhoji uhalali wa mauaji ya Oct 29. Imepelekea ionekane kama hili suala lipo kidini zaidi.
Ninaishukuru TEC kwa kutojali huo mtazamo na kuendelea kunenea HAKI BIL BATIL. Naishukuru...
Hoja ya awali ~ Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa katika Mfumo wa NACTVET
YAH: UFAFANUZI KUHUSU MATOKEO YA WANAFUNZI KUTOPANDISHWA KWENYE MFUMO WA NACTVET
TAREHE: 20/10/2026
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Kampasi ya Dodoma, kimeona taarifa iliyosambazwa kwenye...
Habari Admin, napenda kukujulisha kuwa suala nililowasilisha hapa kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi.
Tumeitwa kwenye semina itaksyofanyika tarehe 7 na 8 mwezi wa 10/2026
Anonymous (29d6)
Thread
admin
habari
kuhusu
suala
udsm
ufafanuzi
veta
waajiriwa
Wakuu habari!
Kwa muda mrefu sasa hii nchi imekuwa na uholela wa kufanya biashara hasa kwa hawa wanaojiita wamachinga!
Kwa jiji la Dsm wamachinga wamejimilikisha maeneo yote ya barabara na kwengineko mamejenga mpaka mabanda juu ya mitaro!
Kwa wiki za karibuni RC wa Dsm amesikika kuanza...
Taasisi za haki za binadamu wasilikalie kimya hili jambo maana ni ukatili na uonevu mkubwa.
Hatuwezi kutesa maelefu ya vijana kisa watendaji kadhaa wasiozidi 10 wa jiji wanahofia nafasi zao. kwani walikuwa wapi miaka yote hiyo.
Hao wafanya biashara wapo kariakoo kwa zaidi ya miaka 30 huwezi...
Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
asilimia
hata
hizi
huzuni
ila
katika
kushiriki
kuvumilia
kwenda
marekebisho
maswali
mpya
mwelekeo
nchi
shaka
sifa
suala
teuzi
udini
upendo
usawa
uwakilishi
uwiano
waislam
waislamu
wakristo
wananchi
wengi
wote
zaidi ya
Maisha yanakwenda kasi sana, huku joto kali sana na bado tunapewa taarifa kuwa kuna El Ninò inakuja, yaani purukushani kibao. Kila mtu anapitia changamoto za maisha kwa namna yake, wapo waliopoteza wapendwa wao, wapo waliofukuzwa kazi na kuna wengine wanaumwa magonjwa, kila mtu ana vita yake ya...
Nafasi iliyopo kati ya unachokiona na na kitu chenyewe ndipo mchezo wa kiumbaji na upotoshaji wote unapofanyikia. Katikati ya maisha yako na matokeo unayoyaona katika maisha yako kuna nafasi.
Hali ingekuwaje kama nafasi hiyo isingekuwepo kabisa, yaani wewe na unachokiona mnakuwa mmeshikamana...
Wakenya wanaoishi na kufanya kazi nchini Tanzania walituma nyumbani Ksh bilioni 1.52 (Dola za Marekani milioni 11.72) mwezi Agosti, kiasi ambacho kimezidi fedha zilizotumwa kutoka Saudi Arabia, ambazo zilifikia Ksh bilioni 1.50 (Dola milioni 11.61).
Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuzidi...
Habari za jioni wana jamiiforum.
Kwa mwenye ushauri na njia za kumfanya mwalimu huyu aondokane na KERO inayomtesa atoe ushauri hapa.
Kuna mwalimu mmoja pale Kilindi Tanga alikwenda kumripoti mwajiri wake Dodoma tamisemi mwaka 2024 kutokana na mwajiri kutomlipa haki zake mbalimbali.Kuna pesa za...