suala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    HOJA Hivi suala la kadi mpya za Tiketi kwa Abiria wa Mwendokasi ndio imeshindikana mazima?

    Kero yangu ni Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi ya MOFAT kuendelea kutoa huduma ya usafiri kuelekea Mbagala lakini wateja wapya wakitaka Kadi (Smart Card) kwa ajili ya malipo ya nauli hakuna kituo hata kimoja ambacho unaweza kupata hizo kadi. Jambo la pili: Kuna App wanaitumia inaitwa MWENDOKASI...
  2. kibaigwa finest

    Steve Barker kwenda mamelod sundown Ni suala la muda tu

    Kocha wa Simba Steve Barker yupo mbioni kujiunga na msasanda Wana mamelod sundown. Inasemekana Msauzi Huyo kapata diili ndefu Sana so muda wowote anaweza kutimka Baadhi ya vyombo vya habari vya s.africa vimeanza kuripoti taarifa
  3. S

    Nimefuatilia suala la bosi wa NVIDIA na sakata la EIPSTEIN, nimegundua ndugu zetu wakristo mnapata tabu sana kwenye mahusiano

    Yaani mtu una nguvu za kutosha, una pesa za kutosha, lakini unalazimishwa uwe na mwanamke mmoja tu, mwanamke wenyewe pengine mgonjwa, mara yuko period, mara ashazeeka hawezi pirika, kumpa talaka huwezi. Matokeo yake ni kua na michepuko na kuaibika katika jamii. Suala la bosi wa NVIDIA unaona...
  4. L

    My Unpopular opinions linapokuja suala la usajili wa Kampuni na Business Names

    1. Kama huwezi ku afford Lawyers na accountants usisajili Kampuni, sajili business name. Kampuni unahitaji expertise ya watu, na experts wanataka kulipwa vizuri. 2. Ni lazima uwe na compliance officer, kama una miliki Kampuni suala la kua compliance officer ni la lazima. Huyu atakusaidia...
  5. Dr Adam Francis

    Natamani hili suala la Lissu lifike mwisho, Watanzania tuijenge nchi yetu

    Tulifunzwa, mafahali wawili wagombanapo, zinazoumia ni nyasi. Hiki ndicho kinachoendelea nchini kwetu sasa. Kwahali ilipofikia sasa, kutafuta nani anamakosa haitatusaidia. Maana lipo wazi hakuna upande, kati ya CCM na CHADEMA ambao upo tayari kukiri na kuwajibika. Hii mivutano na vita za...
  6. Kingsharon92

    Ni suala la muda tu enyi watawala haramu mtavuna mlichopanda

    Mpaka muda huu roho yangu inaugulia maumivu makali sana ikiwa mti mbichi wameutenda kiasi hiki Tundu Lissu Itakuwaje kwa mti mkavu kwa watanganyika wasiojulikana kimataifa kama Lissu? Mmembambikia kesi ya uongo bado hata hamjali afya yake kweli Nduguru na wenzio ipo siku mtajuta kutumika, hata...
  7. Troll JF

    Police Kenya wasema suala la Mwaipaya lipo kwenye uchunguzi waomba siku moja kuwasilisha kiapo Kinzani counter Affidavit maamuzi saa 9 mchana

    Suala la kutekwa kwa Mtanzania Jijini Nairobi bado halijapata jawabu kwani Wakili wa serikali amesema suala hilo lipo kwenye Uchunguzi hadi sasa. Suala hilo limeibua mnyukano wa kisheria Wakili Martha Karua amesema leo Mwaipaya alitakiwa kuletwa akiwa hai au amekufa mahakamani na kuiomba...
  8. H

    Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lamec

    Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo Oktoba 28, 2026 wakati akizungumza kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu...
  9. Megalodon

    PostGE2025 Kwanini suala la Mauaji ya Oktoba 29 halionekani kuwagusa Viongozi wa juu wa kiislam?

    Suala la Oct 29, 2025 viongozi wa Juu wa kiislam ni kama haliwahusu: uongozi wa TEC ndio umekuwa mstari wa mbele kuhoji uhalali wa mauaji ya Oct 29. Imepelekea ionekane kama hili suala lipo kidini zaidi. Ninaishukuru TEC kwa kutojali huo mtazamo na kuendelea kunenea HAKI BIL BATIL. Naishukuru...
  10. Roving Journalist

    Responded CBE: Suala la matokeo ya Wanafunzi wa 2018/19 na 2019/20 kutowekwa katika mfumo wa NACTVET, linashughulikiwa

    Hoja ya awali ~ Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa katika Mfumo wa NACTVET YAH: UFAFANUZI KUHUSU MATOKEO YA WANAFUNZI KUTOPANDISHWA KWENYE MFUMO WA NACTVET TAREHE: 20/10/2026 Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Kampasi ya Dodoma, kimeona taarifa iliyosambazwa kwenye...
  11. A

    KERO Je, Serikali imefikia wapi kuhusu suala la bei ya Saruji? Maana ni kimya sasa

    Je serikali imefikia wapi kuhusu suala la cement? Mana ni kimya sasa
  12. Zack Abdul

    Na nyinyi wana JF mpige kura, hili ni suala la Kitaifa. Tanzania Kwanza

  13. A

    Responded Suala nililowasilisha JF kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa

    Habari Admin, napenda kukujulisha kuwa suala nililowasilisha hapa kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi. Tumeitwa kwenye semina itaksyofanyika tarehe 7 na 8 mwezi wa 10/2026
  14. Lavit

    Hili suala la wamachinga Chalamila anapaswa kuungwa mkono na watu wote!

    Wakuu habari! Kwa muda mrefu sasa hii nchi imekuwa na uholela wa kufanya biashara hasa kwa hawa wanaojiita wamachinga! Kwa jiji la Dsm wamachinga wamejimilikisha maeneo yote ya barabara na kwengineko mamejenga mpaka mabanda juu ya mitaro! Kwa wiki za karibuni RC wa Dsm amesikika kuanza...
  15. The Burning Spear

    Suala la Machinga kuondolewa kariakoo kuna haja serikali ipelekwa mahakamani.

    Taasisi za haki za binadamu wasilikalie kimya hili jambo maana ni ukatili na uonevu mkubwa. Hatuwezi kutesa maelefu ya vijana kisa watendaji kadhaa wasiozidi 10 wa jiji wanahofia nafasi zao. kwani walikuwa wapi miaka yote hiyo. Hao wafanya biashara wapo kariakoo kwa zaidi ya miaka 30 huwezi...
  16. M

    Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
  17. Damaso

    Afya ya Akili: This is big YES or big NO?

    Maisha yanakwenda kasi sana, huku joto kali sana na bado tunapewa taarifa kuwa kuna El Ninò inakuja, yaani purukushani kibao. Kila mtu anapitia changamoto za maisha kwa namna yake, wapo waliopoteza wapendwa wao, wapo waliofukuzwa kazi na kuna wengine wanaumwa magonjwa, kila mtu ana vita yake ya...
  18. Victor Mlaki

    Unafahamu katikati ya wewe na kitu unachokiona kuna nafasi (space) na nafasi hiyo ikiondolewa hutaona?

    Nafasi iliyopo kati ya unachokiona na na kitu chenyewe ndipo mchezo wa kiumbaji na upotoshaji wote unapofanyikia. Katikati ya maisha yako na matokeo unayoyaona katika maisha yako kuna nafasi. Hali ingekuwaje kama nafasi hiyo isingekuwepo kabisa, yaani wewe na unachokiona mnakuwa mmeshikamana...
  19. Crocodiletooth

    Suala hili kiuchumi linamaanisha nini?

    Wakenya wanaoishi na kufanya kazi nchini Tanzania walituma nyumbani Ksh bilioni 1.52 (Dola za Marekani milioni 11.72) mwezi Agosti, kiasi ambacho kimezidi fedha zilizotumwa kutoka Saudi Arabia, ambazo zilifikia Ksh bilioni 1.50 (Dola milioni 11.61). Hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuzidi...
  20. Nguva Jike

    Ded-Kilindi Tanga amnyanyasa mwalimu mpaka aache kazi?Mh.Waziri mkuu ingilia kati suala hili.

    Habari za jioni wana jamiiforum. Kwa mwenye ushauri na njia za kumfanya mwalimu huyu aondokane na KERO inayomtesa atoe ushauri hapa. Kuna mwalimu mmoja pale Kilindi Tanga alikwenda kumripoti mwajiri wake Dodoma tamisemi mwaka 2024 kutokana na mwajiri kutomlipa haki zake mbalimbali.Kuna pesa za...
Back
Top Bottom