sports

  1. Influenza

    UEFA 2019/20: Samatta uso kwa uso na Van Dijk. Real Madrid kundi moja na PSG huku Man. City ikipewa kundi mteremko. Van Dijk mchezaji bora wa UEFA

    Droo ya kupanga makundi kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) 2019/20 kuchezeshwa leo Agosti 29, 2019 huko Grimaldi Forum, Monaco kuanzia saa 18:00 CET (Saa mbili usiku kwa majira ya Afrika Mashariki Timu zinazoshiriki droo hiyo Matokeo ya Droo iliyochezeshwa leo ni kama...
  2. AKILI TATU

    The Liverpool Way, The Hard Way, Karibuni Anfield Napoli

    Bill Shankly KILA mtu aliamini hatuendi popote, wengi walitarajia kuona tunashindwa kufuzu hatua ya 16 ya michuano ya Ligi ya Mabingwa msimu wa 2004/05. Njia yetu ilikua ni ngumu, kundi letu lilishageuka shubiri kwetu, hatukua na matumaini tena. Tulikua tupo na Monaco, Olyimpiacos na...
  3. Barcelona763

    Alikiba coastal union

    Sio Siri Tena alikiba ni mchezaji mpira wa coastal union nilipopata habari sikuelewa . Lakini nilipomsikiliza Mwenyewe akieleza nia yake kwenye interview ya Azam tv nikatambua kuwa ana uwezo ya kutimiza ndoto yake.tokea leo mimi ni shabiki number moja wa coastal union . Nitanunua jezi lake...
Back
Top Bottom