Mwenyekiti wa klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu, ametangaza kuwa klabu hiyo itafanya Mkutano Mkuu utakaohusisha Uchaguzi Mkuu wa viongozi tarehe 30 Januari 2027.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti huyo kupitia barua kwa Wenyeviti wa Matawi ya Simba SC, mkutano huo utafanyika siku...