sport

  1. 1kush africa

    SUPER SPORT SWAHILI

    Chimbo la Wachambuzi wa mpira
  2. O

    Mapambano ya Kihistoria Talanta Sport City: Tiketi za Bayern na Ajax Zaanza Kuuzwa Rasmi Leo

    Habari za wakati huu wanajukwaa! Hatimaye siku ambayo wengi wetu tulikuwa tukiisubiri kwa hamu imewadia. Tiketi za mechi hii kubwa ya kihistoria kati ya FC Bayern na Ajax, itakayochezwa katika Uwanja wa Kimataifa wa Raila Odinga (Talanta Sport City) tarehe 5 Januari 2027, zitaanza kuuzwa rasmi...
  3. Kipenzi Changu

    Yanga Sport Club iitolee Tamko Azam Tv

    Hii ni kama hujuma ya kuipotezea Yanga malengo, kuitia majonzi na kuuchonganisha uongozi au kuchochea hasira za mashabiki. Azam Tv wamekuwa wakionyesha mechi mara 3 au 4 kwa siku kama dozi. Asubuhi wakati wa Chai, Mchana wakati wa lunch, jioni wakati wa kupumzika usiku karibia na kulala. Azam...
  4. Samatime Magari

    🚨Fresh Import Subaru Impreza Sport Eyesight 2013 MODEL, KM 102,000 CC 1990 AT Petrol Going 25.6M + Usajili💰

    . Kwa Picha zaidi na best Price Samatime Magari 0714547598
  5. online GOVT applications

    Azam TV yaongeza channel mpya Azam Sports 5 HD

    Kampuni kubwa ya media East Africa Azam media wameongeza channel mpya ya mpira ya Azam sports 5 HD na kufanya wawe na jumla ya channel 10. Katika hizo channel 10, tisa ni HD na moja ni ya matangazo, hii inafanya iwe ni kampuni kubwa inayomilikiwa na wazawa Afrika nzima Haya ni mapinduzi...
  6. min -me

    Simba Sports Club maskini timu yangu😭

    Kamwe hii timu yangu haiwezi chukua ubingwa mbele ya timu ya Yanga, wana malengo mabaya sana , hatuna plan na tuna matajiri oya oya na viongozi wahuni takataka🚮 Note ..endeleeni kushabikia matajiri wajinga kwenye soka, viva epl clubs✔
  7. darautobroker

    Car4Sale 2016 Range rover sport ya diesel iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 115M Call📞+255 747 999 927 RANGE ROVER SPORT Year: 2016 Engine: 3.0L Mileage: 116K Fuel Used: DIESEL Transmission: AUTO ✨Paddle Shifters ✨LED Fog Lamps ✨Electric Tailgate ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost
  8. Mzee Wa Kaliua

    Link gani nje ya fawa news naweza kuzipata chanel za azam sport ?free website ama app

    Naomba kwa mwenye kujua free website nazoweza kupata chanel za azam sport ama app
  9. E

    ANDROID BOX TV STREAMING DEVICE (MOVIE & SPORT) NK....

    kuna yoyote anatumiia aina hii ya android box (TV BOX MXQ PRO 4K 5G) na amesha wai kuweka app ya onstream ? Na bila kupata shida yoyote kwenye kuplay movies au series kwenye app iyo maana me hapa napata shida moja nikitaka kuplay movies inafunnguka kabisa na unaona ila kuna background ya...
  10. SPORTS BUSINESS

    Sport Shoes

    Nakiuza kwa bei ya kutupa ukiwa na elf50 nakupatia napatikana tabata ya kinyerezi mawasiliano ni 0672266912
  11. Royal Son

    Blind sport mirror bei poa kabisa

    🚗 KIOO CHA ZIADA CHA GARI (BLIND SPOT MIRROR) 🚗 🔹 Ongeza usalama wako barabarani 🔹 Ona blind spot wakati wa kubadilisha njia & kurudi nyuma (reversing) ✅ Hurekebishwa kwa pembe tofauti ✅ Muundo imara wa ABS outer frame ✅ Husaidia parking kwa urahisi ✅ Rahisi kufunga – hakuna uharibifu ✅ Inafaa...
  12. M

    Nahitaji kufahamishwa vifurushi vya DSTV vilivyo na mechi za UEFA

    Kuishi vijijini tabu yake ndio hii sasa Unanunua king'amzi cha Dstv na hujuwi vifurushi vyake huwa vina bei gani Naomba kufahamishwa ndugu wapenda michezo Kwa sasa ni bei gani ili niangalime timu yangu ya PSG wiki ijayo?
  13. darautobroker

    Car4Sale TOYOTA IST yenye sport rim za kuombea mkopo inauzwa

    Bei/Price TSH 16.8M Call+255 747 999 927 TOYOTA iSt Year: 2002 Engine: 1,490Cc Mileage: 99,000+ Transmission: AUTO Fog Lights Sport Rims Android Radio Clean Interior In Good Condition Exchange Possible
  14. Brown B

    Car4Sale TOYOTA RAV4 SPORT GW OLD #DG

    TOYOTA RAV4 OLD 1999 Engine CC 1990 123,000km Petrol Automatic Sports rims Full documents Price Tsh 10.5m ☎+255626682228
  15. Dennis Robert Shughuru

    Miji ya Tanzania haina open space, public garden, sport centre inasikitisha sana

    Miaka ya 90 kurudi nyuma open space zilikuwepo ila ghafla miaka ya 2000 kuelekea 2010's zikaanza kuota mbawa sasa hivi kwenye miji yetu hakuna public garden, open space na sport centre to be honest hali ni mbaya Sehemu kama dsm hali ni mbaya zaidi sababu unaweza tembea km 10 hakuna open space...
  16. Sema kama nenga

    Zijue nchi inayoongaza kuwa na maafisa ubashiri wengi Afrika

    Nchi inayoongaza kuwa na maafisa ubashiri wengi afrika ni 1. South afrika - 83% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. 2. Kenya - 79% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. 3. Tanzania - 74% ya maafisa ubashiri wanapeleka moto. 4. Nigeria - 73% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi. 5. Uganda -...
  17. Franky Samuel

    Yanga kumenyana na Rayon Sport June 15

    Klabu ya Yanga SC ya Tanzania inatarajia kucheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports Juni 15, 2025 mchezo huo ukiwa unalenga kujenga uhusiano mzuri na klabu hiyo. Mchezo huo utachezwa Mjini Kigali, Rwanda. Kukubali mwaliko huo kwa Yanga kunathibitisha dhamira yao ya kukataa...
  18. C

    Haya ndo mafanikio ya Simba Sports Club mpaka sasa

    Simba Sports Club imekuwa na mafanikio makubwa katika msimu wa 2024/2025, ikijidhihirisha kama moja ya vilabu bora zaidi barani Afrika na Tanzania. 🏆 Mafanikio ya Kimataifa – CAF Confederation Cup 2024/2025 Simba SC imefuzu kwa fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF kwa mara ya pili katika...
  19. B

    The bigwigs in early payouts are the talk of the town in betting

    In Sport betting, early payouts mean a bookmaker settles your bet as a win before the event is officially over—usually because your selection is in a strong position. For example: In football, if your team goes 2 goals up, the bookmaker might pay your bet out early, even if the game isn’t...
Back
Top Bottom