south africa

  1. konda msafi

    Zimbabwe ilikuwa nchi nzuri yenye maendeleo kama South Africa. Tanzania tusiwe sehemu ya takwimu

    Zimbabwe ilikuwa nchi nzuri sana, ilikuwa inachuana na South Africa kwa maendeleo. Hata ukifika sasa hivi miundombinu na majengo yaliyopo Zimbabwe huwezi kutofautisha na South Africa. Kilichokuwa kinapatikana South kilikuwa pia kinapatikana Zimbabwe. Stores zote na migahawa yote inayopatikana...
  2. Mad Max

    Tanzania vs South Africa | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 30 April 2025.

    FULL TIME: SOUTH AFRICA 1 - TANZANIA 0 Siku ya leo tarehe 30 April, majira ya saa 12 jioni kwa masaa ya Africa Mashariki, vijana wetu wa Tanzania walio chini ya miaka 20 almaarufu kama Ngorongoro Boys watakipiga na vijana wa South Africa katika mechi za kundi A ya CAF U20 AFCON. Hii ni mara...
  3. BLACK MOVEMENT

    Democrasia iliopo Kenya hasa uhuru wa habari sio wa levo hizi za Africa ni beyond Africa labda Ulaya huko nako pia nina wasiwasi.

    Democrasia iliopo Kenya sisi hata robo yake hatutarajii kuifikia , kwa kizazi hiki cha kipumbavu. Jamaa wako mbali sana kwenye uhuru. Angalia hii habari na piga picha ndio Bongo hii. Hii je? Kenya uhuru wa Habari ni beyond, Tanzania kuna wajinga wanadanganywa kwamba kuna uhuru wa Habari...
  4. Stability

    Pastor wa Mmarekani alietekwa huko South Africa akiwa anahuburi ameokolewa

    Mchungaji wa Kimarekani, Josh Sullivan, aliyetekwa na wanaume wenye silaha wakati wa ibada nchini Afrika Kusini, amepatikana akiwa salama baada ya majibizano ya risasi makali yaliyopelekea vifo vya watu watatu, kwa mujibu wa polisi. Sullivan, mwenye umri wa miaka 45, alipatikana Jumanne jioni...
  5. Gobole Lenye Risasi

    Acheni kulishana Upepo. Simba haiwezi kuchukua kombe hili la CAF. Anaenda kuzikwa South Africa

    Ile kushinda jana kuna mabwege wameshaanza kuandika upuuzi. Yaani hii Simba tia maji tia maji ya kufika Fainali? Nyie mnafanya masikhara sana. Labda umri wenu ndo changamoto. Mnaanza kulishana upepo mkidhani mtashiba kutokana na njaa kali ya Makombe mliyo nayo kwa miaka hii 4. Na mwaka huu...
  6. Short Boe

    Napataje Michongo ya udereva South Africa?

    Wana JF mko poa..? Nina bro wangu yupo south miaka mingi sana anaishi Capetown juzi kati nimewasililiana nae WhatsApp akaniambia kama sielewi maisha ya bongo niibuke kule atanifosia michongo sababu yeye ameshakuwa mwenyeji.. Sasa hiv ndio nipo katika process za kukata passport, lakini kuna...
  7. GP Company Limited

    Unahitaji nini kutoka South Africa?

    Unahitaji nini kutoa South Africa? Branch zetu. Kamaha-Mkaba na Soko la Madi. Dar- Tunapatina Ilala. Shinya-Majengo Mapya jirani na Liga Hotel. Next-Mwanza. Njia za naweza lipia nikama PayPal Bank Lipa Kwa Simu Wala Wala CRDB Kama uko serious nicheki whatspp.Kama uko kahama nenda tume ya...
  8. Jemima Jackson

    Wapi nitapa huduma ya usafirisha mizigo kutoka South Africa to Tz

    Naomba mawasiliano nahitaji mzigo kutoka South Africa kuja Dar,nani anielekeze wapi nitapa huduma hii.
  9. ndege JOHN

    Nini kimesababisha South Africa kuwa na HIV AIDS kwa rate kubwa?

    Historia nayoijua ukimwi iliingia katikati mwa Africa Sasa ni miaka ya ngapi hio South wakapigwa na janga au Kuna mkono wa biashara kubwa ya dawa ilitakiwa yaani ni kama kamchezo wanatuchezea duniani. Wanatupiga na janga halafu wanatupa relief kidogo nakulilia Africa yangu vita kila kukicha na...
  10. B

    Simba SC, TFF wakitoa maamuzi kwa kupendelea Yanga, option iwe moja tu kuhama ligi na kupeleka timu kwenye ligi ya South Africa au Nigeria

    Kwa sababu bodi ya ligi na TFF wameshindwa kuendesha ligi kwa kuipendelea Yanga. Maumuzi watakayofanya juu ya sakata hili ni ya kukurupuka ili kumfurahisha baadhi ya vigogo huko serikalini. Hivyo Simba SC isitishwe na uamuzi wowote hasi kuja kwao ila uamuzi wa club ueleweke mapema BILA Yanga...
  11. Pdidy

    South Africa wapeleka wanajeshi zaidi 700-800 na VIFAA Vizito vya kivita kupambana na M23

    BAADA ya WANAJESHI WAO kuuwawa na M23 South Africa imetuma WANAJESHI zaidi ya 700 na VIFAA vizitooo Imeomba nchi za SADC na EAC kushirkiana kuuondoa MAGAIDI WA M23 wakiachwa wataenea Africa nzima USHAURI tu wapendwa Hawa n majangili magaidiiii Pale mnapoweza kupambana nao pambaneni nao...
  12. Deinstein 01

    Afrika Kusini yaomboleza kifo cha Mwanamke wa kwanza mweusi kuwa Nuclear Scientist

    Habari Wakuu! Mwanamke wa kwanza wa kiafrica kuwa nuclear physicist amefariki dunia tarehe 9/02/2025 akiwa na umri wa miaka 37. Mwanamke huyu anaitwa Senamile Masango ambaye amezaliwa mwaka 1987 katika kijiji kiitwacho Nongoma kilichopo Kwa Zulu Natal nchini South Africa. Masango alijiunga...
  13. Yoda

    Hivi wabongo hawafahamu Afrika Kusini ina makabila mengine zaidi ya Wazulu?

    Sijawahi kuelewa kwanini Wabongo wengi wanaichukulia Afrika Kusini kama nchi ya Wazulu wakati wazulu wanakadiriwa kuwa milioni 12 tu kati ya watu milioni 60. Kuna mtu nimekutana naye anasema Wazulu wamechachama kupeleka wanajeshi wengi zaidi Congo asijue hata Ramaphosa mwenyewe sio Mzulu...
  14. MBOKA NA BISO

    Tetesi: South Africa yatuma wanajeshi wengine DRC kukabiliana na M23

    Wakati nchi wanachama wa SADC na EAC wakikubaliana kuhakikisha amani inapatikana mashariki mwa Congo, taarifa za chini chini zinaeleza kuwa wanajeshi kati ya 700 na 800 tayari walishawasiri nchini Congo kuongezea nguvu jeshi la serikali hiyo. Chanzo cha habari, Reuters, kimesema kwamba, ndege ya...
  15. ACT Wazalendo

    ACT Wazalendo Calls on African Frontline States to Sever Diplomatic Ties with USA Over Aggressive Interference in South Africa

    ACT Wazalendo expresses deep concern over the reckless and aggressive decision by U.S. President Donald Trump’s Executive Order of February 8, 2025 to cut foreign aid to South Africa in response to its sovereign land reform (acts) and its principled stance against Israel’s genocide in Palestine...
  16. Minjingu Jingu

    Afrika Kusini wasijaribu kutaka kuzichapa na Rwanda. Watachakazwa vibaya sana

    Kagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri. Labda sasa mpigane kwa kurushiana mabomu tu...
  17. Eli Cohen

    Wanajeshi 7 wa jeshi la South Africa wameuliwa na kikosi cha M23 huko Goma.

    Wemefariki wakiwa wanaitetea Goma. M23 walijaribu kuwafanyia mashambulizi kwa siku 2 ila hawakufanikiwa kusogea zaidi. Hongera na rest in peace kwa mashujaa hawa
  18. kipara kipya

    Tetesi: Side mnyamwezi awashauri vigogo wa timu nyuma mwiko kuhamia ligi ya south Africa baada ya kugundua NBC ligi ni dhaifu!

    Kocha mkuu side mnyamwezi ameushauri uongozi wa klabu ya gongowazi kuhamia south huko atapambana na timu ngumu kama mamelodi ,kaizer chief,Gallaxy na nyinginezo.....hivyo akipangwa tena makundi anapita moja kwa moja maana ligi ya NBC ni dhaifu yanga haiwezi kucheza robo kama itabaki ligi ya...
  19. GoldDhahabu

    Dubai, China, Uturuki, au South Africa?

    Kama unataka kufanya ziara ya kuangalia fursa za kibiashara, hasa kuangalia bidhaa za kuzileta nchini, ni nchi ipi inaweza ikawa sahihi zaidi kuitembelea? Muda wa ziara ni wiki mbili! Nchi ipi kati ya hizi? DUBAI, CHINA, UTURUKI, au SOUTH AFRICA? Kwa nini?
  20. BIG STONE AND CONER STONE

    Utajiri wa Elon Musk umevuka GDP ya South Africa

    Unajua inahitaji research ya kweli independently Hao wazungu ni kawaida Yao kupigia chapuo uwongo wao na kuwalisha jamii. Hivyo Elon Anataka utajiri uongezeke na ili uongezeke zaidi ni kufanya nn Anaongea na hao watu wa statistics wanaisha uwongo Kisha matajiri na makampuni yananunua hiza...
Back
Top Bottom