somo

State Organization for Marketing of Oil (SOMO) is an Iraqi national company responsible for marketing Iraq's oil. It is headquartered in Baghdad, Iraq.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Somo toka kashifa ya kampuni ya NVIDEA

    Imeripotiwa kwanba Mtendaji Mkuu (CEO) wa (NVIDEA) Kampuni kubwa ya Teknologia ya Marekani ndugu Jensen" Huang mwenye Uraia wa Taiwan na Marekani ameamua kujiuzulu nafasi zake kwenye Kampuni kutokana na kinachodaiwa kuwa na uhusiano nje ya ndoa na mwanamama wa Kichina Alice Huang. Vyombo vya...
  2. S

    Nchimbi awe somo kwa wanasiasa?!

    Ukitendewa umafia sio lazima ulalamike au kutapatapa kwenye vyombo vya habari Aksante Emmanuel John Nchimbi
  3. Frank Wanjiru

    Mrisho Gambo: Familia ya Lisu ilishafeli somo la unafiki

    Mwanasiasa Mrisho Gambo ameisifia familia ya marehemu Wakili Alute Simon Mughwai Lissu kwa kuwa na misimamo thabiti katika kusimamia haki na ukweli, akisema misimamo hiyo si ya kuigiza bali ni matokeo ya misingi imara ya malezi iliyoanzia ngazi ya familia. Akitoa salamu za rambirambi wakati wa...
  4. T

    Somo zuri kwa Watanzania..!

    Nchi ndogo km Botswana inaingia mara 20 kwa Tanzania..lkn wanaweza kuheshimiana, viongozi wanawaheshimu raia na raia wanaheshimu viongozi..appointments zinafanyika kwa merits..huwezi tarajia kwa mtu mwenye background km hii ya Profesa Kenosi aelekeze watu/raia wakosoaji wa serikali kutekwa...
  5. K

    Somo la leo:Zaburi 12 3-8

    Zaburi 12:3-8 BHN Ee Mwenyezi-Mungu uikomeshe hiyo midomo ya udanganyifu, na ndimi hizo zinazojigamba kupindukia. Wao husema: “Kwa ndimi zetu tutashinda; midomo tunayo, nani awezaye kututawala?” Lakini Mwenyezi-Mungu asema: “Kwa sababu maskini wanadhulumiwa, na wahitaji wanapiga kite, sasa naja...
  6. K

    Somo la leo

    AI Overview Mithali (Proverbs) 11:4-6 katika Kiswahili (Swahili Union Version / Biblia Habari Njema) inasema hivi: Mithali 11:4: "Mali hazifaidii kitu siku ya ghadhabu; Bali haki huokoa na mauti." (Au kwa toleo lingine: "Utajiri haufai kitu siku ya ghadhabu, lakini uadilifu huokoa kutoka...
  7. V

    Somo la ziada kuhusu kinena kwa lugha/kujawa Roho mtakatifu

  8. Dr Adam Francis

    Somo kutoka uchaguzi wa Marekani; "Tume huru ya uchaguzi ndiyo njia pekee itakayowafanya viongozi wawaheshimu wananchi"

    Moja wapo ya hoja alizowahi kuzitoa Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kama sababu za kwanini nchi yetu ielekee kwenye mfumo wa vyama vingi ilikuwa ni hatari ya chama kuonea watu kinaposhika hatamu. Tafakari hii haihitaji PhD kuing'amua. Katika mazingira ambayo viongozi wa chama na serikali wanayo...
  9. Financial Analyst

    Inawezekana labda kutoelewa lilie somo la mabikra 72 na mito ya pombe ndio inapelekea vijana wengi kujiunga na vikundi vya upiganaji bila hofu ya kifo

    Tusome maandiko kwa mantiki.
  10. Vien

    Kama unatafuta watu wa kukuamini kwenye maisha yako, pambana sana ujenge imani kwa wateja wa kike kwenye biashara yako

    Najua unaweza kuona kama ni kitu cha ajabu, lakini ngoja nieleze kitu ambacho nimejifunza kupitia biashara zangu mwenyewe. Mwanamke akipata sehemu ambayo anaweza kununua bidhaa au kupata huduma bila hofu ya kudanganywa, akahudumiwa vizuri na kupata thamani ya pesa yake, kuna uwezekano mkubwa wa...
  11. Troll JF

    Tujikumbushe kidogo Mwaipaya alivyotoa mbinu za kuepuka kutekwa

    Jana ilitoka taarifa ya Kutekwa Twaha Mwaipaya na watu wasiojulikana Nairobi Kenya, baada ya tukio hilo kuna kipindi Mwaipaya aliwahi kutoa mbinu kadhaa za kuepuka kutekwa. Kipi kimemkuta maana alitoa mbinu nzuri sana za kuepuka na adhaa kama hii ya matukio haya ya utekaji. Ambayo si matukio...
  12. La Roche

    Utekaji wa Twaha Mwaipaya: Je kuna somo ambalo wapinzani hawajalielewa?

    Nimeangalia taarifa zilizochapishwa tarehe 25 Oktoba 2026. Kwa mujibu wa Amnesty International, Twaha Mwaipaya aliripotiwa kutekwa katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos, nchini Kenya, alipokuwa akisafiri kwa teksi. Watu waliodaiwa kumchukua walikuwa kwenye magari matatu. Hata hivyo, taarifa...
  13. Sifi Leo

    Viongozi wa ccm naomba wasome somo la kwanza na la pili siku ya kuombea waliouwa na serikali ya ccm tarehe 29/10/2026

    Naomba viongozi wa ccm ambao ni wakatoliki kama Philipo mpango na wengine siku ya kuwaombea waliouwa na utawala wa ccm tarehe 29/10/2025. Tunataka wasome masomo yote tafadhali nina hakika Mungu atakujibu Kwanza tunaombea marehemu,pili tunaombea wote walio ua hao watoto wetu Mungu atende atakavyo.
  14. K

    Wapo Wapi Machawa wa Awamu ya Tano? Tahadhari na Somo la Bure kwa Machawa wa Awamu ya Sita

    Katika ulimwengu wa siasa za Tanzania, dhana ya kusifu, kuabudu na kulinda viongozi kwa macho makavu haijaanza leo. Hata hivyo, utamaduni huu ulifikia kilele chake cha kimkakati wakati wa Serikali ya Awamu ya Tano chini ya hayati Rais John Pombe Magufuli, na sasa unaendelea kwa kasi ya ajabu...
  15. Gunner11

    Alinitesa ila nilitoka kidedea na somo kubwa.

    Katika kukuwa niliamini kuwa ukiona watu wawili wameoana na kuishi pamoja sio by chance... Yaani kuna some sort of intervention wao kukutana, kuoendana na kuishi pamoja. Sasa kuna msichana mmoja ambaye kanitesa, akiniyumbisha na kunifanya nipitie tanuri la moto.. Ni kama nilikuwa nimerogwa kuwa...
  16. Carlos The Jackal

    Mwaipopo ni Muislam mwenye Misimamo Mkali, Mjinga asiyekua na akili , Mwenye Chuki na Ukristo , aliyeshindwa kujifunza Somo kupitia SHEIKH MAJINI .

    Uislam ni Dini iloanzishwa na Ukatoliki !!. TUNAJUA , Mpumbavu alipata MADARAKA, Jambo la kwanza ni kúanzisha vita na wenye Akili ili kuwadhoofisha. Hatua nyingine ,Huwa ni Kuwaita Wapumbavu wenzie na kuwaleta karibu. Mambo hayo mawili , huleta Anguko la TAASISI/NCHI. Endeleeni kumtuma...
  17. min -me

    Ila safari channel ya sasa wao wakifanya kipindi kimoja tu kwisha

    Ila safari channel ya sasa wao wakifanya kipindi kimoja tu kwisha? Yanachomeka flash drive, tunaangalia marudio ya mwaka 47 huku yenyewe yamekaa tu ndani na kupalilia mavitamvi yao ya kipumbavu . Yanaonyesha maua uchwa mwezi mzima na vile nyimbo vyao uchwara Safari channel kama...
  18. X

    Kariakoo inatufundisha somo moja: Bila Mchina bidhaa nyingi za kisasa zingekuwa za wachache

    Ukitaka kujua mchango wa China kwenye maisha ya Mtanzania wa kawaida, usianzie Beijing, anzia Kariakoo Leo mtu mwenye budget ya kawaida anaweza kuingia dukani na kutoka na bidhaa ambayo miaka kadhaa iliyopita angeiona kama luxury 1. FRIDGE Samsung/LG zikiwa na features za kisasa zinaweza...
  19. Zack Abdul

    Samia, Mamlaka ya Mwanamke na Somo kwa Taifa

    Tumtazame Rais Samia kama jaribio la Taifa letu kujifunza kitu ambacho hatukuwa tumekifanyia mazoezi kabla yake - Jinsi ya kumruhusu mwanamke kuwa na mamlaka. Kuna mjadala unaoendelea ambao, ukiuangalia kwa juu, unaonekana kama mjadala wa dini lakini ukiuchambua vizuri, ni mjadala mkubwa zaidi...
  20. K

    Kibano cha "Soft-Ball" cha Odemba kwa Kihongosi na Somo la Katiba Mpya kwa Wana-CCM

    KIBANO CHA "SOFT-BALL" NA UPWAYAJI WA HABARI: Uchambuzi wa Mahojiano ya Kihongosi na Odemba, na Somo la Katiba Mpya kwa Wana-CCM Habari za jioni Wana-JamiiForums (JF), Matumaini yangu mko salama na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa taifa letu. Leo nimeona nilete mada hii mezani kwenu kwa...
Back
Top Bottom