soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

    Habari wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
  2. K

    Kuunga kwa Soko la Kariakoo, kuna la kujifunza?

    Majanga mengi yamekuwa yakijitokeza ya moto.Sasa hivi kuna janga la moto Soko la KARIAKOO, Shule moja huko Morogoro. Je kutokana na majanga haya na mengine ambayo yalishawahi kutokea huko nyuma na chanzo chake kusemekana ni hitilafu ya umeme, JE KUNA CHA KUJIFUNZA KUHUSU MAJANGA HAYA YA...
  3. L

    China yaendelea kutoa fursa kwa nchi za Afrika Mashariki kujitangaza kwenye soko lake

    Kenya, Tanzania na Rwanda zimeendelea na juhudi zao katika kutanganza vivutio vyake katika soko la China ikiwa ni pamoja na vivutio vya utalii, sanaa za mikono, na hata bidhaa za kilimo kama kahawa. Kwenye hafla moja iliyofanyika mashariki mwa mji wa Beijing na kutangazwa moja kwa moja kwa...
  4. J

    Mfugale fly over, Daraja la juu la Kijazi, Magufuli Bus Terminal, Soko la Chifu Kingalu na Soko la Ndugai miradi iliyotukuka

    Ni miradi iliyofunguliwa na hayati Magufuli. Ni miradi yenye kumbukumbu nzuri katika kurahisisha shughuli za jamii kwa maeneo husika. Ni miradi itakayokumbukwa kwa muda mrefu. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  5. H

    Natafuta soko la unga wa ubuyu na mafuta ya alizeti

    Habari zenu wana JF! Natafuta soko la unga wa ubuyu na mafuta ya alizeti, yeyote anayeweza kunisaidia kupata soko, tuwasiliane kwa 0757140014 whatsapp or sms or call. Asanteni
  6. B

    Dkt. Liberata Mulamula: Tanzania kunufaika na Soko Huru la Biashara Afrika - AfCFTA

    29 June 2021 Dar es Salaam, Tanzania Eneo la soko huru kupitia mkataba wa AfCFTA yafikia nchi 38, tanzania kufaidika Tanzania imeridhia na pia kufikia hatua za mwisho kuingia katika soko kubwa la biashara kupitia eneo la soko huru barani Afrika AfCFTA litalokuwa na idadi ya zaidi ya watu...
  7. M

    Ndugu zangu wadau, hivi ni kwa nini viwanda vyetu havidumu licha ya kuwa na soko la uhakika?

    Kulikuwa na kiwanda Cha mafuta ya kupikia mazuri sana, VOIL, Tanbond, Mafuta ya karanga, kiwanda Cha mbolea Tanga, kanga nzuri sana za urafiki, nk
  8. D

    Wizara ya Nishati na madini toeni ufafanuzi; kwanini soko la shaba (copper) limepaa maradufu?

    Kuna malalamiko mengi sana juu ya soko la shapa kupaa! Gharama ya mauzo na manunuzi ya shaba (copper) imepaa sana kwa zaidi ya 45%-55% ya bei ya awali je tatizo ni nini? Nani anafahamu kwa nini soko la madini hayo limepaa sana? Shida iko wapi? Wenye majibu tafadhali
  9. Vyombo vya habari Tanzania havijui misimamo ya kuendana na soko

    Vyombo vya habari kwa tanzania havijui nini misimamo katika kuendana na soko. Mfano wenzetu ukikuta kama BBC basi utakuta BBC habari imejikita kuwa makini na habari sio kuleta ujinga, ndio maana kuna BBC chaneli nyingine zisipoteze muelekeo. Ukija mfano National Geographic, Discovery, CNN...
  10. WAFUGAJI wa mazao ya baharini wametakiwa kujikita katika kilimo cha majongoo ya pwani ambacho mahitaji yake ni makubwa katika soko la nje la kimataifa

    Hayo yalisemwa na Waziri wa Uchumi wa Bluu na Uvuvi, Abdalla Hussein Kombo, wakati akiwasilisha makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2021-2022 katika kikao cha Baraza la Wawakilishi. Alisema wizara tayari imeanza kuwashajihisha wafugaji wa mazao ya pwani ikiwamo...
  11. S

    Mtanzania aingiza kitabu chake soko la WALMART Marekani

    Kutoka kwa Yericko Habari njema kwangu na kwa Watanzania nikuwa Kitabu chetu pendwa cha Ujasusi baada ya kuingia makubaliano na kampuni ya Kindle Publishers ili wauze kitabu kupitia amazon.com miaka mitano iliyopita, Sasa kimekubalika na kuingizwa kwenye soko la makampuni makubwa sita ya...
  12. Tushirikishe biashara yako, upate mawazo mapya na kutanua soko lako.

    Habarini wakuu Nimeamua kuanzisha huu uzi maalumu kwa kuweka picha za bidhaa zilizotengenezwa hapahapa nchini kwetu Tanzania katika harakati za kuelekea Tanzania ya viwanda. Utakuwa ni uzi wa kuweka picha za bidhaa tulizozitengeneza sisi wenyewe(watanzania) na si picha za ku download au kuweka...
  13. Laiti Rais samia angeijua historia ya soko la Kariakoo katika kupigania uhuru wa Tanganyika

    Mama Samia leo asubuhi aliamkia Soko la Karikaoo kuangalia biashara inavyokwenda na kuzumgumza na viongozi wa soko. Allah ana rehma zake na hutukumbusha mengi kwa njia ambazo mtu huwezi kutegemea. Hapo aliposimama kwenye gari Rais Mama yetu Samia Soko la Kariakoo alikoelekeza sura yake ni Mtaa...
  14. Washika dau kwenye soko la mahindi Tanzania wakiri wenyewe tatizo la sumu ni changamoto kwao huko

    Wamekutana na kujadili namna ya kushughulkia hilo tatizo ili kuboresha soko ukanda wote huu, ikikumbukwa walivyopiga makelele wakati walipoambiwa warekebishe, wenyewe wanafahamu hilo tatizo kimya kimya halafu walitaka kulazimisha kwa kupiga ukunga. Wamelalamika kwamba TBS ndio huwakwamisha kwa...
  15. Fursa ya ufugaji wa ng'ombe wa asili kwa ajili ya nyama na maziwa kwa maeneo yaliyokaribu na soko

    Wajasilimali wenzangu msije mkasema sijawaambia,iko hivi kama una shamba karibu na Dar,maana ya Mkuranga, Bagamoyo nk fikiria mradi huu unalipa.Nimeiba idea hii kwa jirani yangu kupitia meneja wake nikaone ni FURSA muhimu. Iko hivi kwa mfano: Kama una eneo lako hata kama ni ekari moja tu ya...
  16. Mama lishe, kuna soko kubwa la biashara mkiweza kusambaza chakula

    Biashara ya chakula inauzika na ina uhakika kwasababu kila siku watu wanahitaji kula. Wateja wengi wanavutiwa na ladha ya chakula pamoja na mandhari ya eneo. Katika maisha ya kila siku huku mtaani, wapo ambao hawana muda wa kupika nyumbani, wanatumia muda mrefu katika shughuli zao za kila...
  17. Naomba kufahamu msimu wa bei nzuri ya Vitunguu Maji

    Wadau habarini, Naombaen ushaur kwa wazoefu wa kilimo cha VITUNGUU MAJI.Nimeshaanza mradi wa kulima hili zao,ndoto yangu ni kulima Ekari 3. Ila hofu yangu ni uhakika wa SOKO,kwa muda ntakaokuja kuvuna.Maana apa nategemea kuja kuvuna mwez wa 9 mwishoni hadi wa 10 hiv. Ombi langu,naomba kujua...
  18. Nahitaji kujua lilipo soko la zao la ngwara / fiwi jamii ya maharage

    Mimi ni mfanyabiashara chipukizi, napatikana Tanga. Natafuta wanunuzi wa zao la ngwara au fiwi jamii ya maharage na choroko. Nina gunia zisizo pungua 8 store. Pia itapendeza kupata mawasiliano au kujua trend ya bei ya zao hili sokoni hususani kwa mkoa wa Arusha.
  19. Mwenye soko zuri la Maziwa kwa Dar aje hapa

    Wasalamu. Nipo mkoa jilani na Dar huku kuna fursa ya upatikanaji wa maziwa kwa wingi. Nahitaji mtu mwaminifu ambaye naweza fanya naye kazi walau aweze kuchukua litre 200 kwa kuanzia per day.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…