soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    CRDB Bank - Kijani Bond, Mapishi Safi, Soko ya Hewa Ukaa

    13 November 2026 Ankara, Uturuki COP31 inalenga katika kuhamasisha ufadhili wa hali ya hewa ili kugeuza ahadi za Afrika kuwa vitendo COP31 focuses on mobilizing climate finance to turn Africa’s commitments into action https://m.youtube.com/watch?v=SCIRrGDDwG0 Huku COP31 ikichukua nafasi muhimu...
  2. Blasio Kachuchu

    Wapanda Mlima 22 wa ARiS na TIRA Wafika Kilele cha Kilimanjaro Kupitia Kili Insurance Summit 2026, wakiadhimisha Miaka 30 ya Mageuzi ya Soko la Bima

    Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Wapanda mlima 22 kutoka kampuni ya ARiS Risk & Insurance Solutions Limited na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) wamefanikiwa kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro na kurejea salama, katika safari maalumu ya kuadhimisha miaka 30 ya mageuzi ya soko la bima...
  3. TIB RASILIMALI

    FAHAMU FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA SOKO LA HISA

    1. UTANGULIZI Katika dunia ya sasa, watu wengi wanatafuta njia mbalimbali za kujenga ustawi wa kifedha na kuongeza thamani ya mali zao. Miongoni mwa njia zinazoweza kutumika ni kuwekeza katika soko la hisa. Hata hivyo, baadhi ya watu wanapoanza kuwekeza, huwa na matarajio ya kupata faida ndani...
  4. K

    HOJA Haki za Wanyama zizingatiwe katika soko la machinjio ya Vingunguti, wanawekwa kwenye jua kali sana

    Wananchi tunatoa wito kwa wahusika wa Machinjio ya Soko la Vingunguti kuzingatia ustawi na haki za wanyama wanaoletwa kuchinjwa. Mbuzi na Kondoo wamekuwa wakiwekwa nje ya ukuta wa machinjio bila sehemu ya kujikinga na jua kali, hali inayoweza kuhatarisha afya na ustawi wao. Wanaiomba mamlaka...
  5. Yoyo Zhou

    CIIE yasaidia bidhaa za Afrika kupata nafasi imara zaidi katika soko la China

    Maonyesho ya Kimataifa ya Uingizaji Bidhaa ya China (CIIE) yamefunguliwa hivi karibuni mjini Shanghai, yakivutia idadi kubwa ya makampuni na wafanyabiashara kutoka Afrika. Katika siku ya kwanza ya maonesho hayo, Kampuni ya kuchakata kakao ya Ghana ilipata oda ya tani 250 za kakao yenye thamani...
  6. M

    David Kafulila: Kupitia PPPs tunajenga nchi ambayo kijana wa kitanzania mwenye ufanisi wa 40% aweze kushindana kwenye soko na Mchina mwenye 70%

    Akizungumza na vijana wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Mkurugenzi Mkuu wa PPPC, David Kafulila, alisema kuwa upande wa Serikali vijana ndiyo nguvu kuu ya kuleta mabadiliko na mageuzi yoyote ambayo taifa linayahitaji ili kusonga mbele. David Kafulila alisema kuwa ili kufanikisha hilo...
  7. Mohamed Said

    Viboko Vya Soko la Kasa Pemba

    https://youtu.be/Q8tYfhoUCCw?si=vyiQIAPknvNkJlJS
  8. TIB RASILIMALI

    Elimu ya HISA: Mwongozo wa kuanza kuwekeza katika soko la hisa la Dar es Salaam

    1. UTANGULIZI Elimu ya fedha ni nyenzo muhimu katika kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kuhusu akiba na uwekezaji. Miongoni mwa fursa zinazopatikana katika masoko ya mitaji ni uwekezaji katika hisa, ambao humwezesha mtu kumiliki sehemu ya kampuni na kushiriki katika matokeo ya biashara...
  9. Mad Max

    Mitsubishi RVR-e. Jaribio jingine la Mitsubishi kuingia kwenye soko la EV

    Mitsubishi ni moja ya waanzilishi wa Magari ya Umeme (EV) ambapo mwaka 2009 alitoa Mitsubishi i-MiEV. Pamoja na kwamba mauzo hayakua ya kimapinduzi kama Nissan Leaf au Tesla, ila credits wacha apewe. Mbali na i-MiEV, pia alitoa Minicab EV na Eclipse Cross EV. Hayo tuyaache. Sasa, tuna RVR...
  10. secretarybird

    Hadithi hii 👇 katika Makuadi wa Soko Huria ya Chachage Seithy Chachage inatufundisha nini?

    Hadithi. Kila Jumapili, padri mmoja (nadhani kule mkoani Mara) alikuwa na utaratibu wake: akipanda baiskeli kwenda kanisani, alisimama chini ya mti fulani wa muembe na kujisaidia haja ndogo kama mnyama fungo. 😂 Siku moja, akamkuta mtoto juu ya mti. Akamwita ashuke, kisha akampa pesa za...
  11. E

    Masauni: Tanzania yalenga kuwa kitovu cha soko la kaboni Afrika

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, akizungumza wakati akifungua Jukwaa la Soko la Kaboni na Uwekezaji Tanzania 2026, lililofanyika Jijini Dar es Salaam, Oktoba 22, 2026. Dar es Salaam. Tanzania inalenga kuwa kitovu cha biashara ya...
  12. A

    KERO Mtaro uliopo Arusha - Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero na hatarishi kwa afya

    Huu mtaro upo Arusha maeneo ya Soko Kuu Barabara ya Mnazi Mmoja ni kero sana na hatarishi, maji yametuama hayatembei kabisa. Hali ni mbaya sana na uongozi upo kimya paka vinyesi, maana hiyo ni chemba zinafunguliwa wakati wa usiku na mtaro umeziba maji yanajaa barabarani yenye vinyesi.
  13. A

    Wafanyabiashara wa kigeni wabadilisha mbinu kuendesha biashara Kariakoo

    Wafanyabiashara wa kigeni wanaotuhumiwa kukiuka vizuizi vya Tanzania vinavyowazuia raia wa kigeni kuendesha baadhi ya biashara, wanadaiwa kubadilisha mbinu ili kuendelea kubaki katika soko lenye faida la Kariakoo. Wengine wanaripotiwa kutumia majina ya Watanzania kupata leseni za biashara, huku...
  14. Parabolic

    Masauni: Tanzania Yapiga Hatua Soko la Biashara ya Kaboni

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akisalimiana na Waziri wa Mazingira wa Rwanda Dkt. Bernadette Arakwiye mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Masoko ya Kaboni Afrika wa mwaka 2026 unaofanyika kwa siku mbili Kigali nchini Rwanda...
  15. M

    Kwa wafanyabiashara wa Soko la Kilombero na Soko Kuu - Arusha: Hii Inawahusu

    Yule Bingwa WA kuchoma Masoko ili kupisha ujenzi wa Masoko ya Kisasa keshapewa Green Light. Siku yeyote kuanzia leo mjiandae kukaa Miguu Sawa, maana imeonekana masoko husika kwa sasa hayana hadhi ya kukaa kwenye Jiji la kitalii, hivyo imeamuliwa kujengwa masoko Makubwa ya Kisasa ili yaendani na...
  16. mjasiriamali mdogo

    Rushwa na Matumizi mabaya ya fedha za Umma katika ujenzi wa Soko wilaya ya Kaliua. Waacha eneo lililotengwa kwa ajili ya soko, watafuta eneo jipya.

    Halmashauri ya wilaya ya Kaliua chini ya Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Halmashauri wameingia katika mgogoro na Wananchi kwa kuacha maeneo mawili yaliyotengwa kwa ajili ya kujenga Masoko na kutafuta eneo lingine ambalo litagharimu mabilioni ya fedha kulipa fidia kwa wamiliki wa ardhi. Wananchi...
  17. BIOTOXINS

    KERO Tiketi za SGR: Mtandao unaonyesha "seats full" wakati mabehewa yapo wazi, nani ananufaika na mkakati huu?

    Habari wakuu wa jukwaa hili la JamiiForums. Ni miezi kadhaa sasa tangu mradi wetu wa kimkakati wa Treni ya Kisasa (SGR) uanze kutoa huduma kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma. Wakati Watanzania wengi wakifurahia reli hii mpya, kuna changamoto kubwa sana inayoumiza kichwa na inayozua...
  18. M

    Mpanda: Vibanda vya machinga vyabomolewa soko la Kilimahewa, Katavi

    Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kilimahewa, linalotumiwa na machinga wadogo, wameathirika baada ya vitu vyao kubomolewa kwa madai ya kutengeneza mitaro. Tukio hilo limeibua maswali kuhusu namna zoezi hilo lilivyotekelezwa na athari zake kwa wafanyabiashara wanaotegemea biashara hizo...
  19. adriz

    Nyani katema bungo ; Trump akubaliana na Putin Urusi kuingiza tani zake za Diesel Marekani na kwenye soko la Dunia

    Moja kwa moja... Kutokana na Vita vinavyoendelea kati ya Russia na Ukraine Marekani na mataifa ya Ulaya wakaiwekea vikwavyo vingi Russia mpaka kwenye Gas na mafuta yao . Marekani na Trump wakawa wakali kwa mataifa ambayo yalikuwa yanaendekea kununua mafuta ya Russia mfano mzuri ni India ...
  20. Mad Max

    BYD ETT 44 Electric Truck inakuja kumchallenge Tesla Semi. Inabeba hadi Tani 44 na inatembea hadi Kilometa 600+ full charge.

    Tesla amezindua Electric Semi officially juzi juzi, na amesema zitakua sokoni kuanzia 2027. BYD nae ameleta ETT 44 Electric Truck, ambayo ni 4x2, inabeba hadi 44T, na Ina 980 HP. Inakuja na battery mbili, kubwa ikiwa ni 630 kWh inayotembea hadi 600 km ikiwa full charge, na unaweza kuchaji...
Back
Top Bottom