soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. DOKEZO Mazingira ya Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili - Mwanza siyo rafiki

    Wafanyabishara Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili hapa jijini Mwanza wameendelea kufanya shughuli zetu katika mazingira yasiyo rafiki. Soko hill lipo kando ya Ziwa Victoria ambapo shughuli zote zinafanywa pembezoni mwa ziwa hilo kama kuosha samaki, hali hiyo inaweza kuwa mbaya...
  2. Uharibifu wa taa za barabarani (Solar road lights) eneo la Ubungo jirani na linapojengwa soko kubwa la kisasa (EACLC)

    Habari za muda huu wakuu, Nimepita eneo tajwa hapo juu leo hii na kukuta uharibifu wa taa zinazotumia mwanga wa jua. Nafikiri hili jambo lifuatiliwe kabla hasara kubwa haijajitokeza, maana mlingoti wa taa moja umekatwa na taa kuibiwa. Wakati huo huo kuna mlingoti mwingine upo mbioni kukatwa pia...
  3. Naibu Waziri Katimba: Ujenzi wa Soko la Mwanga na Katonga Utaimarisha Mazingira ya Biashara Kigoma

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: UJENZI WA SOKO LA MWANGA NA KATONGA UTAIMARISHA MAZINGIRA YA BIASHARA KIGOMA Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawaka za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Zainabu Katimba amesema ujenzi wa Soko la Kisasa la Mwanga na Soko la Samaki la Katonga mkoani Kigoma utaleta tija...
  4. CIIE yasaidia bidhaa za kilimo za Afrika kupata umaarufu katika soko la China

    Maonyesho ya 7 ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa ya China (CIIE) yatafanyika hivi karibuni mjini Shanghai. Ili kutekeleza kihalisi hatua za ushirikiano zilizofikiwa kwenye Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) wa mwaka 2024, eneo maalum la kuonesha bidhaa za...
  5. Andaa Business Plan inayolenga soko zaidi, mengine baadaye

    Chuo tukisoma business administration , unapewa format ya kuandaa business plan ambayo robo ya muongozo unajikuta unashindwa kundana nao. Lakini ukiingia sasa elimu ya kimtaani taani (iite kitaalogy) unagundua lngo kuu la Businss Plan ni marketing. Wiki hii kuna familia walinitafuta wanataka...
  6. S

    Nahitaji kuanzisha biashara ya dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba - Dar, natafuta soko na partnership wa kuuza hii bidhaa yangu

    Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni rejareja kwenye packet au kwa jumla pia wanapatikana kuanzia ndoo ya lita 10 mpk 20, hivyo kwa ambae yupo...
  7. Tajiri MoHammed Dewji: Mfanyabiashara Mtiifu na Mshindani katika Soko la Kimataifa"

    " Tajiri Mohammed Dewji anaonekana kuwa mfanyabiashara mwenye bidii sana. Kazi yake ya kusimamia kampuni zaidi ya 40 inampelekea kuwa na ratiba inayohitaji uwiano na bidii. Asubuhi, anajitahidi kufanya ibada kabla ya kwenda kazini. Hata hivyo, siyo rahisi kwake kupata muda wa kuwa kitandani...
  8. M

    Uchafu wa Soko la Tandika ni hatari, Halmashauri ya Temeke inakusanya Fedha na haina inachofanya

    Nimekuwa nikienda kwenye Soko Kuu la Tandika kwa muda sasa, hivi karibuni hali ya mazingira ya soko hilo imekuwa ikizidi kuwa tata na inayotia ukakasi kiafya. Sehemu ya kupikia ambayo inatumiwa na Wanawake wengi kupika chakula cha biashara kuna jalala lililopo pembeni, kwa ujumla hali ya uchafu...
  9. Soko la Bwawani Kinondoni lililogharimu Sh Bilioni 1 linaelekea kuwa makumbusho, lipo hoi hakuna Wafanyabiashara

    Licha ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam kubainisha wazi tija ambazo zinatokana na uwepo wa Soko la Bwawani, lakini katika hali ya kusikitisha soko hilo limeanza kuwa makumbusho hata kabla ya miaka 5. Kwenye soko hilo maeneo ya biashara ni matupu hakuna...
  10. Waziri Chana amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika soko la dunia

    WAZIRI CHANA AZINDUA NEMBO YA ASALI YA TANZANIA Na Happiness Shayo-TABORA Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezindua nembo ya asali ya Tanzania itakayotumika kuitambulisha bidhaa hiyo katika soko la dunia huku akitoa rai kwa Wafanyabiashara kuchangamkia fursa...
  11. CCM mmejiandaeje soko la mafuta likitikiswa na vita za Israel?

    Tunajua mko bize kuwaza mnashindaje kwa kishindo cha furushi la mwizi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Ingawa tangu muanze "kushinda kwa kishindo" sisi watanzania hatuoni kishindo chochote cha kimaendeleo kwenye maisha yetu. Israel kaanzisha vita huko Mashariki ya kati, na kwa mtazamo tu...
  12. Jinsi ya Kutengeneza Soko lako mtandaoni

    Watu wengi hawaelewi namna ya kuendesha Business Online Kipengele muhimu usifanye kujaribisha Zingatia sana Jifunze mbinu za dominate sphere ulio ichagua Bila kujifunza huwezi kufanya Kwa usahihi labda Messi na wengine kama yeye Jifunze jinsi itakayo kusaidia kupangilia mawazo ya kufanya online...
  13. Rais Samia Azindua Soko la Madini ya Vito na Dhahabu Tunduru

    RAIS SAMIA AZINDUA SOKO LA MADINI YA VITO NA DHAHABU TUNDURU -Ni soko la Madini la 43 nchi nzima -Apongeza ushiriki wa sekta binafsi -Waziri Mavunde aelezea ukuaji wa makusanyo ya maduhuli 📍Tunduru, Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua...
  14. B

    Mkaa na Mbao

    Habari ndugu zangu, Natafuta Masoko ya Mkaa na Mbao...Na bei zikoje. Nachana mbao za mti wa Mtondoo na Mkurungu kwa saizi zote kulingana na mahitaji ya mteja. Nina uwezo wa kusuply gunia 200 hadi 300 kwa mwezi za mkaa...Nina vibali vyote vya wakala wa misitu (TFS) Nasikia pia kuna soko la...
  15. Hili soko la kimataifa EALCC linalojengea Ubungo stendi ya mkoa ya zamani naona kama litakuwa kama mlimani city tuu

    Kariakoo itaendelea kuheshimiwa tuu hata wafanye nini hawawezi kuhamisha wafanyabiashara eti waje kununua bidhaa pale Hata Mlimani city kipindi inajengwa watu waliaminishwa kua sijui posta au Kariakoo watu watakua hawaendi tena lakini sasa mnajionea wenyewe Kariakoo inakimbiza. Mi naona...
  16. Kodi za mabango si rariki kwa soko la ajira na uchumi.

    Muhasibu wa Chanzo cha Mabango anasema wametakiwa kukusanya mapato ya shilingi bilioni 3 kwa mwaka mzima kupitia chanzo hicho. Aidha anaelezea gharama ya kubandika matangazo kwenye gari. Inafikia mpaka sh10,000 Kwa squer feet 1. Nakumbuka makampuni mengi sana yalikuwa na utaratibu wa kuweka...
  17. C

    Naingia katika biashara ya korosho za kurost naombeni order zenu wadau

    Jamhuri ya muungano wa Tanzania Amani iendeleee wananchi . Baada ya maneno hayo mazito napenda kuchukua fursa hii kuwatanabaisha ndugu zangu wajarsiriamali na wazalendo ,wapenda uhuru wapenda amani kokote mlipo duniani Huu uzi uwafikie watu wote Bila kupoteza muda nimekaa na kuwazua nikaona...
  18. Naomba ufafanuzi wa kozi aina yaa Filter Mechanics

    Masada wakubwa kuhus filter mechanics ni kozi inayohusu nini haswaa na ina upana gani kwenye ajira
  19. Natafuta soko la korosho zilizobanguliwa

    Hey wana jf Natafuta soko la korosho zilizobanguliwa Kama unajua sehem yeyote Noamba ushare hapo chini ili tuwez kusaidiana
  20. Yutong yafikiria kuanzisha kiwanda Tanzania baada ya soko lao kukua kwa kasi

    Mtengenezaji mkubwa wa magari ya kibiashara kutoka China, Yutong, kwa sasa anachambua soko la nchi Tanzania kwa uwezekano wa kuanzisha kiwanda cha kuunganisha magari nchini Tanzania. Hii ni baada ya kupata mwelekeo mzuri wa soko tangu kuingia kwake nchini. Afisa Mtendaji Mkuu wa Yutong Bus...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…