soko la hisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi afanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) Bw. Peter Nalitolela

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) Bw. Peter Nalitolela, mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 13 Februari 2026, Dodoma. Katika...
  2. Je, soko la HISA ni utapeli?

    Soko la hisa huendeshwa na mwenendo wa kampuni husika. Iweje hisa za CRDB zisiyumbe baada ya CRDB kukosekana hewani na kuleta shida kwa watumiaji wa huduma zake? Iweje Vodacom imepata faida ya 90bil ila hisa zake imebaki 580 ile ile? Tumezoea kuona masoko ya nje kama nasdaq, nyse, lse...
  3. Kampuni zilizowapa wawekezaji ongezeko kubwa la mtaji kwenye soko la hisa ndani ya miezi minane kutoka January 2025

    Moja ya faida kubwa ya kuwekeza kwenye soko la hisa ni ongezeko la mtaji (capital gain). Hii hutokea pale ambapo bei ya hisa unazozimiliki inapanda kuliko bei uliyozinunulia, na hivyo kuongezeka kwa thamani ya uwekezaji wako. Picha hapo juu inaonyesha mfano halisi wa makampuni 10 yaliyoongoza...
  4. Je, wewe kama muwekezaji kwenye soko la hisa unafahamu maana ya return on equity (roe)?:twende pamoja πŸ‘‡

    πŸ”‘ RETURN ON EQUITY (ROE) πŸ‘‰ ROE ni kipimo kinachoonesha uwezo wa kampuni kutumia mtaji wa wanahisa (shareholders’ equity) kutengeneza faida. Kwa lugha rahisi, ni kipimo kinachojibu swali: β€œKila shilingi moja iliyowekezwa na wanahisa, kampuni inaleta faida kiasi gani?” πŸ“Œ Jinsi ya kuipata ROE...
  5. Je, unalenga nini katika uwekezaji wako kwenye soko la hisa: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)?

    Je, unalenga nini katika uwekezaji wako: Ongezeko la mtaji (Capital Gain) au Gawio (Dividends)? Watu wengi huingia kwenye soko la hisa bila kuwa na malengo ya wazi. Lakini ukweli ni kwamba malengo yako ndiyo dira ya uwekezaji wako. Kabla hujaweka hela yako, jiulize: Nataka kupata faida kwa njia...
  6. Umenunua hisa za benki yoyote kwenye soko la hisa la Dar-es-Salaam?

    Sekta ya Bank inazidi kukua. Takwimu za nusu ya kwanza ya mwaka 2025 zinaonesha picha nzuri sana kwa sekta ya benki nchini. Benki za biashara zimepata jumla ya faida ya Sh1.2 trilioni, ongezeko la 9% ukilinganisha na Sh1.09 trilioni kipindi kama hicho mwaka 2024. Ukuaji huu umechochewa na...
  7. Maajabu ya soko la hisa la Dar es Salaam ndani ya miaka mitano mpaka sasa

    Kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita, soko la hisa Tanzania limekuwa moja ya maeneo yenye faida kubwa kwa mwekezaji wa kawaida. Mfano halisi ni hisa za CRDB, ambazo zimepanda kwa zaidi ya 614.29%. Hata baada ya kutoa mfumuko wa bei wa wastani wa 15%, bado unapata ongezeko la takribani 599% β€” bila...
  8. Dondoo muhimu juu ya soko la hisa DSE

    Imeandaliwa na Smart Finance SW πŸ“š Uwekezaji katika soko la hisa una faida kubwa na hatari kubwa lakini pia ni njia yenye uwezo mkubwa wa kukuza mtaji kwa muda mrefu. Kwa mtu asiye na uzoefu na maarifa ya kutosha ni vyema kuwasiliana na wataalamu wakusaidie na anza kujifunza taratibu taratibu...
  9. Somo la 5: Faida ya pili ya uwekezaji kwenye soko la hisa β€” gawio (dividends)

    πŸ” Katika somo letu lililopita, tulielewa vizuri dhana ya ongezeko la mtaji (capital gain) β€” faida unayopata pale bei ya hisa inapopanda. πŸ“ Leo, tunazungumzia faida ya pili: Gawio. 1️⃣ Gawio ni nini? Gawio ni sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa wake, kawaida mara moja au mbili...
  10. Somo la 5: Faida ya pili ya uwekezaji kwenye soko la hisa β€” Gawio (dividends)

    πŸ“˜ πŸ” Katika somo letu lililopita, tulielewa vizuri dhana ya ongezeko la mtaji (capital gain) β€” faida unayopata pale bei ya hisa inapopanda. πŸ“ Leo, tunazungumzia faida ya pili: Gawio. 1️⃣ Gawio ni nini? Gawio ni sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa wake, kawaida mara moja au...
  11. W

    Tukiachana na makampuni ya utalii, mashirika ya ndege binafsi, soko la hisa, n.k. nimestuka kuona hadi kwenye mabasi ya mikoani wachaga wamewekeza mno

    Nilihani ni kwenye kampuni za utalii, usafiri wa ndege, soko la hisa (DSE) ndiko walikowekeza zaidi, Nimeshangazwa upya kujua kumbe hadi kqmpuni zq mabasi ya mikoani wamewekeza mzigo wa kutosha, rough estimation wamiliki almost asilimia 40 ni wachaga, karibia nchi nzima hukosi kampuni yao...
  12. Somo la 4: Faida ya kwanza ya uwekezaji kwenye soko la hisa β€” ongezeko la mtaji (capital gain)

    πŸ”„ Kama utakumbuka, katika somo lililopita tulizungumzia maana ya soko la hisa, faida zake mbalimbali, changamoto na jinsi ya kuanza. πŸ“ Leo, tunachambua kwa undani moja ya faida kubwa ya uwekezaji huu β€” Ongezeko la Mtaji (Capital Gain). 1️⃣ Ongezeko la Mtaji ni Nini? Hii ni faida unayopata pale...
  13. Somo la 3: uwekezaji kwenye soko la hisa (DSE)

    πŸŒ€ Kumbuka: Katika somo letu lililopita, tulijifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujawekeza β€” kama kuwa na mfuko wa dharura, kulipa madeni ya riba kubwa, kuwa na malengo, na kujua uwezo wako wako wa kuhimili hatari za uwekezaji. πŸ“ Leo, tunazungumzia moja ya maeneo maarufu na rasmi ya...
  14. R

    Soko la hisa China lashuka vibaya tangu 2008, Trump achochea kwa kuongeza ushuru baada ya China kukaidi kufuta ushuru, China yalalamika Bullying

    πŸ“… Kabla ya Aprili 2, 2025 Ushuru wa Marekani kwa bidhaa za China ulikuwa 20 %, Ushuru wa China kwa bidhaa za Marekani ulifikia 67 % πŸ“… Aprili 2, 2025 Rais Donald Trump atangaza ushuru wa ziada 34% kwa bidhaa zinazotoka China, Jumla ya ushuru kuwa 54 %, akidai ni kulinda soko la Marekani πŸ“…...
  15. TRUMP: Sitizami soko la hisa

    Trump yeye hajali hata kuhusu soko la hisa https://x.com/spectatorindex/status/1897740651107864732?t=LM3GG61kwI11WIYkLzbAhw&s=19 Je, ni kweli au siasa siasa tu za kujaribu kuongea uongo ili kuficha performance ya sera zake ? Huyu ni Rais Trump 2020...
  16. Serikali Yatoa Maagizo kwa Soko la Hisa na TCB Kuwezesha Uwekezaji kwa Wananchi

    Serikali imeagiza Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na Benki ya TCB kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata elimu ya kutosha kuhusu umuhimu wa kuwekeza katika soko la mitaji kwani ni muhimu kuongeza ushiriki wa wananchi katika uwekezaji wa hisa, ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kusaidia...
  17. Waziri Silaa akiri kasoro usajii wa Vodacom katika Soko la Hisa Dar

    Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya hisa zake katika Soko la Hisa Dar es Salaam DSE imekuwa na matokeo mabaya. Slaa ambaye alikuwa...
  18. X

    Masoko ya hisa ya Marekani yapoteza karibu Dola 1.2 Trilioni kwa ujio wa DeepSeek, Makampuni makubwa ya AI yaanza kuhaha

    NASDAQ na S&P 500 ndio masoko ya hisa pendwa zaidi kwa makampuni ya teknolojia ya Marekani na nje ya Marekani Makampuni kama NVIDIA (Marekani) designer wa AI GPU, TSML (Taiwan) watengenezaji wa chips za 3nm na 5nm kwa ajili ya AI, ASML (Nerthelands) watengenezaji wa EUV lithography machine for...
  19. Hatifungani ya Azania bank yaorodheshwa rasmi soko la hisa

    Sasa ni rasmi hatifungani hiyo iliyofanikiwa kuvuka lengo la mauzo kwa kufikisha mauzo ya asilimia 210.9 kwa kukusanya sh. Bilioni 63.3, sasa itauzwa kupitia mawakala wa soko la hisa na mitaji.
  20. Kwanini uwekeze kwenye soko la Hisa na Mitaji?

    Kuna masoko takribani matano ya mitaji Soko la hati fungani Soko la hisa Soko la Kubadilisha fedha Soko la Cryptocurrency/ Fedha za crypto Soko la Bidha/Dar Mercantile market Hayajepewa kibali na hakuna mamalaka inayosimamia....Usishiriki, sitoliongelea kwani bado sijajua mfumo wa kuliendesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…