soko la hisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TIB RASILIMALI

    Ukwasi wa soko la hisa (Market liquidity): Kwa nini si kila hisa inaweza kuuzwa mara moja?

    1. Utangulizi Unapowekeza katika hisa, ni kawaida kufikiria kuhusu faida unayoweza kupata kutokana na ongezeko la bei au gawio. Hata hivyo, kuna jambo jingine muhimu ambalo wawekezaji wengi hawalipi uzito unaostahili. Jambo hilo ni ukwasi wa soko (Market Liquidity). Ukwasi wa soko ni uwezo wa...
  2. TIB RASILIMALI

    Kwa nini bei za hisa hupanda na kushuka? Fahamu mambo yanayoathiri mabadiliko ya bei katika soko la hisa

    1. UTANGULIZI Soko la hisa ni sehemu ambayo wawekezaji hununua na kuuza hisa za kampuni zilizoorodheshwa sokoni. Moja ya mambo muhimu ambayo kila mwekezaji anapaswa kuyaelewa ni mabadiliko ya bei za hisa. Baadhi ya wawekezaji hujiuliza kwa nini bei ya hisa fulani hupanda kwa kipindi fulani na...
  3. TIB RASILIMALI

    Fahamu fursa za uwekezaji katika soko la hisa

    1. UTANGULIZI Katika dunia ya sasa, watu wengi wanatafuta njia mbalimbali za kujenga ustawi wa kifedha na kuongeza thamani ya mali zao. Miongoni mwa njia zinazoweza kutumika ni kuwekeza katika soko la hisa. Hata hivyo, baadhi ya watu wanapoanza kuwekeza, huwa na matarajio ya kupata faida ndani...
  4. TIB RASILIMALI

    Kwa nini ni muhimu kusoma taarifa za fedha za kampuni kabla ya kuwekeza? Mwongozo kwa wawekezaji wa soko la hisa

    1. UTANGULIZI Uwekezaji katika soko la hisa ni mojawapo ya njia zinazoweza kumwezesha mtu kushiriki katika umiliki wa kampuni na kunufaika na maendeleo ya biashara hiyo. Hata hivyo, kabla ya kufanya uamuzi wa kununua hisa za kampuni fulani, ni muhimu mwekezaji kuwa na taarifa sahihi kuhusu...
  5. TIB RASILIMALI

    Elimu ya Soko La Mitaji: Fahamu maana ya Pending, Waiting Trade na Fulfilled katika biashara ya hisa

    1. UTANGULIZI Katika soko la hisa, kufanya uamuzi wa kununua au kuuza hisa ni hatua moja tu ya uwekezaji. Mwekezaji anahitaji pia kuelewa kinachoendelea baada ya kuweka oda yake ya ununuzi au uuzaji. Umewahi kuingia kwenye mfumo wa uwekezaji na kukuta oda yako imeandikwa Pending, Waiting Trade...
  6. TIB RASILIMALI

    Elimu ya HISA: Mwongozo wa kuanza kuwekeza katika soko la hisa la Dar es Salaam

    1. UTANGULIZI Elimu ya fedha ni nyenzo muhimu katika kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kuhusu akiba na uwekezaji. Miongoni mwa fursa zinazopatikana katika masoko ya mitaji ni uwekezaji katika hisa, ambao humwezesha mtu kumiliki sehemu ya kampuni na kushiriki katika matokeo ya biashara...
  7. T

    I am All In..! Liwalo na liwe, nimewekeza Tshs 70m leo na kununua hisa za NMB soko la hisa la Dar es salaam, let's see

    Habari wakuu, Kuna windfall nilipata sehemu fulani, nikapiga mshindo wa 75m. Nimeamua kujilipua na kununua hisa za NMB za 70m kwa bei mpya ya leo baada ya split ambayo NMB walifanya, nimenunua kwa Tshs 1,850. Wacha tuone, liwalo na liwe tu! Malengo yangu ni long game. Naangalia kuanzia miaka 5...
  8. alexamples

    Hizi ni njia za kupunguza risk kwenye soko la hisa

    Kuwekeza kwenye share na hati fungani it's risk lakini kuwekeza kwenye hisa ni risk zaidi na risk zipo katika aina hizi... Systematic risk hizi ni aina za risk ambazo ni unavoidable( haziepukiki) maranyingine huitwa market risk, huathiri soko zima, mfano wa hizo risk ni inflation, vita n.k...
  9. Jaji Mfawidhi

    DSE Soko la Hisa Lavamiwa na matapeliwa wa Kimataifa

    Soko la Hisa Dar es salaam limevamiwa rasmi na matapeli wa Kimataifa. Hawa matapeli wanaweka Page za Insta na Fb na wanataka ufuatw link wakufundisgw namna ya kununua Hisa. Hawa matapeli hakuna hata mmoja mwenye jina la Kitanzania, hakuna namba ya simu wala ofisi zilipo hata kama ni kwenye...
  10. The Watchman

    Matangazo ya uongo ya uwekezaji yanayodai kuwakilisha kampuni zilizoorodheshwa katika soko la hisa DSE

    TAARIFA KWA UMMA DSE imebaini matangazo bandia ya uwekezaji yanayodai kwa uongo kuwakilisha kampuni zilizoorodheshwa katika DSE. Matangazo haya HAYAJARUHUSIWA wala KUIDHINISHWA na DSE Usibofye. Usishiriki. Usitume pesa. Daima hakiki taarifa za uwekezaji kupitia tovuti rasmi ya DSE na kurasa...
  11. Room 28

    Nikiwekeza milion 20 kwenye soko la hisa leo ningekua na milion ngap faida kwa siku moja??

    Wakuu nimeangalia trend ya NMB, Leo kuna change ya 300+ kwene share !! Nikawaza ningekua nimewekeza milion 20 leo ningetengeneza hela hii 1=15380 Tsh X=20,000,000 Kwaiyo milion 20 ingekua ni sawa na hisa 20000000/15380=1,300.39 Ningekua na hisa 1300 Kwa ongezeko la leo 300+ =1300+300=1,600...
  12. TIB RASILIMALI

    NMB Yapendekeza Share Split ya 1:10. Fursa Mpya kwa Wawekezaji wa Soko la Hisa Tanzania?

    Katika hatua inayoweza kubadilisha kabisa mwonekano wa hisa za NMB kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Bodi ya Wakurugenzi wa NMB Bank Plc imependekeza mgawanyo wa hisa (Share Split) wa uwiano wa 1:10, ambapo hisa moja ya kawaida itagawanywa kuwa hisa 10 za kawaida. Pendekezo hilo...
  13. McLaren

    Hivi kwanini NBC Bank haipo kwenye soko la hisa (DSE)? Wakati NMB na CRDB ziko huko mda mrefu?

    Wakuu, Nimekaa hapa nimejiuliza benki kubwa zaidi Tanzania ni CRDB, NMB na NBC Sasa CRDB na NMB wenyewe wako kwenye soko la hisa kwa muda mrefu sana, NMB wako tangu mwaka 2008 Kwanini hii benki ya NBC haiko kwenye soko la hisa? Kuna siri gani huko kwenye hii benki mpaka haitaki watu...
  14. McLaren

    DOKEZO Soko La Hisa La Afrika Kusini lina kampuni 251 ila Bongo (DSE) soko lina kampuni 28 tu? Kwanini kampuni kubwa hazijiungi??

    Naomba kuuliza Wakuu Hivi kwanini Tanzania kuna kampuni 28 tu kwenye soko la hisa? Ukienda kuangalia kwenye nchi nyingine kama Afrika Kusini unakuta kuna kampuni kama 200 hivi ambazo watu wanaweza kununua na kuuza hisa Sasa naomba kueleweshwa kwanini? Hapa Bongo tuna watu kama kina Mo...
  15. M

    Uwekezaji soko la hisa kenya(NSE)

    Wakuu habari za majukumu Kwa Yoyote mwenye Ufahamu au uelewa zaidi juu ya namna ya kuwekeza katika soko la HISA Kenya anisaidie ushauri na mawazo.Pia kama kuna soko zuri zaidi la Kenya kwenye HISA naomba nisaidiwe Asante
  16. greater than

    Serikali ije na sera ya kuhimiza makampuni makubwa kujiunga na soko la hisa D.S.E

    Kwa uchumi wa nchi yetu ulipofikia sasa,Serikali haioni tija ya kuwa na sera itakayo vutia na kulazimisha makampuni makubwa kujiunga na soko la Hisa la DSE Faida ya Makampuni kuwa katika soko la hisa Upatikanaji wa Mtaji wa Gharama Nafuu Kuongeza Thamani na Hadhi ya Kampuni Kuongeza ufanisi na...
  17. greater than

    HISA : Karibuni tuchambue makampuni yaliyopo soko la hisa DSE

    Nipo katika wiki mbili za mapumziko,natumia mda huu katika kuchambua ripoti za makampuni yaliyopo DSE.. Karibuni tushirikiane kwa hili. Tunaweza fanya kwa kuunda group la WhatsApp au tukakutana... Ili tujue kampuni lipi 1. Zuri kuwekeza kwa mda mrefu 2.zuri kuwekeza mda mfupi 3. Hali nzima...
  18. Masokotz

    Fahamu Faida na Mbinu za Kupeleka Kampuni/ Biashara katika SOKO la HISA

    Habari za wakati; Habari za wakati huu.Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na Ujenzi wa Taifa na Uchumi binafsi. Leo nataka nilete mada hii kwa ufupi ili nichokozi mjadala uanohusu soko La Hisa.Kabla ya kuanza kwa mjadla niweke wazi kwamba mimi sio mtaalamu wa fedha,wala biashara,wala...
  19. Teslarati

    Siwezi kuwekeza kwenye Soko la hisa la Dar (DSE) sababu factors zinazoathiri bei ya hisa hazieleweki, ni tofauti na masoko mengine ya hisa duniani

    Niwe mkweli, uchumi wetu kwenye kona ya soko la hisa una tabia yake yenyewe tu ambayo ni unique dunia nzima. Hii ni sababu zile factors ambazo zinatambulika 'globally' kuathiri bei ya hisa za public companies duniani kote hapa Tanzania hazifanyi kazi. Mfano mdogo sana, hisa za kampuni kama...
  20. Godfrey- denis

    Ielewe biashara ya benki (Banking business model) — kwa wawekezaji wanawekeza sekta ya benki kwenye soko la hisa

    Sekta ya benki ni mojawapo ya sekta zinazofanya vizuri katika Dar es Salaam Stock Exchange ikiwa na taasisi kama CRDB Bank Plc, NMB Bank Plc, MKCB, MBP na DCB Commercial Bank Plc. Lakini pia ni sekta inayosimamiwa kwa ukaribu mkubwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kwa sababu inahusisha fedha za...
Back
Top Bottom