soka la tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Full Time : Tanzania 0-0 Nigeria | Kufuzu AFCON 2027 | Amani Complex - Zanzibar

    Mchezo wa marudiano kati ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, na Nigeria umemalizika kwa sare ya bila kufungana katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Mchezo huo ulikuwa wa raundi ya pili, baada ya timu hizo kukutana katika mchezo wa kwanza nchini Nigeria, ambapo Taifa Stars...
  2. C

    Rais Mwinyi na Makonda kushirikiana kuwaleta Real Madrid na Barcelona

    Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Paul Makonda, ameeleza kuangazia uwezekano wa kuzileta klabu kubwa za soka duniani Real Madrid na Barcelona nchini, katika mpango utakaowezesha timu hizo kucheza mechi za nyumbani na ugeni hapa nchini. Katika mpango huo unaopendekezwa, Real Madrid...
  3. C

    Bajeti ya ligi kuu Tanzania Bara kwa mwaka 2026/2027 yafikia Billion 32

    Mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) umepitisha bajeti ya Sh32 bilioni kwa ajili ya kuendesha mashindano ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2026/2027. Kwa mujibu wa Mtunza Hazina wa TPLB, Ibrahim Mwayela, kati ya fedha hizo, Sh29 bilioni zitatumika katika uendeshaji wa ligi, huku...
  4. C

    Wallace Karia: Nitahangaika hadi mashabiki 15000 waingie uwanja wa Uhuru

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, ameahidi kupambana na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ili kuongeza idadi ya mashabiki wanaoruhusiwa kuingia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kutoka 6,000 hadi kufikia 10,015 kabla ya Novemba 27, 2026. Akizungumza jijini Dar...
  5. C

    Fadlu Davis kuzungumza yote saa moja usiku, deni la Simba na leseni yake FIFA vyazua maswali

    Kufuatia klabu ya Young Africans kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kumtangaza kocha wake, Fadlu Davids, kuzungumza na kueleza mambo mbalimbali majira ya saa moja , wadau na mashabiki wa soka wameanza kujiuliza nini hasa atakachokizungumzia. Hii inakuja wakati kukiwa na mijadala kuhusu...
  6. C

    Singida Black Stars yatoa ufafanuzi kuachana na wachezaji wake 04

    Uongozi wa klabu ya Singida Black Stars umetangaza kufikia makubaliano ya kuvunja mikataba na wachezaji wake wanne, ikiwa ni sehemu ya tathmini ya kikosi inayolenga kukiboresha na kukifanya kiendane na mahitaji ya kiufundi na mipango ya klabu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya...
  7. S

    Uzi wa kutoa maoni ya vikwazo vya ukuaji wa soka la Tanzania

    Wakuu karibuni mchangie maoni yenu kuhusu vikwazo vya ukuaji wa soka la hapa kwetu Tanzania
  8. Waufukweni

    Hakuna Simba wala Yanga, wote wameishia makundi CAF, ni mwanzo wa anguko kwa Soka la Tanzania kimataifa?

    Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa ya mafanikio ya kujivunia mfululizo, kukua kwa soka la Tanzania kimataifa hatimaye klabu zote nne zimeondoshwa hatua ya makundi na kushindwea kuendelea Hatua ya Robo Fainali katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC na...
  9. zaza1

    Wallace Karia na Changamoto ya Kusimamia Msingi wa Soka la Tanzania

    Tangu Wallace Karia achaguliwe kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mashabiki na wadau wa soka wamekuwa na matarajio makubwa ya kuona mabadiliko ya kweli, hasa katika kuimarisha miundombinu ya soka nchini. Hata hivyo, kwa uhalisia wa mambo, bado kuna maswali mazito kuhusu msimamo na...
  10. Tajiri Tanzanite

    Kinachofanyika kwenye soka la Tanzania ni sawa na kusema,Yanga anawezeshwa kumshinda Simba kama wanamke anavyowezeshwa kwenye mambo mbalimbali

    Hapo vip!! Mpira ni mchezo wa wazi na uzuri watu wengi sasa hivi wanajua mpira hauwezi kuwadananya. Jana kila mtu ameona yanga akipewa goli la offside tena bila aibu na Arajiga. Nafikiri pia ilikuwa nimpango mkakati wa kusihukuru yanga kwa kuchangia chama na kwa upande mwingine ilikuwa ni...
  11. Eli Cohen

    Hapa utakuta ni kisa demu tu mshakaji anafanya maamuzi haya ya kufurahisha wengine

  12. GENTAMYCINE

    Soka la Tanzania ni la Kubalansi Simba na Yanga kwenye kila Kitu hivyo wenye Akili tulijua bado Nyamlani angekuwa Makamu Rais TFF

    TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua tena Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa shirikisho hilo. - Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Rais anateua wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji ambao wanathibitishwa na Mkutano Mkuu wa TFF na miongoni mwa...
  13. ngara23

    Usajili mpya Yanga baada ya kuwaona wachezaji uwanjani

    Rais wa Yanga Eng Hersi Said ni genius katika uongozi wa football Ni kiongozi Bora Taifa limepata Ameitengeneza Yanga imara sana Leo tazama wachezaji maingizo mapya 1. Mohamed Doumbia Huyu jamaa ni kama Pacome au zaidi ana akili ya mpira ameziba vyema pengo la Aziz ki 2. Andy Boyeli Striker...
  14. M

    Wallace Karia anaidharau sana serikali ya awamu ya sita, Kiburi chake kitaua soka la Tanzania.

    Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona. Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
  15. Damaso

    Soka la Tanzania ni ngumu ama?

    MWAMBA SKUDU MAKUDUBELA AKIWA NA AS VITA MECHI 6 MABAO 10 ASSIST 4
  16. Titicomb

    Kiburi Cha Karia pale TFF hana tofauti na Malinzi kinarudisha soka la Tanzania nyuma.

    Ukiwa shabiki wa soka bila kujali timu unaweza kuliona tatizo kubwa pale TFF ambalo linaweza kuwaingiza kwenye mtego viongozi wakubwa serikalini. Karia ndiyo chanzo cha tatizo. Karia ndiyo chanzo cha tatizo sababu amelewa sifa na kiburi. Hataki kusikiliza au kukosolewa akikosea pale anapokosea...
  17. Bila bila

    Ili kuokoa soka la Tanzania Kasongo na Boimanda mjiuzulu

    Hiki mlichofanya Leo ni aibu. Mkisoma barua yenu mnapata chochote cha maana Kwa nini mmeahirisha Mechi? Mnasema Simba hawajulisha Mamlaka yoyote kwamba wanakwenda uwanjani muda Fulani kufanya mazoezi. Nyie hao hao kwenye barua hiyo hiyo mnasema Simba walizuiwa na mabaunsa wanajulikana ni wa...
  18. OMOYOGWANE

    Anguko la Yanga limechangiwa na Eng Hersi mwenyewe na GSM kuwa na tamaa ya madaraka ya kisiasa mwaka 2025

    Wakuu habari, Ukitafakari kwa umakini kabisa utaona kati yabHersi au GSM kuna mmoja wapo atagombea ubunge mwaka 2025, Sifa ya kwanza ya kuwa mbunge hapa bongo ni kuwa karibubu na viongozi wa CCM, kuwa maarufu, kuwa na mtaji wa watu. Hivi karibuni timu yetu imekuwa ikicheza na akili za...
  19. Waufukweni

    Rais wa TFF, Wallace Karia akosoa kelele na propaganda zinazochafua Soka la Tanzania, "leta ushahidi TFF, nje na hapo sivutiwi"

    Wakuu Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa! == Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
  20. Mkalukungone Mwamba

    Yanga, Simba na Azam zapata shavu Russia

    Klabu za Simba, Yanga na Azam zimepata fursa ya kucheza mechi za kirafiki na klabu za Ligi Kuu ya Russia, pamoja na kuweka kambi katika kipindi cha mapumziko ya ligi. Fursa hiyo imepatikana kutokana na ziara ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro nchini humo na alikutana na...
Back
Top Bottom