Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuwa hafla ya utoaji wa Tuzo za Msimu wa 2025/26 itafanyika Desemba 12, 2026, jijini Arusha, ambapo jumla ya tuzo 38 zitatolewa huku washindani 61 wakitajwa kuwania tuzo hizo.
Kwa mujibu wa taarifa ya TFF, tuzo hizo zinahusisha makundi...