soda

Simona Šoda (born October 24, 1974) is a former Croatian female professional basketball player. She began her coaching career in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Frank Wanjiru

    Chalamila: Huwezi kutoka huko ukaenda kunywa soda Rotana au Serena, tutawathibiti

    "Hoteli zetu hazitoshi, Rotana, Hyatt, Serena na bahati mbaya sana kwenye hizi hoteli siku hizi hata matapeli wanaingia. - Tunataka tudhibiti mtu asiye na kazi asizurule kwenye hizo hoteli. Yaani huwezi kutoka huko ukanywe soda Rotana it's unfair. Mwisho wa siku unashangaa parking hakuna"...
  2. Frank Wanjiru

    Warren Buffet: Sijawahi kunywa maji zaidi ya miaka 48, nakunywa soda tu

    Bilionea Warren Buffett amewahi kushangaza watu kwa tabia yake ya kunywa Coca-Cola badala ya maji, huku akidai kuwa hajanywa maji kwa takribani miaka 48. Kisa hicho kilisimuliwa na bilionea mwenzake Bill Ackman kwenye podcast ya Equity Mates Investing, akikumbuka siku alipomualika Buffett...
  3. youngkato

    Wakati wengine wanaona soda na maandazi kama vitu vidogo vya matumizi ya kila siku, mjasiriamali mwenye mipango anaweza kuona fursa ya kujenga

    " Fikiria eneo lenye ofisi, shule, gereji, stendi au shughuli nyingi za biashara. Watu wanapohitaji kifungua kinywa, kinywaji baridi au kitafunwa cha haraka, wanatafuta sehemu iliyo karibu, safi, yenye huduma nzuri na bei inayolingana na uwezo wao. Hapo ndipo biashara ya vinywaji baridi na...
  4. D

    40 ya Sandra - Mtoto wa Diamond (Kuna Wanaume Soda zao hazina Gesi)

    Nipo Kiwanja kimoja hapa mtaani naona wamesema Wasafi TV wanashuhudia tukio la 40 ya Sandrah mtoto wa Diamond Kuna jambo nimekuona siyo la kawaida, jukwaani yupo Mzee Yusuph na Zuchu wanaimba Taarab kwa kupokezana lakini wachezaji wa hiyo Taarabu ni midumw yenye ndevu zao, napata mashaka Sana...
  5. Mmawia

    Mbunge agawa bagia na soda kwa wakaazi wa Mbeya Mjini

    Naona lengo la ccm kuwapumbaza watanzania linaenda kutimia. Angalieni jinsi baadhi ya wana Mbeya wanavyo kimbilia kupata mgao wa bagia na soda kutoka kwa Mbunge wao kupitia ccm.
  6. Kevzy

    Ile gas kwenye soda wanaiwekaje? Aisee daah nna alosto na kile kagas wallah daah

    Siwezi kulala kama sijanywa kinywaji chenye gas na uzuri kinipalie daah Yaani watu wajuzi sana aisee yaani maji yanachakatwa yanatiwa gas na ukinywa unapata radha nzuri pamoja na kubeua yaani nna alosto na Ile taste ya gas Hivi ni gas hii hii kama inayochimbwa mtwara au kama sio Ile huwa...
  7. bless on

    Siri ya soda ya coca cola na funzo kwa maisha

    Hivi unajua kuwa viwanda vyote vya Coca-Cola duniani (ikiwemo hapa kwetu Tanzania) havijui fomula halisi ya kinywaji hicho? Hapa ndipo akili kubwa inapopiga pesa duniani kote kupitia mbinu hizi: Viungo vyote vya siri vinachanganywa na kupikwa Marekani pekee ili kutengeneza kioevu kizito...
  8. M

    Mbegu za habbat soda au black seeds dawa ya haraka ya acid reflux

    Habari za weekend ndugu zangu Anayesumbuliwa na acid reflux atafute hizo mbegu kiswahil zinaitwa habat soda English zinaitwa black seeds....nimbegu ndogo ndogo nyeusi tii kama mkaa ukiziona haraka haraka utahis ni punje za mkaa....hiz mbegu nzur sana kwa acid reflux mimi binafsi zilinisaidia...
  9. R

    John Heche: Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown

    Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown. Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m. Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa...
  10. S

    SI KWELI Soda ya sprite (Baridi) ni tiba baada ya kung'oa jino

    Wakuu nimekutana na hii, "Soda ya Sprite (ya baridi) tunayoambiwa kusukutua nayo mdomoni baada ya kung'oa jino huwa ni tiba ya kweli ya maumivu au ni imani?"
  11. Kipenzi Changu

    Waya hauwezi kutoka NIDA kwenda bank accounts za CCM na sisi tupate ya soda?

    Ni dhahiri sasa huu uchaguzi sio tena kwa ajili ya kuchagua wawakilishi wa wananchi. Ni dhahiri sasa hawa CCM hawapo tena kuhakikisha ustawi wa Tanzania. Wewe umeona wapi mtu anatumia gharama kubwa na mbinu za aibu eti kwa ajili ya kutaka kukuwakilisha? Huu ni uchaguzi kwa ajili awamu nyingine...
  12. N'yadikwa

    Hunywi pombe ila unakunywa soda? Usimcheke mnywa pombe

    Uzi tayari. Mods edit header hiyo
  13. Street Hustler

    Mgeni hataki soda anataka mia saba yake

    Ab
  14. OMOYOGWANE

    "Ninunulie basi soda" ukiona mtu anakuambia hii kauli muogope

    Wakuu habari! Kutoa ni moyo, tenda wema nenda zako, ukimpa mtu kitu usitegemee malipo. Kila mtu anajua hizi kauli za kijamii Lakini ktk maisha watu ni wabinafsi sana na hawana huruma, wao chao ni chao chako ni cha wote Mtu asikukute unakula atabeba chakula chote kama vile kanunua yeye na...
  15. Jack Daniel

    Unafiki wa mitandao,na nguvu yao ya soda

    Ukiitazama mitaa Kwa haraka haraka imetulia Sana yaani watu wapo makazini kama kawaida,wengine wamelewa asubuhi tu, wengine wanasafiri, wengine wanaingia misikitini n.k Yaani ni kama hakuna kinachoendelea lakini ukweli ni kwamba ukiingia mtandaoni unaweza sema Tanzania itahamia kisutu. Kila...
  16. man B'

    Caustic soda inahitajika

    Ndugu wana wanajukwaa habari yenu. mimi mjasliliamali nahitaji CAUSTIC SODA kwa bei ya jumla, ya utengenezaji wa sabuni. Wauzaji wa jumla anichek 0758327174 chap ziite.
  17. GENTAMYCINE

    Hivi huyu Mshindi mpya wa Bongo Star Search Moses Luka siyo kwamba Soda yake haina Gesi kwa jinsi anavyoongea na kujilegeza?

    Kila nikiziangalia Interviews zake baada ya Kutangazwa Mshindi ninaona ni kama vile labda Soda yake haina Gesi kabisa.
  18. G

    Wanywa soda Bar wengi wambea

    Wakuu Kuna ukweli wote hapa?
  19. S

    Imefikia mahali kunywa juice za dukani ni hatarishi kwa afya yako kuliko kunywa soda!

    Watu wangi hatutambui kwamba tatizo kubwa la kunywa soda kama Pepsi, Coca Cola nk, ni kwamba zina sukari nyingi sana ambayo si jambo zuri kwa afya yako. Sasa utakuta watu wengi sana wamekuwa na mawazo kwamba ni vema kunywa juice za dukani (processed juice) kuliko kunywa soda, na hata wengine...
  20. Fidakasa

    Natafuta crate za Soda Pepsi na Coke

    Natafuta crate tupu za Soda kampuni ya Pepsi na Koka
Back
Top Bottom