sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini Jehovah ni BWANA WA MAJESHI na Allah sio Bwana wa Majeshi?

    Jina "Bwana wa Majeshi" linatoka katika maneno ya Kiebrania ya Biblia "Yahweh Sabaoth" (au Jehovah Sabaoth). Mungu anaitwa hivi kutokana na sababu kadhaa kuu za kiteolojia na kihistoria: Mkuu wa Majeshi ya Mbinguni: Neno "majeshi" hapa linarejelea malaika na viumbe wote wa mbinguni. Mungu...
  2. Yanayotokea maishani mwetu sio nyota wala roho bali ni matokeo ya michakato ya maamuzi yetu, maamuzi ya watu wengine na reaction ya nature.

    Hakuna anaendesha maisha yako Kimazinga ombwe Hakuna anaeamua ni kiasi gani upate na kiasi gani ukose Hakuna faraja ya kimazingara au muujiza kwa anaenyanyaswa Hakuna adhabu ya kimazingaraa au muujiza kwa anaekunyanyasa Sheria zinatungwa na alie na nguvu Uimara wa akili yako ndio...
  3. Wana CCM kama sio waoga wamuachie Balozi Nchimbi azungumze badala ya kumshambulia akiwa amefichwa

    Wana CCM kuibuka kumshambulia Nchimbi huku yeye mwenyewe akiwa hawezi kujitetea ni ishara ya uovu, uoga na ujinga mkubwa sana. Kubwatuka, kutokwa povu na kujitamba dhidi ya mtu ambaye amefungwa kusema na kujitetea mwenyewe ni uoga wa kiwango cha juu sana, ni kutojiamini. Nchimbi aachiwe afanye...
  4. Sio rahisi kuachiwa kuachiwa kirahisi

    Watawala wana hofu sana na huyu mtu,wanafahamu sana misimamo yake,hanunuliki na Wala hashawishiki kwa chochote. Kwenye mazingira ya kawaida ni kwamba angekaa pembeni baada ya kushambuliwa kwa risasi zile. Kwa sasa watawala watakachokifanya ni kuendelea kumuweka kizuizini na pia kuitumia...
  5. Ukubwa sio mwili tu kama inner child hajakuwa...(utarudia cycles)

    One thing about maisha ni kuwa haya rudi nyuma... So kama present yako leo usipo iishi utakavyokuwa utakuja kui mourn au kuijuita mbele ya safari.. Binafsi katika utoto wangu sikuruhusiwa kuwa mimi, meaning I was robbed of my childhood.. Nili ishi na ku treatiwa kikubwa.. Nilisikia maneno...
  6. Umaskini ni Kukosa Akili. Badilisha Mtazamo!

    Hivi unajua ya kuwa umaskini ni kukosa akili? Kama ni kweli hakuna mtu anayependa umaskini kwa nini hatuko sawa? Ulishawahi kujiuliza ni kwa nini, we share the same existence but live in different realities? Kumbe mafanikio Sio jitihada wakuu, mafanikio ni ku shift paradigm.. Yaani...
  7. Henry Kilewo: CHADEMA ya sasa sio ile iliyopita, hii achaneni nayo

    Kada wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Henry Kilewo, amewataka wanaojiita watawala kuachana na madalali wa kisiasa wanaowadanganya kuwa wanaweza kukigawa chama hicho. Kupitia chapisho aliloliweka katika...
  8. K

    Wewe mwanamke au binti, ukiona unatongozwa sana ujue wewe ni mrahisi na wanaume wanataarifa zako , sio kwamba ni mzuri sana

    Wadau habari zenu, Kuna baadhi ya wanawake ambao hudhani kuwa wao ni wazuri sana sababu TU wanatongozwa sana? Inawezekana:- Wewe ni mrahisi sana. yaani maharage ya Mbeya Jinsi unavyojiweka , yaani mavazi yako, vitendo vyako. Mfano umeolewa LAKINI unavaa kama changu doa/malaya Wanaume wengi...
  9. Nawapongeza wananchi wa Albania kwa kukimbilia ukristo kwa kasi ya ajabu. Nchi sio muslim majority tena.

    MMECHAGUA AMANI. MMECHAGUA UWAZI
  10. Sio kila mwenye mamlaka hustahili au anastahili mamlaka hayo

    Hapo VIP! Hili ni jambo ambalo nimefanyia utafiti muda mrefu kiroho Na kimwili Na nimejiridhisha pasipo shaka. Ni kweli sio kila mwenye mamlaka au chenye mamlaka hustahili mamlaka Yale.Hutokea kitu au mtu wa ovyo Na mwenye akili au ufahamu wa chini Na wa ovyo akawa Na mamlaka Fulani.Na...
  11. Mbinu 7 makini za kulea mtoto mazingira ya mjini

    MBINU 7 MAKINI ZA KULEA MTOTO MAZINGIRA YA MJINI Malezi ya mtoto katika mazingira ya mjini yamekuwa changamoto kubwa kwa wazazi wengi. Mtoto wa Mjini anakua katika dunia yenye mchanganyiko wa tamaduni, mitazamo, teknolojia, mitandao ya kijamii na makundi mbalimbali ya watu.Hii Tofauti na zamani...
  12. Kujiuzulu kwa Dk Nchimbi sio justification kuwa katiba ya sasa inafaa. Haifai na tunatakiwa tupambane tupate katiba mpya

    Nimesikia mahala Mwenyekiti wa CCM akijinasibu kuwa Katiba hii ya CCM yq mwaka 1977 inafaa kisa tu wameweza kumfukuza Nchimbi uanachama na kuweka makamu mwingine. Huu ni uongo na uzandiki. Hii Katiba haifai hata kidogo . Ni katiba ambayo haikutungwa na wananchi bali ilitungwa na wanaCCM...
  13. Disclaimer ; min-me kalewa kupita kiasi huyo sio yeye😀

    Ofcourse huyo budha akisha kula kilambo huwa anakoroga mafile sana so chochote anachokiandika siku za weekend mostly furahiDEi msikichukilie seriously chukueni machache mengine achane hapo. Pombe huwa haisemi uongo. Pombe za kunywea ndani sio nzuri hapa let say angekuwa na wana...
  14. Kete za Mapenzi: Hakikisha Mkeo au mwanamke wako anawekeza kiuchumi kwenye mahusiano yenu. Hii ni mbinu ya uhakika.

    KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo. Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
  15. Deo Ndejembi kuanza katiba mpya

    Naambiwa huyu jamaa ni mmoja wa waumini waku wa wa katiba mpya. Bila shaka mwezi wa kwanza kazi I ataanza na hili
  16. Mwanasiasa anachekesha Kama sio ndugu yako

    Hawa wanasiasa wanacheke Kama sio ndugu zako dadeki Cheki hizi sauti mbuzi 🤣🤣
  17. Swala la Nchimbi limeongeza moto kwenye mageuzi. Sasa sio CHADEMA tu wanaogombana na Samia

    Kung'atuka kwa Nchimbi ni taswira ya mashindano na mapambano ya mageuzi ndani ya CCM, ambapo ni dhahiri wananchi na CHADEMA wanaungwa mkono na kundi la vigogo ndani ya CCM wenye kiu ya mabadiliko ya kweli. Sisi wananchi madai yetu ni pamoja na:- Katiba itokanayo na maoni na utashi wa...
  18. Barua ya VP ni Taarifa ya Uamuzi wa Kujiuzulu Sio Ombi!. Taarifa ya Ikulu ni Ombi Limekubaliwa!. Ilipaswa Iwe Rais Amepokea Taarifa Ameridhia!

    Wanabodi Tangu jana nilipoiona ile Taarifa kwa umma ya VP kujiuzulu, nilipata shock sikuiamini nikiamini ni fake news, mpaka leo nilipoiona Taarifa ya Ikulu, ndio nimeamini!. Nilipata shock kwasababu niliamini he is the best that we have for 2030. Hata hivyo, licha ya kujiuzulu, kwasababu...
  19. M

    Kwenye mapendekezo ya makamu wa Rais nawaona waislamu, hilo halitawezekana kwasababu Rais sio Muislam wa Bara

    1. Julius Nyerere Abeid Karume Rashidi Kawawa Aboud Jumbe Ali Hassan Mwinyi 2. Ali Hassan Mwinyi Joseph Warioba John Malecela Cleopa Msuya 3. Benjamin Mkapa Omar Ali Juma Ali Mohamed Shein 4. Jakaya Kikwete Ali Mohamed Shein Mohamed Gharib Bilal 5. John Magufuli Samia Suluhu Hassan...
  20. Mafanikio Sio Pesa, Ni Nishati Unayotoa

    Katika kitu najifunza siku za hivi karibuni ni kuwa mafanikio hayaji by chance. Kuna namna Mungu amemcraft kila kiumbe kutokana na uwezo wake, but we humans have a free will. Na huu ndo mtego, the will to think we can manipulate reality, vijana wengi wanahisi mafanikio ni kuwa na hela bank...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…