sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Maoni binafsi; Katika hukumu ya Lisu sio kosa la Katuga ila Ndunguru na wenzake nafsi zitawasuta milele

    Sijasoma sheria na wala sijui sheria lakini hii hainizuii kutoa maoni binafsi baada ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya Tundu Lisu, muhaini wa 2025/2026 Bw.Katuga kama wakili msomi wa serikali alikuwa kazini kutimiza majukumu yake kama wakili na mwanasheria yoyote yule ambaye angepewa kazi hiyo...
  2. nodetz

    Kama boss wa NVIDIA (Jensen Huang) kanaswa kwenye honey trap basi wanaume wapenda totos sio wa kuwapa nyazifa kubwa.

    Kuna muda huwa najiuliza kwani hawa wanawake ni kipi cha ziada huwa wanakitoa, mpaka kufikia hatua ya kumchanganya mwanaume mtu mzima mwenye akili timamu na kujikuta anafanya maamuzi ya hovyo? Tukio la Jensen limenifikirisha sana. Kama kweli uyo manzi alikua ni jasusi wa China. Basi...
  3. K

    Unamwoa mwanamke ambaye umemkuta kwenye mahusiano, yaani ametumika sio bikra, akikuchiti unaanzaje kuwa na hasira kali mpaka kua

    Habari wanazengo, natafakari hapa kama Kuna haja ya kuwa na wivu pale unapo gundua mkeo anatoka nje ya ndoa wakati ukijua kuwa 1.Ulimkuta tayari anafanya hilo jambo ana mabwana mtaani 2.Sehemu zake zote za sili ziko wazi 3.Alisha zaa. Niwazi alifanya ndo maana akapata mimba 4.Ulimkuta na bwana...
  4. D

    Sio Siri, Kimtindomtindo na Kimyakimya Wanakubali Kuwa Huyu Mtu Sio Boya Kama Walivyodhani

    Walifikiri itakuwa rahisi mno kumuangusha, yaani kama kumsukuma mlevi tu. Ndo maana kirahisirahisi tu wakaja hivi.......... 1. No vile no hivi. Ikawa vilevile, dadadeki. 2. Waliwafadhili vigen z vya Kenya kumtusi kwa Kila namna, kwa sababu ambazo hata hazieleweki. Wamemaliza matusi, wamemwacha...
  5. OMOYOGWANE

    Uchumi wa PPPs anao ujenga Kafulila sio wa kuutegemea, ni sawa na paracetamol kutibu malaria, wawekezaji ni wapangaji leo wapo kesho wanaondoka.

    Private public parteship (PPPs) ni uchumi dhaifu na sio wa kuutegemea ktk kujenga taifa letu kwa karne hii. Muwekezaji ni sawa na mpangaji, leo yupo kesho anaondoka muda wowote, kujaribu kuutegemea uchumi wa namna hii ni kuua future ya mtanzania. Ni sawa na mgonjwa wa Malaria aliyemeza...
  6. haszu

    Wanaume tumieni lip balm, kukauka na kukatika midomo sio ujanja.

    Kuna wanaume bora akauke midomo kuliko kutumia lip balm, ushamba sana huu. Wanaume wengi hawajiamini hivyo wanakua waoga kukutmia bidhaa za kawaida kabisha kwa ajili ya afya yao au confortablilty ya watu wao wa karibu kama wapenzi. Lip balm haina rangi na iko vizuri kwa yoyote. kwanini umkiss...
  7. O

    SI KWELI Sifuna asema atajaribu kuwania Urais 2032 na sio 2027

    Ni ukweli kuwa Sifuna atawania urais 2032 na sio 2027
  8. Zack Abdul

    Utofauti wa hoja na mitazamo sio usaliti

    👉LEMA ametoa hoja na mitazamo yenye uzito mkubwa ndani ya Chama. Hoja zake zinapaswa kutazamwa kwa jicho la tatu, busara na utayari wa kujifunza, badala ya kuhukumiwa kwa misingi ya hisia za kisiasa. 👉Inasikitisha kuona kwamba baadhi ya wanachama wamejenga kasumba ya kumchukulia kila...
  9. Financial Analyst

    Sex ni kitu ambacho kiko overrated sana. Hata sex yenyewe inajaribu kukuonesha kuwa sio ya thamani pale unapo piga goli immediately unaanza kujilaumu

    Miaka 30 jela. Uraibu wa pornographia pedophilia Cheating. Kufirisika. Kuharibu mahusiano. Kufumaniwa. Kuzazaa ovyo na kuongeza watoto wa mitaani Aaaaargh!
  10. Pakome

    Sipo hapa kumsifia raisi Dkt Samia Suluhu Hassan lakini nataka tuelewe kuwa ni mzito sana sio mwepesi kama tunavyodhani, ni maji ya kina kirefu

    Sipo hapa kumsifia raisi Dkt Samia Suluhu Hassan lakini nataka tuelewe kuwa ni mzito sana sio mwepesi kama tunavyodhani, ni maji ya kina kirefu hayapimwi kwa mguu wala fimbo Kwa ufupi sana namfahamu raisi Samia kwa undani sana kuliko tunavyodhani Inawezekana tukadhani ni raisi mwanamke ambaye...
  11. Pdidy

    Kwa mchezo wa leo timu za tanzania mjipange sana na usm alger sio watuwazuri....ukijaa kwenye mfumo kha

    AISEE NIMEANGALIA HII TIMU SIJAJUA ATAKUTANA NA SIMBA AMA YANGA SIJAANGALIA ILA WATAKAOKUTANA NAO JAMAN WAJIPANGE HAWAJAMAA HAWANA HURUMA KABISA WAKO LAMA COMO YA 🇮🇹 KILA LA KHERI USM ALGER
  12. Carlos The Jackal

    Wakili Frank Lubasha: Serikali inayojitambua ni lazima Itumie Brain ya Lissu kwa Manufaa ya NCHI. Lissu sio wa kutukanwa, sio wa kufungwa!

    Niliwahi Mimi binafsi kuandika humu Jamiiforums, Ni ajabu sana Kuona watu waliofeli na wajinga wàjinga wasiokua na akili na wenye ELIMU za kuunga unga ovyoo, akina Samia, Mafwele, na magenge yao KUMSUMBUA LISSU. Lissu ni Mtu mwenye Akili isokua kawaida, huyu alishushiwa hili kipawa cha Akili...
  13. Yoda

    Kwa nini Watanzania tunapenda kuitana ndugu bila hata kuwa ndugu?

    Nimemsoma Ayubu Rioba Chacha anamuita Tundu Lissu ndugu yake na anamtakia maisha mema ya gerezani. Ninavyofahamu Lissu ni Mnyiramba au Mnyaturu wa Singida na Rioba ni wa makabila mojawapo ya huko Mara, sasa undugu wao unatokea wapi ?! Watanzania tunapaswa kufuta fikra na mawazo ya kwamba kwa...
  14. L

    Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

    Ninaposema Usalama wa Taifa, Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda...
  15. Kipenzi Changu

    Hizi sio siasa,bali ni ufitini na upumbavu wa kinyaa

    Unaacha kueneza sera na itikadi ya chama chako, unaeneza chuki na kuthibitisha huko hamtumii akili kabisa. Hata ile heshima ndogo mnayopewa kwa sababu ya nafasi zetu mnaipuuza. Mmfunge kwa hila baba wa watu halafu bado mumfitinishe.
  16. Kaka yake shetani

    Hivi mnajua mshauzwa ila walio wanunua kuna siku sio salama zaidi ya rwanda na burundi.

    Kwa sasa huyu mlipewa mkosi ndio kashafanya yake. Ila sitapenda kuweka wazi kuepusha magaidi wakitumia kikosi cha ulinzi cha serikali. Hapa mlipo subirini kutofautiana na zambia wao wana wachina na nyie mna ....
  17. Kamanda Asiyechoka

    Watanzania wameonyesha ukomavu mkubwa kiakili na kisiasa. Gumzo kubwa ni hukumu ya kionevu aliyopewa Lissu wala sio harusi ya mtoto wa Ruto.

    CCM walivyo hawana akili za kisiasa walidhania watanzania watashobokea harusi ya mtoto wa rais wa Kenya huko Mwanza. Lakini kuanzia jana hadi leo hii watu wapo busy kujadili namna Lissu alivyohukumiwa kwa uonevu Huku hasira kali zikielekezwa kwa rais Samia na genge lake ambalo wananchi...
  18. Stunnaman008

    SERIKALI AU MAHAKAMA: Nani Anahusika na Kesi ya Tundu Lissu? Tujadili kwa Sheria, Sio Mihemko

    Ndugu zangu, Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imemalizika jana Ijumaa Novemba 6, 2026, baada ya takribani miezi 19 tangu akamatwe Aprili 9, 2025. Ili tujadili vizuri, tuweke kwanza UKWELI WA KISHERIA uliotokea, halafu tuulize: Lawama ni ya Serikali au ya Mahakama? 1. UKWELI...
  19. MamaSamia2025

    Naona sio sawa kwa hawa waandishi kumhoji Werrason kwa kilingala na kifaransa bila mkalimani wakati wasikilisaji na watasamaji hawajui kabisa hizo lu

    Hizi ni sifa za kijinga sana. Hawa waandishi wameweka weledi kando na kutaka sifa binafsi. Wangekuwa na mkalimani ingependeza. https://www.instagram.com/reel/DfVWDeQtLjc/?cplk=dTY1Zzk5Nm40dno2 https://www.instagram.com/reel/DfVj_IMM9LH/?psln=dHF4cDE3ajMzODFs
  20. kagoshima

    Nadhani watamfunga. Sio kwa kujaza mapolis wenye siraha hadi huku mikoani

    Habari ndo hiyo. Kwanini wamejaza maaskari hadi huku mikoaani wanazagaa mitaani? Something smells offal
Back
Top Bottom