sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa mchezo wa leo timu za tanzania mjipange sana na usm alger sio watuwazuri....ukijaa kwenye mfumo kha

    AISEE NIMEANGALIA HII TIMU SIJAJUA ATAKUTANA NA SIMBA AMA YANGA SIJAANGALIA ILA WATAKAOKUTANA NAO JAMAN WAJIPANGE HAWAJAMAA HAWANA HURUMA KABISA WAKO LAMA COMO YA 🇮🇹 KILA LA KHERI USM ALGER
  2. Wakili Frank Lubasha: Serikali inayojitambua ni lazima Itumie Brain ya Lissu kwa Manufaa ya NCHI. Lissu sio wa kutukanwa, sio wa kufungwa!

    Niliwahi Mimi binafsi kuandika humu Jamiiforums, Ni ajabu sana Kuona watu waliofeli na wajinga wàjinga wasiokua na akili na wenye ELIMU za kuunga unga ovyoo, akina Samia, Mafwele, na magenge yao KUMSUMBUA LISSU. Lissu ni Mtu mwenye Akili isokua kawaida, huyu alishushiwa hili kipawa cha Akili...
  3. Kwa nini Watanzania tunapenda kuitana ndugu bila hata kuwa ndugu?

    Nimemsoma Ayubu Rioba Chacha anamuita Tundu Lissu ndugu yake na anamtakia maisha mema ya gerezani. Ninavyofahamu Lissu ni Mnyiramba au Mnyaturu wa Singida na Rioba ni wa makabila mojawapo ya huko Mara, sasa undugu wao unatokea wapi ?! Watanzania tunapaswa kufuta fikra na mawazo ya kwamba kwa...
  4. L

    Usalama wa Taifa, JWTZ na Polisi mnatukosea sana Watanzania

    Ninaposema Usalama wa Taifa, Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu. Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda...
  5. Hizi sio siasa,bali ni ufitini na upumbavu wa kinyaa

    Unaacha kueneza sera na itikadi ya chama chako, unaeneza chuki na kuthibitisha huko hamtumii akili kabisa. Hata ile heshima ndogo mnayopewa kwa sababu ya nafasi zetu mnaipuuza. Mmfunge kwa hila baba wa watu halafu bado mumfitinishe.
  6. Hivi mnajua mshauzwa ila walio wanunua kuna siku sio salama zaidi ya rwanda na burundi.

    Kwa sasa huyu mlipewa mkosi ndio kashafanya yake. Ila sitapenda kuweka wazi kuepusha magaidi wakitumia kikosi cha ulinzi cha serikali. Hapa mlipo subirini kutofautiana na zambia wao wana wachina na nyie mna ....
  7. Watanzania wameonyesha ukomavu mkubwa kiakili na kisiasa. Gumzo kubwa ni hukumu ya kionevu aliyopewa Lissu wala sio harusi ya mtoto wa Ruto.

    CCM walivyo hawana akili za kisiasa walidhania watanzania watashobokea harusi ya mtoto wa rais wa Kenya huko Mwanza. Lakini kuanzia jana hadi leo hii watu wapo busy kujadili namna Lissu alivyohukumiwa kwa uonevu Huku hasira kali zikielekezwa kwa rais Samia na genge lake ambalo wananchi...
  8. SERIKALI AU MAHAKAMA: Nani Anahusika na Kesi ya Tundu Lissu? Tujadili kwa Sheria, Sio Mihemko

    Ndugu zangu, Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imemalizika jana Ijumaa Novemba 6, 2026, baada ya takribani miezi 19 tangu akamatwe Aprili 9, 2025. Ili tujadili vizuri, tuweke kwanza UKWELI WA KISHERIA uliotokea, halafu tuulize: Lawama ni ya Serikali au ya Mahakama? 1. UKWELI...
  9. Naona sio sawa kwa hawa waandishi kumhoji Werrason kwa kilingala na kifaransa bila mkalimani wakati wasikilisaji na watasamaji hawajui kabisa hizo lu

    Hizi ni sifa za kijinga sana. Hawa waandishi wameweka weledi kando na kutaka sifa binafsi. Wangekuwa na mkalimani ingependeza. https://www.instagram.com/reel/DfVWDeQtLjc/?cplk=dTY1Zzk5Nm40dno2 https://www.instagram.com/reel/DfVj_IMM9LH/?psln=dHF4cDE3ajMzODFs
  10. Nadhani watamfunga. Sio kwa kujaza mapolis wenye siraha hadi huku mikoani

    Habari ndo hiyo. Kwanini wamejaza maaskari hadi huku mikoaani wanazagaa mitaani? Something smells offal
  11. K

    Jeshi la kizalendo linatakiwa kulinda demokrasia sio Mafisadi

    Jeshi la kizalendo linatakiwa kulinda demokrasia sio Mafisadi. Kwa sasa jeshi na Polisi wote wanalinda mafisadi sio demokrasia
  12. Sio kila ukimya ni kushindwa; wakati mwingine ni maandalizi ya kurudi kwa nguvu zaidi!

    Sio kila ukimya ni kushindwa; wakati mwingine ni maandalizi ya kurudi kwa nguvu zaidi! Kuna nyakati unajikuta huna nafasi ya kusema unachotaka kusema. Unalazimika kusubiri, kutafakari na kujifunza kutokana na mambo yaliyotokea. Lakini nimejifunza jambo moja: Usiruhusu changamoto za muda...
  13. Simulizi za kwenye biblia sio historia Kama unavyofikiria ni codes zinazofichua Hali zetu za kiroho

    umewahi kufikiria kwamba simulizi za Adamu na Hawa, nyoka wa Edeni, Kaini na Abeli, Sodoma na Gomora, Ayubu na hata majaribu ya Yesu yanaweza kuwa na maana kubwa zaidi ya namna ambavyo tumekuwa tukiyasoma? Vipi kama baadhi ya simulizi hizo si historia ya watu waliopita tu, bali ni ujumbe...
  14. Styles za chumbani sio uonezi kwa wanawake, sisi wanaume hua tunazitumia tuwapo kazini

    Wakuu habarii, Moja kwa moja kwenye maada! Kuna hii ishu ya baadhi ya mikao ya kula tunda kuonekana kama vile ni unyanyasaji wa kijinsia kwa wanawake. Leo naomba niwasanue wanawake kua mikao karibia yote unayopangwa na mtu wako hua wanaume wanaikaa na wao wawapo job. So unavyo geuzwa geuzwa...
  15. Mwauwasa sisi ni binadamu sio ngamia

    Inasikitisha Sana kwa Ukanda Wa Pembezoni Mwa Ziwa Viktoria Kuwa na Tatizo sugu La Huduma ya Maji, Mkoa Wa Mwanza Imekua Si Changamoto tena imekua Kama ni Wajibu wa Wananchi Kukosa Huduma Hii Muhimu Kwa Wiki kadhaa au Miezi,Bahati Mbaya Hakuna Taarifa zinazotolewa Wazi kwa Umma Kama kutakua na...
  16. GODBLESS LEMA anaonesha siasa sio uwanaharakati!

    Ilikuwa inanishangaza sana eti mpuuzi mmoja ambaye tuliwahi kumsema humu JF ndio amegeuka kuwa nguzo ya kisiasa ya chadema
  17. Ccm acheni upumbavu aliyekufa leo ni mwaccm mwenzenu ingawa alidai yeye ni wa Nyerere sio wenu nyie matapeli toeni pole tu kwa familia ya Lissu mbona.

    Mbona Lissu alimpa pole Samia hata alipokuwa jera? Nawakumbusha tu alute ni mwanaccm mkongwe jamani toeni pole .
  18. Kwa Mujibu wa LEMA, kuhamasisha Maandamano ni Kosa, ila vyombo vya Dola kuua Watu Kwa Risasi moto , Sio Kosa !!!

    Hela za Abdul ulizokula zinakulazimisha ulopoke kama Mtu aliyekatwa kichwa !!. LEMA wewe ni kadudu kadogo sanaaa kulinganisha na CHADEMA.
  19. Hii picha sio AI. Kuna video kamili ya tukio hili. Mama na mwanae walirushwa kwenye shimo and shortly after wakauliwa.

    mcTobby mwafrika atafanya haya kwa mwafrika nwenzake alafu kesho atakaa katika vyombo vya habari aseme "wazungu ndio mashetani"
  20. Sio kila mtu wakumpa upendo / heshima , wengine ukiwapenda wanakuzawadia dharau

    Sio kila mtu wakumpa upendo / heshima . Wengine ukiwafanyia hivo wanakuzawadia dharau , chagua watu wakuwaheshimu na watu wakuwapenda .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…