Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.
Sijasoma sheria na wala sijui sheria lakini hii hainizuii kutoa maoni binafsi baada ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya Tundu Lisu, muhaini wa 2025/2026
Bw.Katuga kama wakili msomi wa serikali alikuwa kazini kutimiza majukumu yake kama wakili na mwanasheria yoyote yule ambaye angepewa kazi hiyo...
Kuna muda huwa najiuliza kwani hawa wanawake ni kipi cha ziada huwa wanakitoa, mpaka kufikia hatua ya kumchanganya mwanaume mtu mzima mwenye akili timamu na kujikuta anafanya maamuzi ya hovyo?
Tukio la Jensen limenifikirisha sana.
Kama kweli uyo manzi alikua ni jasusi wa China.
Basi...
Habari wanazengo, natafakari hapa kama Kuna haja ya kuwa na wivu pale unapo gundua mkeo anatoka nje ya ndoa wakati ukijua kuwa
1.Ulimkuta tayari anafanya hilo jambo ana mabwana mtaani
2.Sehemu zake zote za sili ziko wazi
3.Alisha zaa. Niwazi alifanya ndo maana akapata mimba
4.Ulimkuta na bwana...
Walifikiri itakuwa rahisi mno kumuangusha, yaani kama kumsukuma mlevi tu. Ndo maana kirahisirahisi tu wakaja hivi..........
1. No vile no hivi. Ikawa vilevile, dadadeki.
2. Waliwafadhili vigen z vya Kenya kumtusi kwa Kila namna, kwa sababu ambazo hata hazieleweki. Wamemaliza matusi, wamemwacha...
Private public parteship (PPPs) ni uchumi dhaifu na sio wa kuutegemea ktk kujenga taifa letu kwa karne hii.
Muwekezaji ni sawa na mpangaji, leo yupo kesho anaondoka muda wowote, kujaribu kuutegemea uchumi wa namna hii ni kuua future ya mtanzania.
Ni sawa na mgonjwa wa Malaria aliyemeza...
Kuna wanaume bora akauke midomo kuliko kutumia lip balm, ushamba sana huu. Wanaume wengi hawajiamini hivyo wanakua waoga kukutmia bidhaa za kawaida kabisha kwa ajili ya afya yao au confortablilty ya watu wao wa karibu kama wapenzi.
Lip balm haina rangi na iko vizuri kwa yoyote. kwanini umkiss...
👉LEMA ametoa hoja na mitazamo yenye uzito mkubwa ndani ya Chama. Hoja zake zinapaswa kutazamwa kwa jicho la tatu, busara na utayari wa kujifunza, badala ya kuhukumiwa kwa misingi ya hisia za kisiasa.
👉Inasikitisha kuona kwamba baadhi ya wanachama wamejenga kasumba ya kumchukulia kila...
Miaka 30 jela.
Uraibu wa pornographia
pedophilia
Cheating.
Kufirisika.
Kuharibu mahusiano.
Kufumaniwa.
Kuzazaa ovyo na kuongeza watoto wa mitaani
Aaaaargh!
Sipo hapa kumsifia raisi Dkt Samia Suluhu Hassan lakini nataka tuelewe kuwa ni mzito sana sio mwepesi kama tunavyodhani, ni maji ya kina kirefu hayapimwi kwa mguu wala fimbo
Kwa ufupi sana namfahamu raisi Samia kwa undani sana kuliko tunavyodhani
Inawezekana tukadhani ni raisi mwanamke ambaye...
AISEE NIMEANGALIA HII TIMU SIJAJUA ATAKUTANA NA SIMBA AMA YANGA SIJAANGALIA
ILA WATAKAOKUTANA NAO JAMAN WAJIPANGE HAWAJAMAA HAWANA HURUMA KABISA
WAKO LAMA COMO YA 🇮🇹
KILA LA KHERI USM ALGER
Niliwahi Mimi binafsi kuandika humu Jamiiforums, Ni ajabu sana Kuona watu waliofeli na wajinga wàjinga wasiokua na akili na wenye ELIMU za kuunga unga ovyoo, akina Samia, Mafwele, na magenge yao KUMSUMBUA LISSU.
Lissu ni Mtu mwenye Akili isokua kawaida, huyu alishushiwa hili kipawa cha Akili...
Nimemsoma Ayubu Rioba Chacha anamuita Tundu Lissu ndugu yake na anamtakia maisha mema ya gerezani. Ninavyofahamu Lissu ni Mnyiramba au Mnyaturu wa Singida na Rioba ni wa makabila mojawapo ya huko Mara, sasa undugu wao unatokea wapi ?!
Watanzania tunapaswa kufuta fikra na mawazo ya kwamba kwa...
Ninaposema Usalama wa Taifa, Jeshi na Polisi hapa namaanisha nyinyi wakubwa viongozi wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu.
Hata hivyo bila kusahau hata ma junior wa Vyombo hivi, mnatukosea sana sisi Watanzania wenzenu.
Mnatukosea kwa sababu tumekua tunaongea miaka nenda...
Unaacha kueneza sera na itikadi ya chama chako, unaeneza chuki na kuthibitisha huko hamtumii akili kabisa. Hata ile heshima ndogo mnayopewa kwa sababu ya nafasi zetu mnaipuuza. Mmfunge kwa hila baba wa watu halafu bado mumfitinishe.
Kwa sasa huyu mlipewa mkosi ndio kashafanya yake.
Ila sitapenda kuweka wazi kuepusha magaidi wakitumia kikosi cha ulinzi cha serikali.
Hapa mlipo subirini kutofautiana na zambia wao wana wachina na nyie mna ....
CCM walivyo hawana akili za kisiasa walidhania watanzania watashobokea harusi ya mtoto wa rais wa Kenya huko Mwanza.
Lakini kuanzia jana hadi leo hii watu wapo busy kujadili namna Lissu alivyohukumiwa kwa uonevu
Huku hasira kali zikielekezwa kwa rais Samia na genge lake ambalo wananchi...
Ndugu zangu,
Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imemalizika jana Ijumaa Novemba 6, 2026, baada ya takribani miezi 19 tangu akamatwe Aprili 9, 2025.
Ili tujadili vizuri, tuweke kwanza UKWELI WA KISHERIA uliotokea, halafu tuulize: Lawama ni ya Serikali au ya Mahakama?
1. UKWELI...
Hizi ni sifa za kijinga sana. Hawa waandishi wameweka weledi kando na kutaka sifa binafsi. Wangekuwa na mkalimani ingependeza.
https://www.instagram.com/reel/DfVWDeQtLjc/?cplk=dTY1Zzk5Nm40dno2
https://www.instagram.com/reel/DfVj_IMM9LH/?psln=dHF4cDE3ajMzODFs