Hakuna mtu ana options nyingi kama mwanaume, kwann unaoa single mother, katika wanawake wote hawa hujapata kweli ambaye hana watoto?
We ni mwanaume, unataka kuanzisha familia, inakuaje unaenda kuchukua mtu ambaye tayar ana kifamilia chake pembeni?
Mwanaume mwenzangu, take your time choosing...