single mother

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake msiotaka kuwa single mother pitieni hili bandiko

    Wale ambao mshakuwa single Maza poleni sana Sina Cha kuwaambia zaidi ya kuwakumbusha kwamba maji yakishamwagika hayawezi kuzoleka Tena Enyi mabinti Usibebe mimba wakati upo kwenye mgogoro na mwenza wako..jiepushe kadri iwezekanavyo Usibebe mimba wakati ushajua mwenzio anakuhisia vibaya kwamba...
  2. Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  3. Nimepata manzi mtandaoni single mother anaishi ughaibuni, ananishawishi nihame bongo nifanyeje?

    Haya maisha kuna muda yana maswali magumu kama sio kigugumizi miezi kama sita sasa nimedate na manzi raia wa canada ila ana asili ya kenya ndoa yake imefeli 2021 na baada ya talaka kutoka akaamua kuishi mwenyewe na watoto wake wawili sasa toka tumeingia kwenye mahusiano muda mwingi ananisisitiza...
  4. Single mother kampiga mwiko wa kichwa Baba wa kufikia

    Jambo? Hili tukio limetokea mtaani kwetu kuna jamaa ameoa Single mother, sasa usiku wakiwa sebuleni jamaa akasikia meseji imeingia kwenye simu ya Single mother. Lahaullah ile kuangalia anakutana na meseji inayosema, "Mpenzi unakuja lini kwangu kunipikia, nimemisi mahanjumati yako mpenzi"...
  5. Video: Angalia hapa jinsi Single Mother anavyosumbuliwa na mzazi mwenza

    Single Mother wanachangamoto sana, angalia hapa jinsi mzazi mwenzake anavyomuharibia mahusiano yake (Vitimbi).
  6. Aina ya single mother unayeweza kuingia naye kwenye ndoa

    Habarini na poleni na majukumu Uzi huu nimeandika kutokana na mada mbalimbali nilizokutana nazo zinazohusu mahusiano ya kindoa juu ya single mothers Kwanza kabisa inabidi nitoe sababu chache za kwanini mwanamke anakuwa single mother. 1. Baba mtoto kukataa mimba au mtoto. Kiukweli hakuna jambo...
  7. Single Mother ananikonyeza

    Wakuu kuna Single Mother mmoja kila akiniona ananikonyeza na kunitikisia Wowowo lake mithili ya tetemeko la ardhi! Wakuu sio mtego huu?
  8. Humtaki single mother sawa basi nenda kaoe ambae sio single mother uwache kuwasema vibaya single mother

    Idadi ya single mother ni ndogo mno lakini watu wanavyosema kuhusu single mother utadhan ni janga la taifa. Post nyingi zinawesema vibaya single mother kwamba sio wife material. Humtaki single mother Nenda kaoe ambae hajazaa stop kueneza chuki.
  9. Single mother amtamkia maneno mabaya Baba wa kufikia

    Hii imetokea mtaani kwetu, kuna Single Mother alikuwa ameolewa na Jamaa anaepiga vibarua vya kutengeneza simu mtaani. Sasa Jamaa wakati akiwa ofisini na mtoto wa kufikia mwenye umri wa miaka 14 yule dogo akaidondosha chini simu ya mteja. Ikumbukwe kuwa jamaa huwa anamkatazaga Dogo asiwe...
  10. Single Mother ampiga kibuti Baba Mlezi

    Aisee! Hii imetokea mtaani kwetu, kuna Single Mother alikuwa ameolewa na Jamaa mwenye pesa. Kama unavyojua maisha ni kupanda na kushuka, yule jamaa kafukuzwa kazi na hana inshu yoyote zaidi ya kupambana na vikazi vidogo mtaani. Hauwezi amini yule Mwanamke kambeba mwanae na kumkimbia jamaa na...
  11. Single mother anaamini kuwa step-Dad hampendi mwanae bali anaigiza

    Habari zenu, Ewe Mwanaume uliejibebesha majukumu ya mwanaume mwenzako kwa kusingizia upendo tambua kuwa Single Mother aamini kuwa unampenda mwanae bali unaigiza. Siku mwanae akiwa anaumwa na ukashindwa kumpeleka hospital atasema unataka mwanae afe kwasababu humpendi. Siku ukimkemea mtoto na...
  12. Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

    Habari zenu, Hili ni swali kwa Vijana wabishi walioamua kuoa Single Mother. Unajisikiaje pale unapoona Single Mother uliemuoa anampost mtoto wake na kuandika maneno kama My World, My Everything halafu Baba Mtoto nayeye anakuja kucomment My family.? Kumbuka kuwa wewe hujawahi kutamkiwa hayo...
  13. T

    Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye

    Nlipoanza mahusiano naye sikujali kama ana mtoto nikasema nitampenda hivyo hivyo ila tu anielewe na misimamo yangu. Maana mapema nlimwambia kuwa ni changamoto sana kudate yeye ikiwa hatojielewa. Mwezi wa 12 akaomba sana aje likizo kukaa kwangu. Nikamwambia hamna shida. Akaja na mtoto wake. Mimi...
  14. Hakuna single mother anaweza faulu huu mtihani, ndio maana wanaonekana miyeyusho

    Mtihani mkubwa kwa single mothers ni kubalansi upendo kati ya mtoto wake na mpenzi wake. Akimpenda sana mtoto wake atahakikisha mtoto anapata love ya baba yake mzazi hivyo atakuwa na mawasiliano very active na baba wa mtoto wake ili kuwakeka karibu. Akimpenda sana bwana wake atazuia...
  15. Malalamiko kuhusu single mothers ni kwasababu watu wengi hawajui kupiga mipira iliyokufa.

    Kama wewe sio mtaalamu wa kupiga mipira iliyokufa , hutowaweza single maza. Unajua katika mchezo wa mahusiano sio kila mchezo MTU anaweza kuutawala wote ,hivyo kupiga mipira iliyokufa hiyo kazi wanaiweza wataalamu tu, ikiwa wewe sio mmoja wao usilazimishe.. Huwezi wasikia wataalamu wa hizi...
  16. Niliwahi kupendwa na single Mother

    Kabla sijasema hili la kwanza la kupendwa na Single mother, niseme kwamba, mimi ndie yule ambae niliwahi kukataliwa na single mother. Mambo ni mengi sababu ni nyingi.. Lakini soon nataka niandike uzi kuhusu Ndoa na Mahusiano, kuna mambo wanaume tunatakiwa kuwekana sawa. Naamini mtazamo wangu...
  17. Ushauri tafadhali: Nimchague yupo kati ya single mother na Bar maid?

    Wakuu Mimi ni kijana miaka 30 sasa, nimekuwa nikijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wa aina tofauti tofauti, lakini mwisho wa siku najiona kabisa nahitaji kuoa mapema hapo mwakani Changamoto yangu kubwa nashindwa kuamua kati ya kumuona baa maid ambaye hajawahi kuzaa I mean yupo...
  18. M

    Logical Reasons Why You Should Never Date a Single Mother and Marry Her

    When it comes to love, everything else doesn’t matter. That’s why you can fall in love with a single mother. Since her good heart is everything you need, you don’t care even she already had children. But if you want to get things more serious with her, you might find out the reasons why you...
  19. Maana ya Single mother

    Salaam wakuu.... Katika pita pita zangu kwenye machapisho mbali mbali kwa mara ya kwanza ndio nimejua maana ya single maza kwamba Single =ina simama kwamba mwanamke huyu yuko single na hayuko kwenye mahusiano na Mother=inasimama kama mwanamke huyu anamtoto. Kwahiyo singo maza kitafsiri ni...
  20. Single mother utalindaje ndoa yako kama hili likitokea kwenye mahusiano yako mapya?

    Habari wana JF. Nina ndugu yangu mmoja upande wa mama, yeye KE. Miaka kama 10 hivi iliyopita alikuwa na mahusiano na Jamaa mmoja hivi, walikaa muda tuu mpaka mahusiano yao yakazaa mtoto. Lakini baada ya kujifungua Jamaa alimkwepa sister. Si unajua wanaume kwa kukimbia watoto wapo. Jamaa akawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…