single mother

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. Amo1

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuoa single Mother

    Binafsi, siwezi Sababu ni moja tu. Yaani baba wa kambo unalea mtoto , kuna wakati unaonekana mkatili na mwenye makosa pale kunakotokea kutokuelewana. Lakini yule aliemkimbia akamuachia mzigo anaonekana kuwa sio mkatili na wakati mwingine huwa ana heshimiwa kuliko wewe uliejitoa kubeba mzigo...
  2. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu atangaza kuwa single mother

    Staa wa filamu na mrembo maarufu Tanzania, Wema Sepetu, ameibua mjadala mkubwa baada ya kuandika ujumbe mzito kwenye akaunti yake ya Snapchat ambao umeonekana kama kutangaza rasmi kwamba kwa sasa anaendelea na maisha kama single mother. Kupitia Snapchat yake, Wema ameandika: “Being a single...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maswali muhimu unayotakiwa kumuuliza Single mother kabla hujafanya maamuzi magumu

    MASWALI MUHIMU UNAYOTAKIWA KUMUULIZA SINGLE MOTHER KABLA HUJAFANYA MAAMUZI MAGUMU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Post hii usije ichukua kama nimekuambia Kaoe single mother. Nope! Mimi kama Kakaako, Babaako, tayari nilishakueleza kijana chini ya miaka 45 hutakiwi kuoa single mother kwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kuliko kulea watoto wa "Single Mother", wasaidie watoto wa rafiki zako (Primary, Secondary, Kazini) waliotangulia mbele za haki

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Kama rafiki yako wa maana sana alitangulia mbele za haki, jutahidi saana kuwasaidia watoto wake kuliko kulea watoto wa single mother ambaye anawasiliana kwa Siri na mzazi mwenzie.
  5. RaiaMbishi

    JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana. Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini alijifunga shuka kiunoni na kutosalimu amri ya uvivu. Kwakweli malezi ya mzazi mmoja pekee yana...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwa wakatoliki huku parokiani kwetu ukiwa hujafunga ndoa ama wewe ni single mother/ baba ukifa hauzikwi na hata watoto wako hawabatizwi tena!

    Waione wafuatao. 1:Single mother/baba 2: Hawakufunga ndoa 3:Wasiotoa michango kwenye kigango/jumuiya. Wale wote Wana familia na hawajawahi kufunga ndoa awe ME au KE na single mother pamoja na single baba ikitokea hapo Kwako unahitaji huduma ya ibada ya ubarikio,mazishi,ama watoto wabatizwe...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwanamke alinikataa kabisa baada ya Mimi kijitambulisha kwake ni mwalimu

    Nilikuwa nimemwelewa single mother flani yupo tunduma, so mara kazaa nilikuwa napita mtaani kwake karibu na ofisi yake anakojumlisha viazi . Ukizingatia umri wangu umeenda soon naikuta 40, umri niliopanga kuoa ,nilitokea kuvutiwa na yule Binti ambaye age yake 25, basi nikaomba mahusiano ...
  8. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Wimbi la watoto kulelewa na mzazi mmoja linaendelea kushika kasi. Tuelezeni, changamoto iko wapi?

    Siku hizi wimbi la watoto kulelewa na mzazi mmoja limeshika kasi na linaonekana kama jambo la kawaida ila kwenye malezi tunajua kuna gap kubwa sana kwa mtoto na mzazi Unaweza kuta mwanaume au mwanamke anamlea mtoto mwenyewe bila mzazi mwenzie. je ni kipi kinacho pelekea kufika ukoo? Na wale...
  9. Etwege

    JamiiForums Tanzania Ole wako mwanamke unayemletea kiburi mme wako kuwa hakutishi utaondoka na kulea watoto mwenyewe, maisha ya single mother nyuma ya pazia ni masikitiko

    90% ya wahudumu wa baa ni ma single mother na ukiwanunulia pombe na chakula unaenda kulala nae. 90% ya wahudumu wa saloon ni ma single mother na tabia zao zinajulikana. 90% ya wanaojiuza barabarani na kwenye gesti house ni single mother 90% ya single mother ni hela kwanza ili akahudumie watoto...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukiachwa na single Mother unampoteza na huyo Mtoto wake unayemhudumia. Ni big loss

    UKIACHWA NA SINGLE MOTHER UNAMPOTEZA NA HUYO MTOTO WAKE UNAYEMHUDUMIA. NI BIG LOSS. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Jamaa mmoja hapa ananisimulia kwa hasira kuhusu mahusiano yake yalivyo complicated, magumu sana. Mwanamke aliyekuwa anaishi naye ambaye alimkuta single mother wa mtoto mmoja...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kabla hujamuoa single Mother jitahidi mjue aliyezaa naye. Kama amekuzidi kipato sitisha mahusiano haraka. Sababu ni hizi;

    KABLA HUJAMUOA SINGLE MOTHER JITAHIDI MJUE ALIYEZAA NAYE. KAMA AMEKUZIDI KIPATO SITISHA MAHUSIANO HARAKA. SABABU NI HIZI; Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Kwa Sisi Watibeli Tunaoa wanawake ambao wako Proudly kuwa na Sisi. Yaani wakiwa kwao jina letu linavuma, wanatutaja kwa mazuri...
  12. Mijadala Migumu

    JamiiForums Tanzania Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

    Kazi yangu ni bodaboda, na nilijuana na huyu single maza kupitia kazi yangu hii, maana yeye anafanya kazi bar hivyo uwa anatoka usiku sana, basi akachukua namba yangu ikawa kila usiku anapiga simu nimfate mda wa kutoka kazinina mazoea yakaanzia hapo. Baba mtoto wake ni dereva wa halmashauri...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Sawa Umemuoa mzazi mwenzangu (Single mother) Na ukakubali kumlea mtoto wangu; sasa ni kwanini unipangie namna ya Kumuona mtoto na mzazi mwezangu?

    Narudia kusema tena hili kwa sauti kubwa HAKUNA MWANAMKE ANAWEZA KUZAA NA MWANAUME ASIYEMPENDA HAYUPO. Sasa kama umekubali kuishi naye na hata kumlea mtoto wetu pamoja na mzazi mwenzangu na unajua wazi Sheria ya nchi inaniruhusu kuonana na mtoto wangu kila ninapohitaji kuonana naye na hata...
  14. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuachana na Single Mother bila kuumiza hisia zake?

    Wakuu tayari kishanilamba Huyu single mother ashaanza kuniletea mapicha picha aisee kila rangi naiona Inafikia muda ananizuia nisimtumie mama yangu hela. Nilidhani nimepata mke ama kweli nimeamini kuwa single mother hawaolewi. Mabro na dadaz naombeni ushauri wenu. Namuachaje huyu kiumbe...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mamaake ni Single Mother lakini kamkataza asioe Single Mother

    MAMAAKE NI SINGLE MOTHER LAKINI KAMKATAZA ASIOE SINGLE MOTHER. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Rafiki Yangu wa shule(A'Level) na chuo kikuu amenipigia akiwa katika hali ya kuchanganyikiwa. 2. Kitabia ni Mpole, sio mtu wa maneno mengi. Mtu wa Amani, asiyetaka vuruguvurugu. Sio mtu wa...
  16. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Nimezama kwenye mapenzi na single mother

    Wadau natumai mko poa kabisa na wale wagonjwa wote Mungu awape uponyaji. Kufupisha habari mimi ni kijana ambaye nipo kwenye 3rd floor agewise kipindi bado nasoma sikuwa mtu wa mademu sana mara nyingi watu waliniita baba paroko au kwa sasa church boy. Najuta kwanini nimejitunza miaka yote 10...
  17. Think2

    JamiiForums Tanzania Wazo la kuanzisha kituo cha kulea watoto wa single mother ili kuwapatia malezi ya baba ambayo wameyakosa kwa muda mrefu

    Kituo kitapokea watoto wote wasiokuwa na baba au wasioshi na baba zao kutokana na migogoro ya kifamilia tumepqnga kutatua changamoto ya kimalezi ili kunusuru maadili ya taifa ili kwa kuwapatia malezi ya baba ambayo wameyakosa kwa muda mrefu kwaio sisi tutaitwa baba zao walezi. Kwanini wazo...
  18. Back N days

    JamiiForums Tanzania Nimesikiliza wimbo wa rockabye(2016) wa clean bandit sikuwai jua kumbe unaongelea Suala la Single mother

    Call it love and devotion Call it the mom's adoration (foundation) A special bond of creation, hah For all the single moms out there Going through frustration Clean Bandit, Sean-Da-Paul, Anne-Marie, sing, make them hear She works the night by the water She's gone astray, so far away from her...
  19. Nonji

    JamiiForums Tanzania Single mother ananing'ang'ania

    Habari wana jamii, Mimi ni mume wa mke mmoja na kutokana mambo ya kazi Sikai na familia yangu mkoa mmoja hapo ni mikoa ya jirani kidogo kama mwendo wa masaa manne kwenda. Maisha haya nimeyaanza muda kidogo tangu 2022 lakini nimekuwa nikijaribu kujicontrol kuepuka vishawishi vya kuingia kwenye...
  20. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwenu Single Mothers

    Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me. One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day. Single...
Back
Top Bottom