simu

  1. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kurudisha file la mobile data Icon kwa juu ya simu Galaxy A15 yangu

    Wanajukwa habari za wakati huu ndugu jamaa na marafiki natumai nyote ni wazima waafya .Lengo kuu la kuandika uzi huu nikuwaombeni msaada wale wataalamu wa maswala ya Technology and science in computer skills and accessories. Jaman mm natumia simu aina ya Samsung galaxy A15 nimei UPDATE jana...
  2. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Redmi Note 11 128/6GB inauzwa

    Xiaomi Redmi Note 11 Storage Gb128/6Gb Ram Camera ni balaa๐Ÿ“ธ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ50MP ultra Wide /13MP Selfie Laini mbili Battery ๐Ÿ”‹ 5000MAH (Over 2 days lasting with data usage) Simu iko clean Vibaya mno imetumika miezi minne, full boxed.
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta mtalaam wa kutafuta simu zangu mbili zilizoibiwa

    Habari wadau Natafuta simu zangu mbili zilizoibiwa . Polisi waliniahidi kuwa zitapatikana lakini sasa nakaribia mwaka Ila niliambiwa wapo vijana wa IT wanauwezo wa kutrack simu na kuzipata. Naomba anayeweza aje inbox na naahidi zawadi nono itatolewa kwa sharti moja tu ya malipo ni baada ya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Simu za mkononi kwa binadamu ikiwa hazitumiki kwa usahihi

    Simu za mkononi, ingawa zina manufaa mengi, zinaweza kuwa na madhara kwa binadamu ikiwa hazitumiki kwa usahihi au kwa muda mrefu kupita kiasi. Baadhi ya madhara hayo ni: 1. Madhara kwa Afya ya Ubongo: Mionzi ya sumakuumeme inayotolewa na simu za mkononi inaweza kuwa na athari kwa ubongo, ingawa...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Simu yako ya gharama ulinunua bei gani na siku ulipopoteza au kuibiwa ulijisikiaje?

    Nilijitahidi sana na kufanikiwa kununua iPhone 7 Plus nikiwa mwaka wa kwanza chuoni mwaka 2019, kipindi hicho simu hiyo bado ilikuwa maarufu sana. Nilikuwa naipenda sana kwa sababu ilikuwa inapiga picha nzuri na pia niliweza kuhifadhi mambo yangu mengi. Siku moja nikiwa njiani kuelekea Mwenge...
  6. JamiiForums Tanzania Usinunue simu kabla hujayajua haya

    Habari za wakati huu wana JF, Nimekuwa kwenye biashara ya simu kwa muda mrefu, kuna simu nyingi sokoni zingine zikiwa used, refurb na mpya. Kwa simu za Iphone simu mpya huwa ni ile ya mwaka husika kwa mfano sasa IPHONE 16 TU nyingine ni refurb hata ikiwa kwenye box, SAMSUNG mpya ni S24 ULTRA...
  7. JamiiForums Tanzania Madhara ya kuunganisha bluetooth ya simu!

    Leo ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ข ๐˜ค๐˜ฉ๐˜ฐ๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ณ๐˜ข๐˜ง๐˜ช๐˜ฌ๐˜ช ๐˜บ๐˜ข๐˜ฏ๐˜จ๐˜ถ ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ต๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข ๐˜ท๐˜ช๐˜ฅ๐˜ฆ๐˜ฐ ๐˜บ๐˜ข ๐˜น๐˜น๐˜น ๐˜•๐˜ช๐˜ฌ๐˜ข ๏ฟฝ ๐˜ฑ๐˜ญ๐˜ข๐˜บ ๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜๐˜ข๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ด๐˜ข๐˜ถ๐˜ตi ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฏi๐˜ฃ๐˜ช๐˜ฅ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ฆ๐˜ป๐˜ฆ ๐˜ด๐˜ข๐˜ถ๐˜ตi ๐˜๐˜ข๐˜ฅ๐˜ช 100 ๐˜ญa๐˜ฌi๐˜ฏi ๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ฐ ๐˜๐˜ข๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ด๐˜ข๐˜ถ๐˜ต๐˜ช.., ๐˜ฏ๐˜ฅi๐˜ฐ ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ถ๐˜ฌ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฑ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ข๐˜ต๐˜ฐ๐˜ฌ๐˜ข ๐˜ด๐˜ฆ๐˜ฃ๐˜ถ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ถ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ญ๐˜ฐ๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฉ ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ด๐˜ช๐˜ฎ๐˜ถ ๐˜บ๐˜ข๐˜ฏ๐˜จ๐˜ถ.. ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ญ๐˜ข๐˜ง๐˜ถ ๐˜ด๐˜ฆ๐˜ฃ๐˜ถ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ญ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ธa ๐˜’๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข๐˜จ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฉ๐˜ช๐˜ท๐˜ฐ ๐˜ด๐˜ช๐˜ซ๐˜ข๐˜ณ๐˜ถ๐˜ฅi ๐˜ฏ๐˜บ๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฏi...
  8. JamiiForums Tanzania Simu zinazodaiwa ni Used kutokea Dubai na Korea ni nzima au tunapigwa?

    Habari za Leo Wana jamvi. Hivi simu hizo wanazotuambia wanaagiza from Dubai Korea Japan n.k hivi Zina uhai wowote au tunapigwa tu. Nataka ninunue Samsung note 10 au Aquos R6 hiz wanazosema ni used from Dubai. Au kama Kuna link ya kununua Moja Kwa Moja kutoka Dubai mnipe hapa Naombeni mawazo yenu
  9. B

    JamiiForums Tanzania KERO Ni nani huvujisha siri za wateja wa mitandao ya simu?

    Nimekua nikiona mara kadhaa watu wakilalamika taarifa za mawasiliano yao kwa simu kuvuja, ikiwemo ya sauti, sms na mara nyingine hadi whatsapp. Nimekua nikijiuliza sana kuwa ni rahisi kiasi gani jambo hili linafanyika kiasi cha kuathiri watu wengi hivi. Je ni kampuni za simu pekee ndio...
  10. JamiiForums Tanzania Madaraka Nyerere: Kiongozi anamsifia Nyerere lakini hapokei simu zetu

    Madaraka Nyerere ambaye ni mtoto wa hayati Mwalimu Julius Nyerere amesema anasikitishwa na baadhi ya viongozi wanaokwenda kutembelea mji wa Baba wa Taifa na kutoa kauli mbalimbali za kumsifu mwalimu, lakini wakiondoka hawapokei tena simu zake. Madaraka amesema si kila simu anayopiga ni simu ya...
  11. JamiiForums Tanzania Minara ya simu na Mikataba ya Kinyonyaji

    Leo nimeipata kusoma mkataba na kumsikiliza Wakili Nguri hapa, Tanzania Nikafikirisha akili yangu nikagundua Watanzania Wezetu ndio wanaotuingiza kichaka kwa ku Saini Mikataba Mi bovu. Pia huo mkataba unajua hauna manufaa kwa mtu anaekodisha Eneo lake wanakupa % chache sana za kupanda kwa Kodi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Msaada kuhusu simu za Samsung

    Habari ndugu zangu? Nisaidieni kujua ni simu gani nzuri kati ya Samsung S series na Note series na vipi kati ya S10+ na Note 10+ ipi ni nzui?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Itengenezwe application tupige kura kwa Simu zetu tusipotezeane muda

    Hivi wafrika ni lini tutadhamini muda wetu Kwenye foleni saa kadhaa eti nasubiri nimpigie diwani kura. Twendeni na technology inavyotaka watu wapige kura wakiwa nyumbani ofisini Serikali inapoteza fedha nyingi eti kuweka mawakala waandikishe watu wachague wenyeviti!!!! Hii SI sawa zaidi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Biashara za simu na kompyuta na uagizaji: Bei zetu zote kwa biashara Tanzania

    BIASHARA ZA SIMU NA KOMPYUTA NA UAGIZAJI: BEI ZETU ZOTE KWA BIASHARA TANZANIA ๐Ÿ“ฆ Bei Nzuri Za Simu, Laptop, nHuduma za Uagizaji Bidhaa โžก๏ธKwa wale wanaoagiza bidhaa kutoka China, ikiwa ni pamoja na simu ๐Ÿ“ฑ, kompyuta ๐Ÿ’ป, kamera ๐Ÿ“ท, na bidhaa nyingine ambazo ni vilipukizi hasa kwa njia ya mdege...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya kuanza kuwa bahili, michepuko yangu imenikimbia haipokei simu zangu

    Kutokana na umri kusogea sana imenibidi nipunguze mambo ya starehe kama; kwenda sehemu za starehe, kunywa pombe, kucheza na warembo pamoja na kuchepuka. Nimeamua kujituliza ili niwaachie na wengine waweze kujiburudisha kwenye hayo mazingira ya kujimwambafai. Sasa changamoto iko hivi, wale...
  16. JamiiForums Tanzania Je, kuna namna naweza ku play music ya simu yangu hata kama ipo mbali na mimi..?

    kichwa cha habari kinajielezea labda kwa faida ya ambao hawajaelewa ni hivi.. Nawezaje ku access miziki ya simu yangu hata kama nikiwa mbali na simu yangu..? Yaani hata kama simu ipo mbali nawezaje kupata playlist ya miziki yangu kupitia kifaa chengine...????
  17. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi simu tushirikiane kwa makubaliano, eneo lipo vizuri

    Natafuta fundi simu tufanye kazi, sehemu ya biashara ipo hapa maeneo ya survey opposite na Mlimani city, makubaliano na mambo mengine tutazungumza tukionana. PM kwa information zaidi
  18. D

    JamiiForums Tanzania Offer offer phone accessories

    Duka ni jipya lipo mbagala phone accessories kwa BEI ya kitonga jumla na rejareja EARPODS 3 kwa 7,000/= tu Viioo vya SIMU Charge aina zote Smart watch N.k 0748831964 Whatsapp
  19. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Naunza simu yangu aina ya Samsung Galaxy 04e

    Ndio simu ambayo natumia kulogin huku na kupost huko na huko ina 64GB ndani na 3GB of ram android 14 na Oneui 6.1 Ni yangu 100% na utakapo inunua palepale ndio nitatoa Samsung Account as proof ya kuwa mmiliki wake Ninashida na 180k tu Ipo good condition na nimeitumie for long time, nitaweka...
  20. JamiiForums Tanzania Bima za Afya za Mitandao ya simu ni utapeli. Hivi serikali ya Tanzania mbona imelala kiasi hiki?

    Hizi bima ni kampuni binafsi sasa ili kupata namba za Watanzania kirahisi wanajifungamanisha na kampuni za simu kama Tigo au Vodacom. So far sasa wamepewa ruhusa ya kutumia namba 100 ili wasionekane matapeli. Wale wahudumu wanamtumia mwanya wa Watanzania kutokujua mambo muhimu kuwalaghai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ