simu

  1. JamiiForums Tanzania Bado najiuliza ni mimi peke yangu ndio nilikuwa na picha ya dj fetty kwenye simu au?

    Tuambiane maana ile picha kila sdcard lazma niirushe.
  2. JamiiForums Tanzania Ulianza kumiliki simu akiwa na umri gani??

    Nilianza kumiliki simu nikiwa na umri wa miaka 17 tu baada ya kumaliza form four aina itel kibatani, wewe je ulianza kumiliki simu yako mwaka gani na aina gani??
  3. JamiiForums Tanzania Nokia 3310: Simu ya Kizazi cha Dhahabu

    Ni Septemba mosi ya mwaka 2000 mara baada ya mchakato mkubwa wa kurudi tena jikoni na kuipika na kufanyia kazi mapendekezo, na madhaifu ya Nokia 3210, siku hiyo ya Ijumaa ikawa ni siku bora kuwahi kutokea katika uwanja wa teknolojia ya mawasiliano, kwani ndio siku ambayo dunia kwa mara ya kwanza...
  4. JamiiForums Tanzania Zawadi nzuri kwa demu wako ni Simu nzuri, Saa nzuri au Fedha sio nguo za ndani.

    Sasa wewe endelea kumnunulia nguo za ndani, atazivua mbele yetu na kututunuku bila shida yoyote ile.
  5. JamiiForums Tanzania RC Abubakar Kunenge: Simu Janja na TV zinazalishwa Pwani na zipo sokoni

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema "Rais Samia aliagiza simu zitengenezwe Tanzania na sasa hivi simu janja zinazalishwa hapa Pwani na sasa zipo sokoni." Akizungumza leo Julai 31, 2025, katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala, Kibaha mkoani Pwani, Kunenge ameeleza kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania ๐—จ๐—ป๐—ฎ๐—ฝ๐—ผ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ท๐—ถ๐—ต๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜†๐—ผ ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—น๐—ฎ๐—บ๐—ฎ ๐—บ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ๐—ป๐—ถ

    Intaneti ni moja wapo ya chombo muhimu sana katika ulimwengu wa Leo , imefanikiwa kuunganisha mabilioni ya watu ulimwenguni kote. Hata hivyo pamoja na manufaa yake huja na vitu ambavyo ni hatarishi upelekea usalama wako kuwa mdogo pamoja na faragha kwa ujumla. Hakikisha unazingatia mambo...
  7. JamiiForums Tanzania Nichukue simu ipi kati ya hizi

    Redmi 13C. Redmi 14C Aquos sense 7 plus (used) Natanguliza shukrani๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
  8. JamiiForums Tanzania Kauli kama hizi ndio zinazofanya kuwanyima watu chaji ya simu.

    Unakuta mtu anakuja akiwa mnyonge "brother una chaji type c simu yangu imezima naomba nibusti hata asilimia 5" kiroho safi mtu unampa chaji ili achaji kakimeo chake karudi kwenye uhai. Sasa huyu mtu kwa kukosa subira simu ikiwa chaji asilimia 1 tu anawasha sio case may be anataka awe hewani bad...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa kitabu au notes za veta ufundi simu ziwe pdf

    Naomba kitabu chochote cha ufundi simu haswa smartphone kiwe kwenye mfumo wa pdf
  10. JamiiForums Tanzania KIOO CHA SIMU ZA ANDROID KUWEKA UFA BILA SABABU

    Tafadhali wadau . Kuna shida gani ya hivi VIOO vya simu ambavyo vinapata crack( ufa) bila hata kuangusha simu ,hasa pale unapoweka kingine .Mimi nashangaa Kila Mara naweka KIOO CHA simu . Ukiangalia kina ufa . Serikali kupitia TBS kwa Nini kuruhusu hizi bidhaa fake. Ukiangalia maduka mengi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kujiondoa kwenye simu iliyounganishwa mtandoni

    Habari. Msaada nawezaje kujiondoa kwenye smartphone niliyounganishwa na mwenza wangu?? Meseji, Voice note zote anazipata kwenye simu yake.Nitajiondoaje Ili asipate taarifa zangu kwenye smartphone yangu? Msaada.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupiga simu nje ya nchi

    Wataalamu, naomba kufahamishwa namna ya kupiga simu nje ya nchi kwa bei nafuu kwa contacts ambazo haziko linked na call apps au sociaL media apps(whatsapps, line, viber..). MItandao ya simu ina vifurushi vya kimataifa ambavyo ni bei ghali, haviendani na uhalisia, na vina mawasiliano ya nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini John Heche amekuwa akirejea kauli kwamba akipiga simu moja tu CCM anapata uwaziri, kuna ujumbe uliojificha anautoa?

    Kwa tafsiri yangu, Heche ana contact person ndani ya CCM ambaye amemuhakikishia jambo fulani, na pia mtu huyo wa CCM contact (asset) wake ni Heche ndani ya Chadema. Hii inamfanya anatutambia kila wakati. Siku za karibuni palizuka tetesi kwamba Heche anatumia gari ya kigogo wa CCM katika...
  14. JamiiForums Tanzania Kero: Vyoo vya Simu 2000 ni vichafu sana

    Vyoo vya hii stendi jirani na kituo cha Polisi cha Simu 2000 ni vichafu sana. Unapoingia tu unakutana na masinki yale ya wakati wa COVID-19 ya kunawia mikono yana maji machafu yaliyotuama humo ni kama yamekuwa hapo kama mwaka hivi hadi yameoza. Ukitoka hapo unalipia lakini ukiingia ndani vyoo...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA!

    Je, Simu Yako Inakupeleleza Bila Wewe Kujua? Hizi Ndizo Settings Hatari Unazopaswa Kuzima MARA MOJA! Katika zama hizi za kidijitali, kila swipe, kila app unayofungua, na kila sekunde unayotumia kwenye simu yako inaweza kurekodiwa โ€” si kwa nia mbaya kila wakati, bali kwa ajili ya uchambuzi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwa kwenye daladala na kuongea na simu kwa sauti ya juu ni UJINGA

    Kuna watu hawana soni kabisa unawezaje kuwa kwenye daladala ya umma halafu ukipigiwa simu unaongea kwa sauti ya juu sijajua lengo la watu wa aina hii kwamba wote tukusikie au ni kutafuta approval kwamba wewe ni nani. Utapeli tu
  17. JamiiForums Tanzania Je, Mitandao ya Simu Inawatumikia Wateja au Serikali? Hoja Kuhusu Kuzimwa kwa Mitandao Wakati wa Matukio ya Kisiasa

    Katika siku za karibuni, tumeendelea kushuhudia hali ya wasiwasi na maswali mengi kutoka kwa wananchi kuhusu kuzimwa kwa mitandao ya kijamii kama Facebook, YouTube, na X (zamani Twitter), hasa pale ambapo kuna matukio ya kisiasa yanayowahusisha wapinzani wa serikali au wanaharakati wanaoikosoa...
  18. JamiiForums Tanzania Polepole apigiwa Simu na Polisi wakati akizungumza na Watanzania

    Polepole apigiwa Simu na Polisi wakati akizungumza na Watanzania
  19. JamiiForums Tanzania Rostam: Kisutu, viongozi wakipiga simu hupati haki

    Leo nawiwa kutoa ushauri kwa watanzania wenzangu kuhusu hali ya utoaji haki nchini. Kwakuwa jambo lenyewe ni nyeti na lina uzito wa kipekee nitajenga maoni yangu kupitia kauli ya Ndugu Rostam Aziz, Mbunge wa Igunga 1994-2011, Katibu uchumi na fedha CCM 2005-2007, na Mjumbe wa kamati kuu CCM...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ