simba

  1. Adui wa ndugu yako ni adui yako ,,,Tumewalipia Simba deni lao la kichapo cha bao 4-0 toka kwa AMAKHOSI!

    Ndo Ivyo wananchi wamewalipia kisasi wale vijana wa Mangungu maana walipigwa chuma 4 kwa mtungi na kaizer chief! Wananchi wanatamba kokote na wanatoa adhabu kokote na kwenye uwanja wowote, siwatishi lakini Yanga wanatisha! Moja ya pre-season Bora kabisa imefanywa na Yanga msimu huu!
  2. Kwa kitendo hiki, Yanga wameamua kuolewa na Simba sc

    Hapo vip!! Kwanza naomba Admin tafadhali acha ku edit kichwa cha habari cha hii thread tafadhali. Moja kwa moja kwenye mada husika. Kuna msemo unasema kilicho kidhaifu huiga kilicho na nguvu..au kilicho kibovu huiga kilicho boro. Sasa kitendo cha yanga kutumia rangi nyeupe ya Simba sc ni...
  3. Mashabiki wa Simba wamepekua jezi za Yanga wakaona mkono na tano ila wameshindwa kuzipekua jezi zao wakaona 1 5

    Jezi za Simba zilitangulia kutoka kabla ya jezi za yanga, mashabiki wa Simba walisifia ubunifu ila kasoro ikawa ni neno SANDA peke yake. Sijajua mbunifu wa jezi za Simba aliwaza nini kuweka 1 5 kwenye jezi za Simba lakini uzuri hakuna aliyechukulia hilo kama nia mbaya ama mashabiki wa Simba...
  4. Ili la Fadlu David Simba litawacost mnoo. Huwezi kucheza Pre season ya pili na Telcom inayopigania isishuke kutoka Ligi daraja la pili.

    Nilishaonesha sana Ubovu wa kitwakimu huyu bwana akisimamia timu mara 7 tofauti. Simba wanabaki kumpamba tu kwenye media haita badili kitu kuhusu uwezo wake. Kinachomfanya aombe Timu mbovu sio kukosa timu nzuri bali ni muoga wa mechi kubwa. Ona Fadlu Sio kocha huwezi cheza na timu inayocheza...
  5. Tumalize utata: Jezi ipi kali msimu huu kati ya Yanga na Simba?

  6. Picha nyingi za sasa za Simba App kila nikimwona Onana naona anafanya tu Maigizo na Matangazo ya Mo Products, ila za akifanya Mazoezi sizioni kabisa

    Uongozi wa Simba SC ninasema tena leo Kwenu kwa mara ya Pili tafadhali achaneni na Onana hafai kuwa Simba SC.
  7. Picha nyingi za sasa za Simba App kila nikimwona Onana naona anafanya tu Maigizo na Matangazo ya Mo Products, ila za akifanya Mazoezi sizioni kabisa

    Uongozi wa Simba SC nasema tena leo Kwenu kwa mara ya Pili tafadhali achaneni na Onana hafai kuwa Simba SC.
  8. Yametimia: Hatimae Kibu Denis azungumzia sakata lake na Klabu ya Simba

    Kwenye mkataba wa Kibu Denis na SimbaSC kuna kipengele walichokubaliana kuwa, akipata timu Ulaya aruhusiwe kuondoka. Kipengele hicho ndicho kinampa uhakika na jeuri ya kuondoka katika klabu ya Simba. ℹ️ Klabu ya Kristiansund BK imeandika barua rasmi kwenda Simba SC ili kumnunua mchezaji huyo...
  9. Kibu Denis siyo mjinga, Kuna jambo halipo sawa hapo kati ya Simba na Kibu

    Wengi wanaona kama Kibu hana ustaarabu anawafanyia Simba uhuni. Nimejiridhisha Kuna kitu hakipo sawa na Kibu anaenda kuwavua nguo viongozi waongo wa Simba mbele ya mashabiki wao. Kibu Ali sain pre contract na akahaidiana na Viongozi wa Simba kuwa atasaini wakikamilisha baadhi ya matakwa ya...
  10. Simba sc katika harakati za kumtafuta kibu d #ubaya_ubwela

  11. Shabiki wa Simba hakikisha unavaa SANDA yako tarehe 8

    Hongera sana boss MO na Sandaland kwa kutengeneza sanda janja (smart sanda). Tarehe 8 Simba itaandika historia mpya kuwa timu yakwanza kufa kwa bao 10 bila kwenye mechi za ngao ya jamii. Kwa kulitambua hilo, maboss wameandaa sanda kwa kila shabiki na mwana chama ili kupunguza gharama za...
  12. Namwona tena kocha wa simba zamu hii hafiki Nov 1

    Rejea kichwa cha habari hapo juu kama umeelewa kila la kheri ujaelewa tukutane tar 2 nov hapa ndani Usikumwema Kwahisani ya Ubaya ubwela
  13. D

    Designers wa jezi za Yanga wapo Simba

    Competition is good for business. I will be short as usual The real yanga jersey designer was not sheri ngowi but his trustee workers. So these workers are now hired in simba under sandaland leaving sheri ngowi seeking new talents in Jersey design. in short he is struggling to design a new...
  14. Fally Ipupa- aje Simba day

    Napendekeza Kwa uongozi wa Simba Sc ikiwezekana mwanamuziki Fally Ipupa- wa Congo aliye kwenye viwango vya juu atumbuize siku hiyo. Yanga wamekuwa wakimleta Koffi Olomide.
  15. Soma kwa Umakini: Katika jezi mpya, ni ama Simba imepatia sana au imekosea sana

    Baada ya majadiliano ya jana baada ya uzinduzi wa jezi, nimepata wasaa wa kutafakari mtazamo wangu nilioutoa jana. Nitaelezea kwa ufupi sana ila huu utakuwa mchango wangu wa mwisho kwenye mada hii. Kuna mawili, ni ama Simba imepatia sana katika hili jambo au imekosea mno. Simba imepatia sana...
  16. L

    Neno Sanda katika jezi mpya ya Simba ni kinga dhidi ya washirikina na wenye husda dhidi ya Simba, mnaopinga neno hilo mna nia mbaya na timu yetu

    Kama kweli wewe ni mpenzi na mwanachama wa Simba na unaitakia Simba mema, basi usikubali kuingia mtumbwi wa kibwengo, hilo neno Sanda hapo kwenye jezi mpya ya Simba halikukaa kimakosa, nyie wote mnajua maana ya Sanda. Sanda ni shuka anayofunikwa maiti kuelekea kaburini kuzikwa.Simba imeweka...
  17. Kibu Denis mamilion ya Simba yamemchanganya anahiyaji msaada wavushauri nasaha mapema yasimkute ya Mwisho Mwampamba au Idrisa Sultan

    Huwezi kumwekea milion 200 kijana aliyekulia kambi ya wakimbizi bila kumuongoza. Kibu anahitaji washauri kabla ya kuwekewa mzigo kama ilivyo kwa Aziz ki au kijana yoyote kama Feitoto. Wote mnamuita Mama au Baba mnamshauri nini afanye. Madhara ya starehe na kilakitu ndio mnaweka mzigo...
  18. Sandaland waache kutengeneza Jezi

    Hawa Sandaland waliingiaje kwenye nafasi ambapo wapo saivi kutengeneza majezi ya Taifa Stars na Simba?? Baada ya set za kwanza za Simba na T-Stars niliona niwape benefit of doubt.. yaani waliingia tu sokoni. Ila kwenye hiyo majezi mapya ya Simba wameonesha na thibitisha hawana ubunifu wa kutosha...
  19. Kwa nini Hersi anawatamani sana watu waliopo Simba?

    Ukiwa na aibu kuna mambo fulani utajizuia kufanya mbele za watu hata kama unatamani sana na una haki ya kuyafanya. Miaka hii miwili matatu tunaona wimbi la watu kutoka Simba kuelekea Yanga kwa kurubuniwa na Rais wao aliyekataliwa na mahakama Hersi Said. Imekuwa kama lile wimbi la "waunga mkono...
  20. Sakata la Kibu Denis na Simba linanifikirisha, kwanini mchezaji anajiamini kiasi hiki?

    Ninapata mashaka sana kwenye hiki kinachofanywa na KIBU DENIS, kwanini ANAJIAMINI sana na kufanya mambo ya ajabu namna hii? Mchezaji umesaini mkataba mpya ata mwezi aujaisha alafu unagoma makusudi kujiunga na Kambi ya timu yako na unajua kabisa Sheria zinazoongoza mpira duniani zilivyo unapataje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…