simba

  1. M

    Simba queens yasajili viungo kutoka Yanga princess

    kikosi cha timu ya wanawake simba queens kimesajili viungo wapya kutoka timu ya yanga princess. viungo hao washambuliaji ni Precius Christopher, kiungo mkabaji Saiki Atinuke na mlinzi wa kushoto Winkate Kaari. mambo ya ubaya ubwela
  2. mdukuzi

    Kibu Denis atapanya zaidi ya milioni 200 Ulaya akisaka timu, aangukia pua! Awaomba radhi Simba

    Hivi vilabu kuna vizee vina midomo michafu,vikikuombea dua baya hutoboi kama hauko vizuri. Ukitaka kumchokoza mtu wa Kigoma muite Mrundi,atakypiga ngumi,watu wa Burundi wana stress muda wote,wana msongo wa nawazo,wanawaza vita,wanawaza kutorokea ulaya kama wakimbizi. Kibu Denis ana jinamizi au...
  3. Pdidy

    Uongozi wa Yanga umuonye Haji Manara, utoe tamko tafadhali hatutaki shida za Simba Yanga

    Yanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili Ali Kamwe ana haki kuimba kujiuzulu hamuwezi kumkalia kimya mpaka sasa Haji akitamka yeye ndie...
  4. DELETED ACCOUNT

    Utabiri: Msimu wa 2024-25, zote Simba na Yanga zitafika fainali za mashindano ya CAF

    Kwa miaka ya hivi karibuni nimekuwa na utamaduni wa kutoa utabiri wangu kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga mwanzoni mwa msimu. Kwa kiasi kikubwa nakuwaga on target. Kwa msimu unaoenda kuanza wa 2024-25, natabiri kuwa timu ya Simba itafika fainali ya CAFCC na Yanga pia itafika fainali ya CAFCL...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Manara tukiwapiga Simba chini ya Goli nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja

    “Wachezaji kila ukiwauliza wanasema wao wanawaza Agosti 8 tu, nawaambia kabisa ‘Makolo’ wasilite timu uwanjani, yani wale tukiwapiga chini ya nne nakuja hapa SportsArena kuwapa kila mtangazaji milioni moja moja.” —— Msemaji wa Yanga Sc, Haji Manara
  6. Cute Wife

    Kamwe atangaza ratiba ya Wiki ya Wananchi

    Wakuu, Kumbe na kwenye soka kiki ni dili! … Tumewaambia kilele ni August 4, lakini kama ilivyokuwa utamaduni wa Yanga sisi tuna Wiki ya Wananchi ambayo kilele chake ni ndiyo August 4, na hiyo wiki ndiyo inaanza leo (Julai 29, 2024) Timu itawasili leo saa tisa usiku kutoka Afrika Kusini uwanja...
  7. GENTAMYCINE

    Bado sijaiona Simba SC ya kuifunga Yanga SC tarehe 8 August, 2024 labda wana Simba SC wote tutoane Kafara tufe ndipo tuwafunge

    Hapa tutafarijiana tu ila kiukweli na hasa Kiufundi hasa kwa maeneo yote Simba SC ya sasa kwa Yanga SC bado mno.
  8. Expensive life

    Kuna vita ya kilonzi inaendelea hivi sasa kati ya Simba na Yanga kuelekea musimu mpya wa ligi

    Amini usiamini, simba na yanga wanajuana na ndio maana ni ngumu sana kwa vilabu vingine kugombea kombe lolote dhidi ya miamba hii miwili hapa nchini. Azam anajitahidi kufurukuta ila anazidiwa nje ya uwanja (ulonzi) Simba na yanga waneshaanza kupigishana shoti hivi sasa, wazee wanahaha huku na...
  9. GENTAMYCINE

    Haji Manara hata ufanyeje Laana ya Kuikataa Simba SC ambayo ndiyo Timu yako ndiyo sasa Inakutesa hadi 99% ya wana Yanga SC wanakukataa Kweupe

    Yaani kabisa Baba yako Mzazi akiri EFM Radio na EA Radio kuwa Wewe ni mwana Simba SC kisha useme ni Yanga SC?
  10. Escotter20

    Mna uhakika simba alishinda jana?😃

    𝗠𝗔𝗗𝗨𝗡𝗗𝗨𝗞𝗔 Just imagine wewe KOLO umelipia App yako halafu admin anakudanganya Waziwazi Dakika ya 71 Chambi anatoka then Dakika ya 88 anafunga😂. Kweli nimamini maneno ya Mzee wangu Rage..... NB;#ZAANDANIIIII Kipa wetu Kagoma kutolewa kwenye system kwasababu hakupenda Kuumia,Kawapa sharti moja...
  11. Frank Wanjiru

    Wapenzi na wanachama wa Simba tunaomba jibu kwenye hili

    Jana imefanyika match ya kirafiki huko Misri kati ya Simba zidi ya Telecom, match ilikuwa live kwa kuhadithiwa kupitia Simba appl. Dakika 71 anatoka Chasambi anaingia Onana,chakushangaza dakika 88 Chasambi anaifungia Simba goal la ushundi. Je kuna Chasambi wangapi Simba?
  12. DELETED ACCOUNT

    Che Malone Fondoh ndiye mchezaji atakayeamua mafanikio ya Simba msimu wa 2024-25

    Leo kuna jambo nitalisema kwa sababu nimelitafakari muda mrefu hasa baada ya msimu uliopita kuisha. Katika msimu wa 2022-23, msimu wa mwisho wa Che Malone Fondoh akiwa na Coton Sport ya Cameroon, timu hiyo ilishika nafasi ya mwisho katika kundi lake kwenye CAFCL, ikiongoza kwa kuruhusu magoli...
  13. Jaji Mfawidhi

    Tetesi: Mzize asusa kusaini Yanga, Kutimkia Simba!

    Clement Mzize ambaye anadai kuzaliwa 2004 , yani sasa ana miaka 20 ambaye kwa sasa mkataaba wake na Yanga umeisha amegoma kusaini mkataba mpya. Mzize amegoma mkataba mpya na anataka kupandishiwa dau. Ikumbukwe Mzize alikuwa "afisa usafirishaji " -bodaboda Pale Igumbilo Iringa akivaa yebo yebo...
  14. ngara23

    Mashabiki wa Kaizer waliamua kushangilia Young Africans

    Yanga walicheza mpira mkubwa hadi mashabiki wa Kaizer chiefs walipokuwa wakizomea Kwa nguvu mwanzoni mwa mchezo walianza kushangilia Kwa nguvu. Hakika hii ni ajabu katika mpira, team ipo kwao ila wanashangilia mpinzani. Hii ilitokea Santiago Benabeu Pale mashabiki wa Real Madrid walipo...
  15. William Mshumbusi

    Kwa kinachoendelea Simba imekuwa timu ya Ovyo ovyo, kocha wa ovyo, hadi washabiki na uongozi wa ovyo ovyo. Hatujui kabisa

    Washabiki wa Simba hatufatilii kabisa ukweli na uhalisia wa timu. Tunasubiri uchambuzi wa Wachambuzi bahasha na kuweka matarajio ya kipuuzi. Nilifatilia usajili ni wa ovyo kabisa. Tumesajili wachezaji wawili tu wa kiwango cha simba na kurundika wa ovyo ovyo. Nimeposti sana takwimu za kila...
  16. THE FIRST BORN

    Simba mnaweza Kujifunza kwa Kilichomkuta Kaizer Chiefs Leo, ila kwakua nyie ni sikio la kufa subirini tarehe 8

    Habari Hongera na weekend! Nianze hivi kilichomkuta Kaizer sio kusema kanunuliwa sio kusema sijui ana udhamini wa GSM ni kapigwa Mpira unaitwa Kosa Kujisahau tu. Kwa wasiojua Kaizer Alienda Pre season nje ya Sauzi na tangu atangazwe NABI alikua hajapoteza huko Pre-Season yani ilikua full dozi...
  17. GENTAMYCINE

    Kwakuwa Uongozi wa Simba SC mmekataa kabisa kumuacha 'Mchovu' Onana sasa naiombea Yanga SC Ushindi mnono katika Derby yetu nao

    Kila Siku GENTAMYCINE naimba hapa JamiiForums kuwa muacheni Onana hamnisikii sasa nataka Derby tufungwe tu.
  18. UMUGHAKA

    Yanga anaanda kikosi Cha CAFCL, niwatoe hofu Simba tarehe 8 leteni timu msiogope Wala Yanga hawana tatizo na nyie, sisi ni ndugu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nikimnukuu kocha wa Yanga alichosema baada ya kumalizika mchezo huko Kwa Madiba Gamondi "You know Yanga & Simba are friends,so here in South Africa I prepare my team because of CACL,iam not here for Simba,So let I assure the Simba fans, we're brothers...
  19. Mtini

    live update: Simba vs Telecom

    update kutoka simba app. hadi sasa simba yuko nyuma kwa goli moja _____________ Simba wanapata goli la kusawazisha kupitia kwa Valentino Mashaka
  20. Prince_Nurudin_Tz

    Kwenye kikosi Cha Simba Ayub yupo Sabu

Back
Top Bottom