simba

  1. N

    Kocha wa El Merreikh ya Sudan kujiunga Simba

    Ni mfaransa, karibu sana simba kwanza tunataka utuhakikishie points atleast 4 toka kwa hao waajiri wako wa zamani. Kocha wa klabu ya Al Merreikh ya Sudan Didier Gomes da Rosa ameachana na klabu hiyo. Taarifa zinadai huenda akawa kocha wa mabingwa wa Tanzania Simba SC.
  2. I

    Tanasha atua nchini, gari la Diamond lampokea

    MZAZI mwenza wa supastaa wa Bongo Fleva barani Afrika, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch, usiku wa jana Januari 22, 2020 ametua nchini akiwa na mtoto wake Naseeb Junior wakitokea kwao nchini Kenya. Tanasha amepokelewa na gari ya Diamond katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  3. M

    Simba SC msiwazuge Mashabiki wala kuona Aibu. Mpelekeni Bernard Morisson kwa Wazee wa Yanga SC awaombe Msamaha afunguliwe

    Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi. Na...
  4. H

    Simba yaanzisha mashindano mapya

    Klabu ya Simba ya Tanzania imeanzisha mashindano mapya ambayo yatajulikana kama Simba Super Cup, Akizungumza na vyombo vya habari CEO wa timu hiyo Barbara Gonzalez amesema mashindano hayo yatazishirikisha timu za TP Mazembe ya Congo na Al Hilal ya Sudan na yanatarajiwa kuanza tarehe 27 mpaka 31...
  5. N

    Pitso Mosimane aisifia Simba akihimiza makocha wa South Africa waombe kuifundisha

    Pitso anakuambia makocha kama Eric Tinkler ni wakati sahihi wa kuomba kufundisha teams za nje ya south africa kama Simba huku akiitaja kama team kubwa ambayo ni kawaida yake kuwa kwenye group stages. “I mean we are in the same group as Simba (in the CAF Champions League) I will be so...
  6. N

    Karibu Juma Nkamia Simba upige spana makanjanja,this is too much

    Sina mengi ya kusema lakini enough is enough Tutu vengere a.k.a Rage aliweza enzi hizo kuna kanjanja moja tu lililokuwa linaivuruga simba na habari z auongo likiwa redio one kwa sasa limeajiriwa kwingine na linaendeleza libeneke lake kama kawaida,Radio one walipigwa stop kusema na kutangaz a...
  7. tyc

    Kwa mujibu wa kanuni, Chikwende hatocheza mechi yoyote CAF group stage akiwa na Simba

    Inasikitisha Simba tumesajili mchezaji mwenye kiwango kizuri, uzoefu wa kutosha katika mashindano ya kimataifa ngazi ya klabu lakini hatoweza kuichezea Simba katika hatua ya CAF group stage (16 round) Hii ni kutokana na kanuni ya CAF kwamba timu yoyote ikifuzu kuingia group stage basi...
  8. chongoe

    Ushauri kwa Simba wapige stop habari zao kwa Clouds

    Nawaomba uongozi wa simba waipige stop kuzungumzia simba kwa njia yoyote ile sababu ukiona simba inazumziwa sana clouds basi tambua kuna jambo baya hapo kwenye mema wala watazungumza hata dakika moja haishi, kwa sababu hiyo nawaomba iwazuie clouds kuizungumzia kama ilivyokuwa radio one miaka...
  9. Erythrocyte

    Kampeni: Napinga Juma Nkamia kuwa Mwenyekiti wa Simba, hana uwezo

    Taarifa inaonyesha kwamba Kamati ya Uchaguzi ya Klabu ya Simba imepitisha majina mawili ya kuwania Uenyekiti wa Simba , huku wagombea wengine wakienguliwa (sifahamu vigezo vilivyotumika ) , waliopitishwa ni Mangungu na Juma Nkamia , maana yake ni kwamba kati ya wawili hawa mmojawapo atakuwa...
  10. Erythrocyte

    Kila atakayeifunga Simba kusajiliwa?

    Sasa hii imekuwa tabia au hulka, Tulipofungwa na UD SONGO mchezaji aliyetufunga akasajiliwa , leo tena Chikwende naye ndio kama mlivyosikia . Bado haijafahamika kama usajili huu ni pendekezo la Kishingo au Matola, ama labda Babra , wala haijulikani kama usajili huu unakidhi vigezo vya...
  11. T

    Msaada: Je, Simba SC watalazimika kuacha mchezaji wa Kigeni?

    Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu Simba ina wachezaji 11 wa Kigeni baada ya ingizo la Chikwende, Je watalazimika kupunguza mmoja? Au wameshapunguza? Wawa Onyango Chama Bwalya Luis Kahata Kagere Mugalu Morrison Lwanga Chikwende
  12. Kipenzi Changu

    Tuheshimiane: Ni marufuku kuilinganisha Simba Sc na Yanga

    Ifike wakati tuheshimiane. Hivi wewe mchambuzi uchawara unatoa wapi ujasiri wa kuilinganisha Yanga Utopolo na Simba Sc. Simba Sc ipo mbali sana Next Level. Unawezaje kuilinganisha timu bingwa mara 3 mfululizo katika ligi kuu na Yanga. Unawezaje kuilinganisha timu iliyochukua makombe matatu...
  13. Magnificient

    Eti "Leo Simba Anacheza" ndo tafsida ya Mwanamke kuwa katika Hedhi, Hii sio kejeli kweli?

    Yaani huu msemo unanipa ukakasi kichizi yani! Leo Simba Anacheza ndo maana yake uko period??? Eti unableed. Really? Kisa damu nyekundu? Aaahhh tuachane na huu msemo bhana
  14. N

    Baada ya Chikwende Junior Lokosa wa Nigeria ajiunga simba

    Baada ya kumsajili attacking midfielder Chikwende kutoka zimbabwe simba wamemsajili mshambuliaji wa zamani wa team ya taifa ya nigeria super eagles na team ya esperance de tunis aitwaye Junior lokosa
  15. H

    Taarifa kwa umma kuhusu uchunguzi wa mabadiliko klabu ya Simba

    Taarifa hii nimeipata kwenye moja ya magazeti hapa nchini
  16. M

    Kukurupuka katika usajili kwa Simba na Yanga ni kiashiria kuwa tuna safari ndefu sana

    Usiku huu nilianza kuona tetesi za usajili wa Chikwende! Kama ni kweli, hiki ni Kielelezo kingine cha kukosa weledi katika menejimenti ya Soka! Inawezekana Rais alikuwa sahihi aliposema Tatizo la doka la Tanzania ni Simba na Yanga! Katika hiki kinachoitwa uwekekezaji katika hizi timu mbili...
  17. Kipenzi Changu

    Perfect Chikwende wa FC Platnums asajiriwa Simba SC

    Updates: Hatimaye ametangazwa rasmi. Raia hawajalala,ni saa 6 usiku lakini ndani ya dakika 5 comments zaidi ya elfu 2 Chikwende leaves for Tanzania BY TERRY MADYAUTA FC PLATINUM striker Perfect Chikwende (27) is on the brink of completing a sensational move to Tanzanian giants Simba...
  18. N

    Niliwaonya Simba kuhusu ulinzi wa CEO Barbara mkapuuza, ameshambuliwa Z'bar

    Baada ya kina Francis Mhando wa Efm kumfanyia dhihaka Barbra na kumuita pisi kali chombo ya fundi wakihusisha maneno ya mtandaoni kuhusu mkude kusimamishwa kwamba alimtongoza nilianzisha uzi hapa na kulaumu sana wako walionisapoti wako waliodhihaki kama kawaida maana kwa Ta nzania mwanamke ni...
  19. Erythrocyte

    Simba tunaangalia zaidi michuano ya kimataifa , Mapinduzi cup haikuwa kipaumbele

    Huu ni ujumbe mahususi kwa Mashabiki wa soka nchini Tanzania , tunafahamu furaha ya Yanga (Kipofu kaona mwezi) , lakini sisi Simba tunalenga michuano ya CAF champions League tu. Sitaki maswali .
  20. Kurzweil

    Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

    Yanga imeibuka na ushindi huo baada kuifunga Simba SC kwa mikwaju ya Penati. Yanga SC walifanikiwa kufunga mikwaju 4 kwa 3 ya Simba Sc Mchezo huo ulifikia hatua ya matuta Baada ya Dakika 90 kumalizika kwa matokeo ya 0-0
Back
Top Bottom