Habari zenu,
Kumekuwa na sitofahamu baadhi ya mashabiki wa Tanzania wanajiuliza imekuwaje simba kuingia African footbal league wakati simba ipo nafasi ya 9 Africa kwa club Bora(sio club kubwa ni club bora nieleweke hapo msichanganye bora na ukubwa).
Katika CAF FOOTBALL CLUBS RANKING simba ipo...