simba

  1. Z

    Kati ya viongozi wa hovyo kuwahi kutokea simba mangungu anaongoza.

    Wadau wa sports,kiukweli kinachoendelea kwenye timu ya simba kinasikitisha,kwa maoni tatizo lipo kwa mwenyekiti wa simba bwana murtaza mangungu. Kama alikuwa naona kuna mambo hayapo sawa, Kwanini hakuwaambia wanachama,sasa hivi mda wake umeisha anakuja na ngojera kibao,binafsi namuona kama mtu...
  2. Serikali saidia Simba kuvunja ndoa yake na familia ya Dewji

    Familia ya Dewji imeing'ang'ania timu ya Simba kama ruba. Ni jina hilohilo miaka nenda rudi kwanini? Inahonga kila mtu kila kundi ndani ya Simba dhidi ya kila mtu anaeonekana kutaka mabadiliko ndani ya Simba. https://www.youtube.com/live/qRWXxpl8KvE?si=Aw7wneVxmHK45JP9
  3. M

    Kiomoni Kibamba: Simba wameleta kamati tatu za Uchaguzi mpaka nashindwa kuelewa ipi ni ipi na inatoka Simba ipi

    Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF Kiomoni Kibamba amesema Simba wamepeleka kamati tatu za Uchaguzi mpaka anashindwa kuelewa ipi ni ipi na inatoka Simba ipi. Aidha Kiomoni amesisitiza Uchaguzi utafanyika siku ile ile aliyotangaza Mwenyekiti wa Klabu Murtaza Mangungu ambaye ametangaza 30/01.
  4. Babra agombee uenyekiti Simba SC, wazee wa wanazi muda wenu umeisha

    Wazee wa aina kama Mangungu, Aden Rage, Mzee Dalali, muda wenu wa kuiongoza Simba SC umeisha. Tunawashukuru sana kwa kuifanyia klabu mambo makubwa kwa wakati wenu. Sasa ni muda wa Simba kuongozwa kisomi. Ni muda muafaka sana Simba SC kupata Mwenyekiti atakayeenda na wakati tuliopo, atakayekuja...
  5. R

    Swala la Fadlu na Simba linaweza kuibua yaliojificha

    Baada ya Simba kumshitaki Fadlu kwa kuvunja mkataba bila kuwalipa Fidia Simba wamefikisha swala lake Fifa. Huu ni utaratibu wa kawida kwani hata Fadlu alipovunjowa mkataba na Raja alilipwa fidia. Kipindi cha nyuma Simba ilikuwa na kocha anayejulikana kama kishingo, kocha huyo aliondoka baada...
  6. Simba Sc tumevunja Record ya Bayern Munich ya Ujerumani

    Simba SC imefikia ushindi wa mechi 20 mfululizo katika Ligi Kuu Tanzania Bara, na hivyo kuvuka rekodi ya ushindi 19 mfululizo iliyowekwa na Bayern Munich katika Bundesliga ya Ujerumani. Kwa mujibu wa taarifa ya The Citizen ya tarehe 3 Novemba 2026, Simba ilifikia rekodi hiyo baada ya kuifunga...
  7. Ushindi huu wa Simba usheherekewe week hii nzima

    Ushindi huu wa Simba sports club uende na nderemo na vifijo week hii nzima, tubishane sana na watani zetu, tutukanane kama kawaida yetu, kisitokee kitu chochote cha kisiasa kututoa kwenye reli. Yani week hii nzima ni week ya kifootball kama kawaida yetu watanzania tujikite humo, hayo mengine ya...
  8. Hii Simba SC hata ukitangulia goal 4 lazima upigwe TU kila GoTi litapigwa

    Simba Bingwa 😀
  9. TFF yaruhusu mchakato wa Uchaguzi Simba SC uendelee

    Taarifa ya TFF kwa vyombo vya habari imeruhusu mchakato wa Uchaguzi Simba SC uendekee. Kwa wale ambao hamjaelewa ni kuwa Uchaguzi wa Simba Sports Club kufanyika Januari 3, 2027. Utasimamiwa na Kamati ya Uchaguzi ya TFF kwa kushirikiana na menejimenti ya Simba. Leja Ipo msijali. Huyu Mangungu...
  10. Simba kuifunga Yanga mara moja tu kusitumike kumfukuza Mangungu. Serikali inusurini Simba.

    Eti baada ya Simba kuifunga Yanga ndio mumfunge mikono, miguu na mdomo mangungu asiseme wala kuiongoza Simba kama mwenyekiti kwa mujibu wa Katiba ya Simba sports club. Kuna haja ya kuchunguza na kumulika kwanini familia ya Dewji inaitaka Simba kwa hali na mali (do or die) hata ikibidi kumuua...
  11. M

    Ushauri wa Waislamu waliopo club ya Simba

    Sidhani malumbano ya Mangngu na Dewji watakusaidieni. Tuache kupoteza muda ktk kutumia nguvu, akili na muda mwingi kujadili malumbano. Tuutumie muda wetu katika kuitafuta akhera yetu badala kutumia muda kulumbana ktk vitu ambavyo ukifumba jicho havikusaidii kitu. Nawashauri tuachane na haya...
  12. Soweto Derby: Keizer Chief achezea kichapo, Orlando Pirates watuma salama kwa Simba

    Leo imepigwa moja ya dabi maarufu barani Afrika, nchini Afrika Kusini, inayoitwa Soweto Derby, kwenye uwanja wa FNB Stadium (Soccer City) jijini Johannesburg. Mchezo huo uliwakutanisha Maharamia wa Orlando (Orlando Pirates), wanaojulikana kwa lugha yao kama The Buccaneers, na Machifu wa Kifalme...
  13. Leo ni SOWETO DERBY KAIZER CHIEF VS ORLANDO PIRATES , Mashabiki wa Simba na Viongozi tulipaswa kushughulika na Mpinzani sio kugombania Madaraka

    Mpira wetu hauna watu wenye uwezo wa kujiconnect na vibe la dunia ili kutumia michezo kubadilisha mpira wa miguu kuwa sehemu kubwa ya uchumi kama ligi tano bora za ulaya. Simba ipo kwenye marumbano wakati mpinzani wetu leo Orlando Pirates anacheza derby yake uko FNB Stadium.
  14. C

    Kama ambavyo yanga wanaitumia serikali kufanikisha mambo yao,vivyo hivyo wanaitumia serikali kuibomoa Simba

    Mangungu ana watu wazito nyuma yake na agenda yao kubwa ni kuimilikisha Simba kwa familia ya gsm. Hawajali Mo akiondoka ,wala Simba ikiyumba.Agenda yao hii wanaipigania kupitia kwa mangungo na baadhi ya watu wajinga wanaotaka kumrudisha manara. Siasa zinaharibu sana mpira wetu,maana kuna watu...
  15. Mambo 5 kwenye mchezo wa Fountain Gate vs Simba

    Mambo matano kwenye mchezo wa fountain gate vs simba leo 1.KAPILI MACHUPA Alikuwa kizuizi kwa Simba licha ya kuruhusu goli moja alipaswa kuwa man of the match 2:ANCET OURA Hakuwa kwenye kiwango kizuri alimfanya kasuku kuwa kwenye kiwango Bora 3:MGUNDA SHABAN Jamaa alitawala dimba la Kati...
  16. Mangungu: Uchaguzi uliotangazwa Simba ni batili

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu amesema mchakato wa uchaguzi, Tume ya Uchaguzi pamoja na Mkutano Mkuu wa klabu hiyo uliotangazwa kufanyika Januari 3, 2027, ni batili na haramu. Mangungu ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 29, 2026, wakati akizungumza na Waandishi wa habari Jijini...
  17. Nafikiri Mangungu yupo kwenye payroll ya Yanga kutuvuruga Simba Sc

    Kila wakati Simba inapoaanza safari ya mafanikio anaanza chokochoko. Kwani hana kazi zingine za kufanya za kumuingizia kipato zaidi ya kuwa Simba SC? Hizi ndio changamoto za kuwapa nafasi kubwa waswahili wasio na vision yeyote kwenye maisha. Ifike wakati mashabiki tupige mstari huyu mzee...
  18. Simba Fans wavamia accounts za Orlando Pirates, Olrando Fans waanza kuiogopa Simba

    Moja ya raha za hii michuano ni hile namna wabongo uanza kuzivamia page za timu pinzani na kuanza kuwatisha na kuwatia hofu. Kimechafuka sana kwenye page ya Orlando Pirates ambapo mashabiki kutoka kwa Soweto wameanza kuulizana kuhusu hatari ya mnyama simba.
  19. Simba kukutana na Orlando Pirates, Yanga kukutana na Waarabu

    Wazee Yanga ana kibalua
  20. G

    Ukiondoa Azam fc, Yanga, Simba na Singida zinabebwa na ufisadi/mafisadi

    Siku nchi ikirudi mikononi mwa wananchi, mpira wa Tanzania ambao umekua haraka kama uyoga, hakika utaporomoka. Wenye akili kubwa tu ndio watanielewa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…