Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 22 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.
Afisa Habari wa klabu ya Simba SC, Ahmed Ally, amethibitisha kupitia ukurasa wake kuwa klabu ya Yanga SC imelipa deni alilokuwa akidaiwa na Simba SC kufuatia aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Fadlu Davids.
"Tunapenda kuthibitisha kuwa tumepokea malipo ya deni letu kutoka kwa aliyekua Kocha wetu...
Kama wabungu, madiwani na wenyeviti walivyoshinda kwa kishindo cha 98% ndivyo MANGUNGU atatakavyoshinda SIMBA uwenyekiti (ITAPIGWA KATA FUNUA MOJA TU MO na watu wake watajikuta wamempigia tiki MANGUNGU NA HAWATOAMINI)
klabu ya Simba Sc itamenyana na JKT Tanzania katika mwendelezo wa ligi ya NBC leo, Novemba 21, 2026, katika uwanja wa Mej Jenerali Isamhyo majira saa 18:30 jioni.
NB: SIMBA AKIFUNGWA MNIPIGE BAN LA MWAKA
MANGUNGU OUT
Mashabiki wa Klabu ya Simba leo Novemba 17 wameandamana kuelekea Makao Makuu ya TFF wakiwa na mabango wakishinikiza baadhi ya mambo yafanyiwe marekebisho ndani ya klabu yao ambapo wengi wanaamini yapo mambo mengi ambayo hayapo sawa.
Mashabiki hao wamebeba mabango mengi moja ya mabango ambayo ni...
Simba imedhamiria kuongeza morali na upambanaji wa wachezaji wake msimu huu , mapema leo Rais wa heshima wa Simba SC Mohamed Dewji ametangaza rasmi kuongeza bunus kwenye mechi za Ligi kuu kutoka Milioni 20 hadi milioni 40 kwa kila ushindi
Bunus hizi zitatolewa kwenye mechi zote za Ligi kuu...
Mtanange mkali Leo.
Timu pendwa Afrika Mashariki na Kati iliyo namba 9 kwenye viwango vya mpira Afrika na duniani namba 58 SIMBA SC leo itaonyesha burudani ya kufa na shoka ikiwa chini ya mshambuliaji hatari mwenye kuogopwa mwenye mchanganyiko wa Messi na Ronaldo si mwingine ni DOUMBIA...
Sisi kama wana Dar es Salaam Young Africans, tuna unga hoja za Mangungu akiwa kama kiongozi halali wa Simba na tena maamuzi yake yaheshimiwe na wanachama pamoja na viongozi wote wa Simba..
Bw Magori, nakupongeza mnoo kuwa mwenyekiti wa bodi ndani ya klabu yetu, Aidha kuondolewa kwa Try Again kumenifurahisha mnoo, kurudishwa kwa Barbra na Swedi Nkwabi nimefurahi pia.
Ombi
Nakuomba licha ya kuwa wewe uko upande wa mwekezaji lkn tuna imani na nyie kuliko hata ule upande wetu wa...
JE, SIMBA SC IMECHUKUA HATUA GANI KUKOMESHA UVUJAJI WA JEZI?
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mjadala mkubwa mitandaoni baada ya jezi mpya za Simba SC kuvujishwa kabla ya kutambulishwa rasmi na klabu. Hii imeibua maswali kadhaa:
Nani hasa aliyesababisha uvujaji huu?
Uongozi wa Simba...
Tukio lipo mubashara Azam Sports 1HD
Klabu ya Simba inatarajiwa kuzindua jezi zake zilizotengenezwa na kampuni kubwa ya kiitaliano ya Diadora.
Karibuni kwenye tukio kubwa la jezi kubwa za timu kubwa
Apo mwanzo ilielezwa kuwa mshambuliaji uyu machachari ata timkia jangwani kwa mabingwa Young Africans sports club lakini baada ya sababu za kinidhamu wameamua kuachana na mchezaji uyo, kwa ili naipa hongera Yanga maana wamejifunza kuchukua aina ya wachezaji awa wasio na nidhamu wala adabu...
Ripoti zinaeleza kuwa klabu ya Simba, imefikia makubaliano ya awali na kiungo wa Coton Sport, John Bosco Nchindo (23).
Mazungumzo baina ya Simba na kambi ya mchezaji yamekamilika kilichobaki ni Simba kumalizana na klabu yake (Coton Sport).
Nyota huyo raia was Cameroon alishinda tuzo ya...
Kama mpenzi wa mpira wa Miguu na mpenzi na shabiki na mwanachama kindakindaki wa timu yangu pendwa ya Simba Sports Club nimeamua bila kushurutishwa na mtu yoyote kua Scout wa kutoa ushauri ama mapendekezo ya usajili wa wachezaji mbalimbali ambao wataisaidia timu yangu ya Simba.
Ninamiini...
Sisi fans wala hatuna presha kabisa yani,target ilikuwa kufika Nusu Fainali,lakini tumepita lengo na kuingia fainali
Maana yake ni kwamba tayar tumeshinda kufanikisha lengo letu,kwahiyo leo tunaenda Zanzibar tayar tukiwa washindi
Ni hayo tu!
Ewe Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, ulisema niombeni na mm nitawapa, tunakuomba mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, sisi waja wako hatuna lolote isipokuwa ni kukuomba wewe tu, tujalie ushindi leo hapa visiwani Zanzibar mda mfupi tu tutakapocheza na Stellenbosch...
Ndugu Mohamed Dewji
Mwenyekiti wa Bodi
Bodi ya Wakurugenzi
Simba Sports Club
DAR ES SALAAM
YAH: MECHI YETU DHIDI YA YANGA AFRICANS A.K.A UTOPOLO SIKU YA TAREHE 08 MACHI 2025
Ndugu Mwenyekiti, pokea salamu hizi za dhati kabisa kutoka kwangu mwanachama wa Simba Sports Club.
Ndugu Mwenyekiti...
Mwaka 2024 unaisha leo, kesho majaliwa ni mwaka 2025, nimeona kikosi chote cha wachezaji wangu wa Simba Sports Club, kiukweli hadi kufikia leo binafsi ni wachezaji wawili tu ndani ya timu yangu ukimuondoa kiungo wa pembeni Elie Mpanzu ambaye ndio kwanza anajitafuta na ambaye nina matarajio naye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.