Leo naona ghafla jamaa wakiwa na silaha wamerudi tena kwenye barabara kuu hadi vituo vya mwendokasi wapo.
Hapa katikati waliondoka wakawaachia polisi ila leo chap kama wamerudishwa wamezagaa mjini
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, akiongea na wahariri pamoja na waandishi wa habari, leo Jijini Dar es Salaam, amesema maandamano ambayo waandamanaji wanaenda na silaha (kuwa ‘full armed’) sio maandamano, huku akibainisha kuwa idadi kubwa ya walishiriki...
Akizungumza na waandishi wa habari amehoji ni maandamano gani hayo ambayo watu walikuwa wamejipanga na wana silaha kabisa huku wengine wakiwa hawaongei kiswahili.
Amegusia pia kuhusu Mwanajeshi wa Marekani aliyekamatwa na mabomu. Anahoji ni utaratibu gani huu?
===
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya...
Kuna muandishi wa habari Rwanda ambaye makazi yake ni Marekani kaandika kwenye Twitter yake kwamba kapenyezewa habari na watu wake wa karibu waliopo ndani ya jeshi la Rwanda kwamba Kuna watanzania wameanza kupewa bunduki na wanajeshi wa Kagame hii ishu ni inaweza kuwa serious wakuu sababu huyu...
Kama mnavyojua wadau kuwa majizi na majambazi ya mali yakiku face huwa hayanaga huruma yanachukua mali na uhai wako.
Sasa ili usiende kizembe angalau kuwa na hata silaha ya kukabiliana nayo ili chaguo liwe moja kati yenu wewe au yeye mmoja kati yenu kuacha roho sio wewe pekee kuwa mnyonge...
Hutoamini najua walahi. Sababu ni watu unaowaamini na kuwategemea. Venye venyewe wasema kikulacho kinguoni mwako. Sijui walahi. Wamalize hili wanajambo lao nawe. Nye Nye Nye! Watu wabaya nye. Mwacheka usoni wageuka watupa mikuki. Polo polo polo magonda anza kutroti hewala. Kama waweza jipange...
WATU 172 KORTINI WAKITUHUMIWA KUFANYA VURUGU, UNYANG’ANYI WA KUTUMIA SILAHA MWANZA
Watu 172 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza na kusomewa mashtaka kadhaa yakiwemo ya kuharibu mali, kuchoma moto na unyang'anyi wa kutumia silaha...
Hii itawafanya viongozi na mafisadi kuwa na hofu ya uonevu wao na pia raia wataweza kujilinda na kujitetea kwa silaha za moto .
Huu utaratibu wa serikali tu i.e: majeshi tu kumiliki silaha kuna sababisha uonevu kwa raia kwa askari kuzitumia wanavyotaka pasipo nidhamu ikitokea askari wametumia...
Rafiki wa karibu anijuza hapa kuwa hakuna kilichoharibika. Asema watu wamebakiza kumoyo kisasi cha damu za ndungu zao.
Waseme walitest mitambo na ikajibu. Nye Nye Nye Sijui. Waseme silaha watazipata tuu kwani wamekusudia liwalo na liwe.
Wasema kila ngazi itapandwa. Wasema wameshazoea kuuliwa...
Naleta hoja kwamba Vyombo vya Kiusalama vimeshindwa kutuhakikishia ulinzi na usalama. Hatuoni haja ya kuanza kumiliki silaha za moto tuweze kujilinda sisi kama RAIA?
Yaliyotokea ni wazi yana ripple effects kuu tatu:
1. Maandamano kutokutokea tena kwani watu wataogopa kuuwawa. Hii scenario naipa...
Kwa ushahidi wa video na picha zinazoibuliwa sasa juu ya mauaji ya kutisha yanayofanywa na Polisi, na kama alivyopata kuwahi kusema Dada wa Taifa Mange Kimambi, ni sahihi kuamini kuwa ni kweli Samuya na mwanae Abdul waliingiza makontena mengi ya silaha kwa ajili ya kuua watoto wa Tanganyika...
Makundi ya mamluki yenye silaha za moto Dar es salaam, Arusha, Tunduma n.k (mfano Janjawed, waganda n.k) yanaendeleza mauaji mitaani na barabarani mitaa ya sinza, ilala n.k. Ni wazi Samia ameamua kuongoza kwa kumwaga Damu za watanganyika.
Angalizo: Akiachwa aendelee hii miaka mitano, anaenda...
Sote tunafahamu Samia ameingia mikataba mingi sana ya kikoloni na hawa UAE na nchi zingine za Kiarabu kama bandari, Airport, Carbon 14 etc, sasa kuna juhudi kubwa zinafanyika kuhakikisha huyu muovu analindwa kwa gharama yeyote pasipo kujali athari za nchi na mauaji ya raia.
Hivyo waarabu hawa...
BREAKING: Ujerumani imesaini mkataba wa kombora wa Euro BILIONI 2 na Israel.
Wakati wengine wakikabiliwa la kuitenga Israel, Ujerumani inanunua makombora ya Spike ya RAFAEL kwa idadi kubwa. Ulaya inahitaji teknolojia ya ulinzi ya Israel.
Baada ya magaidi wa Hamas kushindwa vita huko Gaza na kuwaachia mateka wote walio hai kinachofuatia sasa ni kusalimisha silaha zao kwa Amani wakikataa tutawapokonya kwa nguvu-Donald Trump
"Mytake" Huo ndiyo mwisho wa Hamas!!! Wanajuta kwa nini Oct 07,203 walivamia Israel!!
Kama bado hujui, dunia ya tech inakimbia faster kuliko mawazo ya wengi.
Na moja kati ya game changers ambazo watu wadogo wanazipuuzia ni Cloud Technology ☁️
— -
1. Cloud sio kwa makampuni makubwa tu
Wengi wanafikiri Cloud ni kwa Google, Amazon na kampuni kubwa.
Lakini ukweli ni kwamba...
Najua kaamua kumuonyesha Mmarekani kwamba mimi pia nakuja! Hizi za hadharani, za sirini je???
Nuclear triad
China for the first time displayed a full array of nuclear weapons that can be deployed from air, land and sea.
H-6N Strategic Bomber
The H-6N is a closely watched plane, it has...