Kwa kifupi Korea ya kaskazini imeshindikana,haiwezekani Tena,imeingia kwenye klabu ya wababe.
Leo tarehe 15 Januari 2021 imeonesha kombora jipya linalorushwa kutoka kwenye nyambizi.
Korea imetamba kuwa hilo Ni kombora lenye nguvu Sana hapa Duniani.
Tangu Korea ilipogawanyika na kuwa Korea...
Waandishi wa habari wapatao 50 wamepoteza maisha wakiwa kwenye kazi zao ndani ya kipindi cha mwaka 2020 kwa mujibu wa shirika la kutetea waandishi na vyombo vya habari duniani, Reporters Without Borders.
Kwenye mazungumzo mafupi kwa njia ya video na DW, mkuu wa Kamati ya Usalama wa Waandishi wa...
Rais Magufuli leo atekeleza agizo la Mkuu wa mkoa la kuwasilisha silaha jeshi la Polisi kwa ajili ya ukaguzi.
Amewataka wananchi wote wanaomiliki silaha katika jiji la Dar kujitokeza kuhakiki silaha zao kama alivyoagiza mkuu wa mkoa.
Ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa ya utafiti wa amani SIPRI yenye makao yake mjini Stockholm, SIPRI imeonyesha kuwa makampuni ya silaha ya China na Marekani yalilidhibiti soko la silaha ulimwenguni kwa mwaka 2019. Lakini pia ripoti hiyo imesema Mashariki ya Kati kwa mara ya kwanza imeingia...
Wakuu nawasalimu.
Kitu kilichotokea kwa akina Halima Mdee siyo cha kushangaza. Ni mwendelezo wa matukio mengi tu ambayo yamekuwa kawaida siku hizi.
Watu wanaotumia muda kufikiri, wakiwemo pia ndani ya CCM wanajua kinachoendcelea. Unawezaje kuwalaumu akina Mdee? Ukitaka
kutoa lawama kwa hawa...
Jeshi la Polisi mkoani Iringa limewakamata wafungwa wanne wanaodaiwa kutoroka baada ya kumshambulia kwa mapanga na kumjeruhi mwilini mlinzi, Askari Magereza na kumpora silaha.
Wafungwa hao wanadaiwa kumpora bunduki aina ya Uzi-gun yenye namba TZPS 5570-062974 Sajeni Feedolin Madembwe...
Shirika la kujitegemea la utetezi wa haki za kibinadamu nchini Ethiopia, lilitoa maelezo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na kuarifu kutekelezwa kwa shambulizi la silaha kwenye basi la abiria mkoani Benishangul-Gumuz na kusababisha vifo vya watu 34.
Maelezo hayo pia yalibainisha taarifa za...
Renatus Charles Hangaya ndio jina lake mzaliwa wa Kahama mkoani Shinyanga mwaka 1980. Alifukuzwa shuleni kwa hujuma za kifamilia sababu kuu ikiwa mali za mzee wake.
Kwenye historia amesema alikuwa kamanda wa scout wa kikosi cha Simba, walipelekwa camp Uganda 1994 na kuweza kuwika Afrika kiasi...
Kinachoendelea huko Msumbiji ni ushahidi mwingine wa jinsi Majeshi mengi katika nchi za kafrika yalivyo dhaifu katika kulinda mipaka kama tunavyoona pia katika nchi nyingine za Kiafrika kama Nigeria ambako vikundi vya kigaidi vinasumbua Majeshi katika nchi hizi.
Uwezo wa Majeshi mengi ya nchi...
Polisi wenye silaha wameizunguka nyumba ya Mwenyekiti wa CHADEMA bwana Freeman Mbowe.
Tumuombe sana @freemanmbowetz maana naskia hao jamaa wenye silaha waliozingira nyumba yake wanasema wametumwa kuchukua roho ya Mbowe.
Vikwavo vya kuuza na kununua silaha vya UN dhidi ya Iran vilivyo dumu kwa muongo mmoja vimemalizika hii leo. Hatua ya kufika tamati kwa vikwazo hivyo kutaiwezesha Iran kununua na kuuza silaha zake.
Hata hivyo licha ya vikwazo vya silaa taifa hilo limekuwa likiimarika kijeshi kila kukicha na...
Wakuu,
Nianze kwa kudeclare interest kwamba mimi sio mjuvi na sina utaalam wowote kuhusu masuala ya silaha.
Kilichonisukuma kupandisha huu uzi ni baada ya kutazama video hapa chini ikimuonyesha mlinzi wa Lissu akiwa na silaha ya ajabu ambayo nimeshindwa kuelewa ni silaha ya aina gani.
Kombora...
Jeshi la Polisi wenye silaha za moto na Mabomu ya machozi muda huu wameuzuia msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Tundu Lissu maeneo ya Kiluvya ukiwa unaelekea Kibaha.
Zaidi soma;
Uchaguzi 2020 - Polisi waondoa kizuizi...
Upendo ni asili ya mtu mweusi, hata wakoloni walipofika Afrika walishangaa kuona upendo mkubwa katika jamii yetu. Mjane wa kaka alitafutiwa mume katika ukoo ule wa mune wake ili watoto walelewe kwenye ukoo na wasipate shida. Mgonjwa aliyeshindwa kulima familia yake ilikula bila wasiwasi...
Saudi King Salman called to disarm Hezbollah on UN General Assembly.
Every normal country must designate Hezbollah as a terrorist organization -- for the sake of peace and stability!
Salamu na Utangulizi
Waungwana naamini mpo salama nami kwa kudra zake Muumba nipo salama. Tuwaombee wenzetu ambao kwa namna moja au nyingine afya zao si nzuri zipate kuimarika na warudi katika shughuli zao. Binafsi si muandishi wa mada humu jukwaani, ila ni mdau mzuri wa kuchangia hoja...
KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WANNE NA KUPATIKANA BASTOLA MOJA, RISASI MOJA, MAGANDA MANNE YA RISASI NA MILIPUKO MIWILI YA KUTENGENEZA KIENYEJI.
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam mnamo tarehe 15.08.2020 majira ya saa tisa na nusu alasiri kupitia kikosi kazi chake kimefanikiwa kuwaua majambazi...
Kwa wewe Mtanzania mpenda Haki popote ulipo Itumie hiyo simu yako Kama silaha.
Natambua simu nyingi Zina kamera,tumieni kamera hizo wakati wote kurekodi tukio lolote lenye kunyima Haki,uonevu,dhuluma ama kitendo chochote chenye uvunjifu wa amani kipindi hiki Cha Uchaguzi Mkuu.
Kuweni waangalifu...
ZAWADI NI SILAHA YA MAISHA
Na, Robert Heriel
Maandishi ya Robert Heriel Kwa Lugha ya Kiswahili.
Haki zote zimehifadhiwa.
Katika ulimwengu wa viumbe wenye utashi, zawadi ni moja ya nyenzo ya maisha. Zawadi hutolewa kwa viumbe wenye akili, utambuzi na tafakuri. Zawadi haitambuliki katika...
Uzoefu unanifundisha kuwa maumivu mengi tunayokutana nayo hapa Duniani yanatokana na sisi wenyewe kushindwa kuwajibika katika maisha yetu " living active life". Leo tumefikia hatua ya kushindwa kabisa kujitofautisha na matatizo na kufikiri sisi wenyewe ndiyo matatizo jambo ambalo siyo sahihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.