silaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Israel wagundua handaki la silaha chini ya hospitali ya watoto Gaza

    Ndio maana wanapaswa kupigwa popote.... ========= Hagari presented evidence showing Hamas weapons being stored underneath Rantisi children’s hospital in Gaza, as well as rooms seemingly used to hold hostages. One room staged to look like a living room featured window curtains covering a tiled...
  2. JamiiForums Tanzania Silaha za kila aina zakutwa ndani ya misikiti na shule, Gaza waliishi maisha ya ovyo sana

    Hawa watu waliishi maisha ya kishetani sana, ikiwemo kufundisha watoto namna ya kuchinja binadamu, ndio maana wanafumuliwa tu hamna namna. Hii picha hapa mtoto anafundishwa jinsi ya kuchinja mwenzake kama kondoo ====== The Israel Defense Forces says ground troops continue to find Hamas...
  3. JamiiForums Tanzania Urusi yaanza kuomba silaha ilizouza zirudishwe, hali mbaya

    Mataifa kama vile Misri, Brazil n.k. yaliyokua yameuziwa silaha na Urusi, yameombwa yazirejeshe maana Urusi imeishiwa na ina shida nazo, inazitaka hizo silaha jameni. Unamuuzia mtu sime au upanga kisha unamfuata na akurudhishie maana una shida nawo... Russia is trying to get back some of the...
  4. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Silaha wa Hamas, Mahsein Abu Zina auawa

    Mkuu wa kitengo Cha kutengeneza Silaha, ikiwemo makombora Bwana Mahsein Abu Zina ameuawa na majeshi ya IDF mjini Gaza. Abu Zina ndiye kiongozi aliyekuwa akiaminiwa katika kutengeneza makombora na Silaha zingine. Kwa Sasa kiongozi wa Hamas Gaza, Yahya Sinwar amezingirwa na majeshi ya IDF na hii...
  5. JamiiForums Tanzania Dar: Askari walioiba Tsh. Milioni 90 kwa kutumia Silaha wafutwa kazi, washtakiwa upya kama Raia huru

    Upande wa Jamhuri umelazimika kubadili hati ya mashtaka dhidi ya waliokuwa Maafisa wa Jeshi la Polisi kwa kuondoa namba za Utambulisho wao ambazo ni F 7149 D/ Coplo Ramadhani (42), G. 7513 D/ Coplo Majid Abdallah na WP 6582 D/ Coplo Stela Mashaka ambapo sasa wameshtakiwa kwa majina yao halisi...
  6. JamiiForums Tanzania Ukraine yasema imeishiwa na wapiganaji. Hata silaha walizopokea kutoka US hakuna wa kuzitumia

    Tanguj vita vianze baina ya Ukraine na Urusi kumekuwepo na lawama kutoka Ukraine kuwa kutofanikiwa kwa zoezi la kurudisha mapigo ya Urusi kikamilifu ni kutokana na kutopatiwa silaha muhimu walizokuwa wakiziomba. Hali sasa imebadilika ambapo afisa mmoja na mshauri wa karibu wa raisi Zelensky wa...
  7. JamiiForums Tanzania Waislamu wasiofika Gaza wana silaha yao kuu. Huu ndio muda wa kuitumia kuhakikisha Israel inashindwa

    Kuna hali zikitokea katika nchi au mbali ya miji waislamu humuelekea Allah aliyetukuka ili awape msaada. Na hiyo ina dalili kutoka kwa Mtume swalaLlaahu alayhi wassalam mwenyewe. Baadhi ya matukio hayo ni pale nchi inapopata ukame mpaka watu wemekata tamaa na uhai wao. Watu hutoka nje ya mji...
  8. JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati Sahihi wa Simba na Yanga Kuunganisha Silaha, Kupambana na Waarabu

    Miaka ya hivi karibu timu zetu hizi mbili zimekuwa kwenye kiwango angalau kinachoridhisha kwenye michuano ya kimataifa. Pamoja na mafanikio hayo tumejikuta Usimba na Uyanga unatupumbaza kiasi ambacho tunashindwa kungamua kuwa mshindani wetu mkuu kwenye soka kwa sasa ni mwarabu pekee. Sasa ni...
  9. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Ukikutwa unamiliki silaha kinyume cha Sheria Faini Milioni 10 au Jela miaka 15 au vyote

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linaendelea kuwakumbusha wananchi wote wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuendelea kutumia vizuri msamaha uliotolewa na Serikali ambapo atakaye salimisha kwa hiari hatachukuliwa hatua yeyote wala kuulizwa maswali. Silaha hizo ni pamoja na zile za wamiliki...
  10. JamiiForums Tanzania Jordan na Misri zimeonesha nguvu zao kushinda silaha zote za Marekani na Israel

    Mafanikio makubwa yamepatikana siku ya Ijumaa ya juzi ikiwa umebaki muda mfupi wapalestina wa Gaza waanze kufa kwa njaa na kiu. Siku hiyo ilitanguliwa na kikao cha pamoja kati ya viongozi wa nchi za Jordan,Saudi Arabia na Umoja wa falme za kiarabu. Ni siku hiyo hiyo ambayo katibu mkuu wa umoja...
  11. JamiiForums Tanzania Nimejifunza kitu ukimya ni hekima na silaha ya kumjibu mjinga

    Haya hapa mambo 10 yaliyozingatiwa mkataba wa bandari Dar Mama nilishakuambiaga piga kazi usisikilize kelele za makondakta wanakulazimisha gari la kupanda wakati umekata ticket na basi lako unalijua. Au Kelele za chura zisikutishe wewe kunywa maji mungu akujalie hekima zaidi ya ulizonazo.Watu...
  12. JamiiForums Tanzania Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

    Nguvu ya mashambulizi ya Israel imeonekana hapo jana na mapema leo, ambapo mashambulizi ya ndege za kivita yameendelea usiku kucha huko Gaza ambako tayari eneo kubwa limekuwa kifusi. Sambamba na Gaza shambulio jengine limetokea tena leo huko ukingo wa Magharibi ambapo kombora limeua zaidi ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Iran yaondolewa vikwazo vya uuzaji silaha na UN

    Mnamo tarehe 18 Oktoba, 2023 UN imeondoa vikwazo vya Iran kufanya biashara ya silaha na imeiruhusu Iran iuze silaha yeyote na taifa lolote. Jumamosi ya tarehe 21 Oktoba, 2023 UN ndio imetangaza uamuzi huo ambao ulijadiliwa na kuamuliwa Jumatano. USA aliongeza vilwazo kwa Iran baada ya uamuzi...
  14. JamiiForums Tanzania Silaha na askari wamiminika mipakani mwa Israel. Biden ashtushwa. Aenda Israel mwenyewe huku akitaka Palestina wapewe nchi yao

    Kuna taarifa kuwa wanamgambo kutoka Iraq na Iran wamekuwa wakimiminika kwenye mipaka ya Israel hasa upande wa Lebanon.Pamoja nao ni malori yenye shehena za silaha. 'Very clear' Iran is moving people, weapons to Israel's northern border: Benjamin Hall Hali hiyo inaonekana kumshtusha rais Joe...
  15. JamiiForums Tanzania Kushindwa kusalimisha silaha kwa hiari Jela miaka 15 au Faini Milioni 10 au vyote kwa pamoja

    Jeshi la Polisi nchini linapenda kuwakumbusha wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuendelea kutumia vizuri msamaha uliotolewa na Serikali ambapo atakaye salimisha kwa hiari hatachukuliwa hatua yeyote wala kuulizwa maswali. Silaha hizo ni pamoja na zile za wamiliki waliofariki ambazo...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga SC mnatoa Saa ngapi Silaha zenu Chamazi ili nasi Simba SC tuweke zetu ili Power Dynamos FC akione cha Mtema Kuni

    au kama vipi tuelekezeni tu hii Miguu ya Fisi na Kinyesi cha Nguruwe Pori tukavitupe wapi, kwani nasi tunataka Kufukia ya Paka na Mkojo wa Chatu Jike aliyetoka Kuzaa Jana tu Msituni Bagamoyo ili angalau Weekend hii Taifa lifurahi kwa Vijana wao wa Kariakoo na tusije Kuchekana.
  17. JamiiForums Tanzania Polisi: Askari ana haki ya kutumia Silaha ili kujilinda

    JESHI la Polisi nchini, limewataka watu wanaojichukulia sheria mkononi kwa kuwashambulia askari wanaobeba siliha kuacha tabia hiyo mara moja kwani sheria inamruhusu kutumia silaha hiyo kwa ajili ya kulinda uhai wake, uhai wa mtu mwingine na mali binafsi na za serikali. Taarifa hiyo imetolewa na...
  18. JamiiForums Tanzania 'RI CHUN-HEE' Mtangazaji wa vifo vya viongozi na silaha za Korea Kaskazini

    KOREA Kaskazini ni taifa huru baada ya kugawanyika kwa nchi ya Korea mwishoni mwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Awali eneo lote la Korea lilikuwa koloni la Japan kuanzia mwaka 1910 hadi 1945. Mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia, Jeshi la Russia lilivamia eneo hilo upande wa Kaskazini na...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri: JWTZ/JKT wajikite kwenye tafiti za kisayansi na teknolojia. Wabuni silaha zao wenyewe

    JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na...
  20. JamiiForums Tanzania Video: Mizinga ya Kh-101 ya Urusi inapigwa chini na silaha ya kubebewa mabegani, hadi aibu

    Hawa hawa wabeba javelin ndio walitafuna msafara wa Urusi wa vifaru vilivyokua vinakwenda Kyiv, wamepata jeuri ya kushusha mizinga iliyosifiwa siku zote, cruise missiles za Kh-101 ================== Lieutenant General Serhii Naiev, Commander of the Joint Forces of the Armed Forces of...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…