Kutegemea Us ndio awape silaha kupigana na vikundi vya wanamgambo, taifa teule limeanza kuishiwa silaha za msaada, na sasa wameaanza kutumia silaha za zama za mawe.
Huyu bila msaada wa US angeshakuwa ameliwa kiboga zamani sana
https://www.youtube.com/watch?v=j9MgjZ2sLQM
Wajemeni eeh
Kuuliza si ujinga na kuuliza njia ndio kujua njia!
Nahitaji bastola, kwa self defence tu, si vinginevyo! Sababu; najiona vulnerable mno huko 'uswekeni' ninakoishi. Hamna umeme, na majirani wanahesabika, BTW, practicing targets zipo za kutosha huko!
Najua humu kuna wengi tu...
ANGALIZO
Maelezo yaliyotolewa katika uzi huu ni kwa ajili ya kuelimisha na kutoa taarifa kwa umma na hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri wa kisheria. Sheria za umiliki wa silaha zinaweza kubadilika, na ni muhimu kushauriana na mwanasheria au mamlaka husika kwa taarifa zaidi na za kina. Mwandishi...
Katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amezitaka nchi za NATO kuipa silaha Ukraine ili ishambulie ndani ya mipaka ya Russia hasa military targets.
Mpango huu umekuja baada ya Ukraine kutembezewa kichapo cha kutosha kutoka kwa Russia na majeshi ya Russia kuzidi kusonga mbele kuelekea mji muhimu wa...
Elimu ndio silaha na nguzo kuu ya taifa lolote hapa duniani. Tanzania kama nchi inapaswa kulitazama suala la ubora na aina ya elimu wapewayo wananchi kama inakidhi mahitaji ya sasa ya nchi hasa ukizingatia dunia kuwa karibu zaidi katika nyanja mbalimbali mfano ajira, biashara na mawasiliano. Kwa...
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni na Taasisi ya Utafiti wa Amani Duniani ya Stockholm, matumizi ya jumla duniani katika mambo ya ulinzi kwa mwaka 2023 yalifikia dola za kimarekani trilioni 4.44. Tathmini hiyo ya mwaka ya Mwelekeo wa Matumizi ya Kijeshi Duniani ya Taasisi hiyo...
Hapo majuzi taifa la Spain liliizuia meli iitwayo Marianne Danica kutia nanga kwenye moja ya bandari zake kwa vile ilikuwa imebeba tani 26.8 ya silaha za miripuko kupeleka Israel.
Meli hiyo ilikuwa ikitokea India na iliomba kutia nanga kwenye bandari ya Cartagena mnamo Mei 26.
Waziri wa mambo ya...
Rais Joe Biden ametoa msimamo wake kuwa Marekani haitakuwa tayari kupeleka silaha Israel endapo Israel itaendelea na mpango wake wa kuvamia eneo la Rafah huko Gaza.
Tamko hili limemtoa nyoka pangoni ambapo imedhihirika bayana kuwa wabunge wengi wamepinga jambo hilo huku ikibainika kuwa wabunge...
Alfajiri ya kuamkia leo jeshi la Israel kwa kutumia vifaru na mashambulizi ya anga wamefanikiwa kufikia kituo cha mpaka wa Gaza na Misri na kukishikilia kituo hicho kutokea upande wa Gaza.
Mara baada ya kufanikiwa kukishika kituo hicho jeshi la Israel limezuia uingizwaji wa misaada ndani ya...
Mpango wa Marekani kuzuia baadhi ya nchi kuwa na silaha za nuclear sio sahihi tena kipindi hii ambapo kuna kushuhudia kuongezeka kwa vita na migogoro kati ya nchi.
Kinachotakiwa sasa hivi ni kila nchi iruhusiwe kumiliki silaha za nuclear kwa ajili ya ulinzi na hii inaeweza kueleweka vyema...
Russia leo imefungua maenesho rasmi ya silaha na zana za kivita wanazoteka huko Ukraine kutoka nchi za magharibi.
Hii lwa upande wangu dharau kubwa sana na kwa jicho la mbali hii vita hata wampe Ukraine dollars trillion 100 hawezi kushinda hii vita.
Wameanza kupeleka wanajeshi ngoja tuone...
Nimeshawishika kushiriki maarifa haya baada ya kuwepo kwa taarifa za matumizi na uhifadhi mbaya wa silaha hasa kwa raia.
Kila mtu Tanzania anayo haki ya kumiliki silaha kwa matumizi binafsi kama vile ulinzi binafsi, kuwinda n.k. Leo sitaongelea namna ya upatikanaji wa haki hii bali vitu vya...
Kumekuwepo na nukta ambazo zimekwamisha makubaliano ya kusitisha vita kwa muda mrefu kati ya Israel na Hamas.
Israel imeshikilia haitaki kuona Hamas ikiendelea kuitawala Gaza na la plli ni kupata mateka wote wanaoendelea kushikiliwa na Hamas.
Kulikuwa na baadha ya nukta pia viongozi wa Hamas...
Marekani imeandaa makombora ya microwave ambayo yanaweza kuzima mitambo ya nyuklia ya Iran, Mary Lou Robinson, mkuu wa zamani wa Kitengo cha Microwave cha Jeshi la Anga la Marekani amethibitisha kwa DailyMail.com kwamba makombora hayo "yako tayari kulenga shabaha yoyote ya kijeshi, pamoja na...
Marekani imeandaa makombora ya microwave ambayo yanaweza kuzima mitambo ya nyuklia ya Iran, Mary Lou Robinson, mkuu wa zamani wa Kitengo cha Microwave cha Jeshi la Anga la Marekani amethibitisha kwa DailyMail.com kwamba makombora hayo "yako tayari kulenga shabaha yoyote ya kijeshi, pamoja na...
Wanaukumbi.
Afisa mkuu wa Iran ameonya kuwa Iran inaweza "kupitia upya" mafundisho yake ya nyuklia iwapo itashambuliwa na Israel.
Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za atomiki'
- Kamanda wa IRGC anayesimamia Ulinzi wa Maeneo ya Nyuklia
"Mapitio ya mafundisho yetu ya...
Israel wanaendelea kukagua kila aina ya silaha iliyoshushwa...
Kadiri silaha zao Iran zilivyopigwa chini ndivyo walipata hasira na kujaribisha aina mpya silaha za siri walizokua wameficha, na zenyewe zilishushwa, hii ni aibu sana kwa Iran na wavaa dera wote wanaoshabikia ugaidi wa dini...
Tokea mwaka jana mwishoni vikwazo vya silaha vilipoisha kwa Iran,Iran imeonesha drone mpya iitwayo Gaza Doha yenye uwezo wa kutembea maili 1200 sawa na kilometa 2000 na yenye uwezo wa kubeba mabomu mpaka 13.
Tutarajie mpinzani mwingine katika soko la uuzaji silaha.
Pia hii itakua fursa kwa...
Serikali ya awamu ya Sita iliachana na mfumo wa kujaza OPRASS kwenye makaratasi (nakala ngumu) badala yake ikatambulisha PEPMIS kupitia mfumo Employee Self Service kwa kifupi ESS.
Ikiwa na maana kwamba taarifa muhimu na za Msingi kuhusu Mtumishi zitakua kwenye mfumo huu.
Ikiwemo
Kujaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.